Kampuni zinazojihusisha na nyanja ya akili mnemba (AI) hutoa madai mapana kuhusu uwezo wa zana zao kuchukua nafasi ya nguvu kazi ya binadamu.
Baadhi ya kazi zitaendeshwa kikamilifu na mifumo ya kiotomatiki, huku nyingine zikibadilishwa na kuboreshwa kwa kutumia akili mnemba.
Viongozi wa...
Teknolojia ya akili unde (AI) imeendelea kutumika katika maeneo mbalimbali kama elimu, uandishi wa habari, biashara, ubunifu na huduma kwa wateja.
wapo wanaoona akili unde inarahisisha kazi na kuongeza ufanisi, huku wengine wakihofia kwamba matumizi yake yanaweza kupunguza baadhi ya nafasi za...
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa kushirikiana na Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela - (NM-AIST), kupitia Maabara ya Akili Unde Afrika - (AfriAI Lab) kwa udhamini wa Taasisi ya Wahandisi wa Umeme na Electroniki Tawi la Tanzania (Institute of Electrical & Electronics Engineers -...
Kanishka Narayan ameteuliwa kuwa Waziri wa Akili Bandia (AI) katika serikali mpya ya Waziri Mkuu wa Uingereza, Andy Burnham. Katika nafasi hiyo, atahudhuria vikao vya Baraza la Mawaziri (Cabinet).
Narayan, ambaye awali alikuwa waziri mdogo anayeshughulikia AI na usalama mtandaoni, amesema hatua...
Ripoti ya The Economist Intelligence Unit (EIU) kwa kushirikiana na mashirika ya Umoja wa Mataifa kama UN Women na UNFPA inasema kuwa ukatili unaochochewa na teknolojia na mifumo ya Akili Unde (AI) umekuwa dharura kubwa ya kimataifa, ambapo kati ya asilimia 16 hadi 58 ya wanawake duniani...
Mwongozo wa matumizi ya teknolojia ya akili unde (Artificial Intelligence – AI) katika huduma za utra sound kwa afya ya mama na mtoto unatarajiwa kuwa suluhisho muhimu katika kuboresha ubora na upatikanaji wa huduma za afya nchini Tanzania.
Mwongozo huo unaandaliwa kwa lengo la kuweka viwango...
Kuna ukweli mmoja mchungu sana kuhusu mfumo wetu wa elimu ya juu hapa nchini ambao kama tusipoujadili sasa, kwa uwazi na bila kupepesa macho, tutakuja kujuta kama taifa baada ya miaka mitano au kumi ijayo.
Wakati sisi hapa Tanzania bado tunapambana kuongeza udahili wa wanafunzi kwenye kozi...
Teknolojia AI kwa sasa inataka kuwazidi waliounda. Kuna sera na sheria zitapitishwa kuzibiti kikomo cha uwezo ili kusaidia makampuni ya software na n.k kufanya biashara.
AI zenye uwezo mkubwa na kusaidia AI ndogo zote zinatoka USA.
Kuna mpango wa kuzibiti AI kuwa na nguvu ndani USA tu sio nje...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, akifanya mahojiano na Salim Kikeke, Crown Media
Salim Kikeke: Tukirejea kwenye tume, ripoti ya Jaji Chande, kuna picha za akili unde ambazo zilizitazamwa. Na kuna madai kwamba pengine kuna picha zinasingiziwa akili...
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya afya nchini, kimeratibu kikao maalum cha kitaifa kilichowakutanisha wataalamu wa radiolojia na tiba ya mionzi kwa lengo la kuimarisha huduma za uchunguzi wa magonjwa kwa kutumia teknolojia ya kisasa.
Kikao hicho kilifanyika...
Uchambuzi wa video na picha ulikuwa sehemu kubwa katika uchambuzi wa tume, hususan katika kuelewa madhara ya kibinadamu. Jumla ya picha mnato 450 na picha mjongeo (video) 880 zilikusanywa kwa njia mbalimbali na baadhi zilikuwa zimesambazwa mitandaoni kwa zaidi ya mara moja."
Picha hizi...
Jaji Chande akiwasilisha ripoti ya Uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29, anasema "Jumla ya picha mjongeo 450, picha mjongeo 880, zilikusanywa kwa njia mbalimbali na baadhi zilikuwa zimesambaa mitandaoni kwa zaidi ya mara moja.
Picha hizi zilipatikana na ziliwasilishwa na mashuhuda wa matukio...
Je, umewahi kujiuliza mustakabali wa mijadala yetu hapa JamiiForums utakuwaje? Fikiria ulimwengu ambapo kuandika hoja nzito, kufanya utafiti wa kina, na kujibu mada mbalimbali kunakuwa rahisi, haraka, na kwa ubora wa kiwango cha juu zaidi.
Mimi na wenzangu (timu nzima) tunayo furaha...
A viral post has been circulating on social media, especially on Facebook, claiming that astronauts have successfully grown rice on the Moon. However, an investigation using keyword searches determined that the image was generated using artificial intelligence (AI) and is therefore not genuine...
Mafunzo ya ukusanyaji wa takwimu kwa ajili ya mradi wa “AI-Assisted Ultrasound Feasibility and Assessment of Resources and Integration (SAFARI)” yameanza rasmi Jumatatu, tarehe 30 Machi 2026, na yanatarajiwa kuhitimishwa tarehe 1 Aprili 2026. Mafunzo hayo yanafanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.