akili unde

Akili Unde maana yake ya moja kwa moja ni Artificial Intelligence (AI).

Kwa ufupi, ni teknolojia inayoziwezesha kompyuta na mashine kufikiri, kujifunza, na kufanya mambo ambayo kwa kawaida huhitaji akili ya binadamu.

Neno "Unde" linatokana na kitenzi "kuunda" (kutengeneza). Hivyo, maana yake halisi ni "Akili iliyoundwa na mwanadamu" (Constructed Intelligence).
  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa unaitumia vipi Akili Unde au (AI) katika kukuongezea kipato?

    Wakuu -Je kutokana na ujio wa AI unaitumiaje katika kukuongezea kipato ? Binafsi naitumia kuandika kitabu ambacho kitaelezea MAISHA yangu binafsi na inspiration kadhaa kuhusu MAISHA.
  2. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mdau bainisha dosari zinazoonekana kwenye picha hii inayowaonesha baadhi ya viongozi wa Ulaya wakiwa Ikulu ya Marekani. Je, ni halisi?

    Mdau wa JamiiCheck.com bainisha dosari zinazoonekana kwenye picha hii inayowaonesha baadhi ya viongozi wa Ulaya wakiwa Ikulu ya Marekani akiwemo Emmanuel Macron na Ursula von der Leyen wakiwa wamekaa kwenye korido ya White house kwa unyenyekevu wakimsubiri Donald Trump, iwapo ni halisi la...
  3. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Rolf Kibaja: Watu wanaweza kumfanya mgombea kuongea maneno ambayo siyo kupitia Akili Unde

    Kabla ya kuamini na kusambaza picha au video unazokutana nazo mtandaoni jiridhishe uhalisia wake au unaweza kuwasilisha kwenye majukwaa ya uhakiki wa taarifa kama JamiiCheck.com ili kupata uhalisia wa maudhui husika. Ujumbe huo unaakisi kauli ya Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano...
  4. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Profile za Wana JamiiForums mbalimbali kwa mujibu wa akili mnemba/ akili unde/ akili kinyanyamshenzi

    Mshana Jr ni msanii wa Tanzania anayejulikana kwa kazi za ujuzi wa uigizaji wa vichekesho, hasa kupitia mitandao ya kijamii kama YouTube, TikTok na Instagram. Anajulikana kwa ucheshi wa kipekee, lugha ya Kiswahili yenye lafudhi ya mtaani, na uwasilishaji wa maisha ya kawaida kwa njia ya...
  5. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Wizara: Tanzania ipo tayari Kuwezesha Wananchi kunufaika na fursa za akili unde

    Tanzania imesesema ipo tayari kwa ajili ya Kuwezesha Wananchi kunufaika na fursa za akili unde ikiwemo kuwa na mifumo ,pamoja na miundombinu itakayo linda faragha na usalama wa taarifa binafsi wakati wa matumizi ya akili unde. Akizungumza kwa niaba ya serikali ya tanzania katika jukwaa la...
  6. Blueboy Jr

    JamiiForums Tanzania Ni wapi na kwa namna gani nawaza kujifunza AI kiundani zaidiii

    Hello wana Jf leo nilikuwa nasikiliza podcast moja online kuhusiana AI na fursa na faida za AI. Sasa nimekuwa niikitumia tu kwa mazoea AI mfn. kusearch kitu au Kuliza maswali ya kawaida tu. Kweny hizi AI Gemin, chaptGpt, copilato, iask Ai, na copilot. Naomba kujua ni wapi/which platform, na...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Vijana Kutumia Akili Unde (AI) kwa Ushauri wa Mahusiano na Urafiki

    Tafiti iliyofanyika nchini Marekani ionyesha kwa asilimia kubwa Vijana wanatumia akili Unde ( Artificial Intelligence AI) Kwa ushauri wa Mahusiano, kama rafiki wa karibu zaidi ya Uhalisia na msaada kitaaluma Ripoti mpya kutoka shirika la Common Sense Media inaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 70...
  8. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania KWELI Kati ya picha hizi mbili, Moja imetumika kutengeneza picha nyingine kwa kutumia Akili Unde

    Huku ukibainisha vigezo muhimu vya majibu yako, Ni ipi kati ya picha hizi mbili, imetengenezwa kwa kutumia Akili Unde?
Back
Top Bottom