akili unde

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalton elijah

    KWELI Video imetengenezwa kwa kutumia teknolojia ya akili unde kurejelea tukio la kuongezeka kwa mamba baada ya mafuriko Australia

    Kumekuwepo na video kadhaa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook na Instagram, zikionyesha mamba wakitembea mitaani baada ya kutokea kwa mafuriko nchini Australia.
  2. Dalton elijah

    KWELI Video hii ya Willy Ngoma akishambuliwa na drones, imetengezwa kwa kutumia Akili Unde

    Kuna video inayosambaa kwa kasi kwenye mtandao wa TikTok na majukwaa mengine, ikidai kuonesha dakika za mwisho za msemaji wa kundi la M23, Willy Ngoma, akishambuliwa na kuuawa na ndege zisizo na rubani (drones). Video hiyo inahusishwa na mashambulizi yanayodaiwa kufanywa na jeshi la serikali ya...
  3. Amba Samedi

    Mbinu 6 Sifuatazo Zitakukinga na Uzoroto Wa Ubongo katika Kizazi cha AI

    Habari wanaJF, Natumaini mko salama. Nina siku nyingi sijaja humu. Ila leo nimepata nafasi tena. Moto usizime. Mbele daima! Leo tutazungumza kuhusu jinsi ya kutumia AI bila AI kukutumia wewe. AI itawasababisha wengi kuwa na uozo wa akili. Tafiti zinasema kuwa GenZ wa sasa watakuwa the most...
  4. N

    Mdau je unafikiri Ai inaweza kuwa njia mbadala ya uhakika kwenye kupambana na taarifa za uongo kwenye jamii?

    Mdau je unafikiri Ai inaweza kuwa njia mbadala ya uhkika kwenye kupambana na taarifa za uongo kwenye jamii? Kumekuwepo na wimbi la kuongezeka kwa taarifa zisizo sahihi kwenye jamii na ukosefu mkubwa wa taarifa sahihi. Je Ai inaweza kuwa suluhisho ili kuhakikisha jamii inabaki salama ? (Picha...
  5. Mkalukungone Mwamba

    Mahakama ya Tanzania kuanza kutumia AI kwa ajili ya kurekodi mwenendo wa mashauri na hukumu

    Mahakama ya Tanzania imeanza hatua kubwa ya mageuzi ya kidijitali kwa kuanza kutengeneza mfumo wa kisasa unaotumia Akili Unde (Artificial Intelligence – AI) kwa ajili ya kurekodi mwenendo wa mashauri na hukumu Mahakamani, hatua inayolenga kuongeza ufanisi, usahihi na kasi ya utoaji wa haki...
  6. Roving Journalist

    Patrobas Katambi: Uhalifu wa nchi nyingi zilizoharibikiwa Duniani umeanzia kwenye Mitandao ya Kijamii

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi amesema matumizi ya Akili Unde(Ai),ni jambo lisiloepukika kuliweka katika vyanzo na vichochezi vya uhalifu huku akiweka nia ya Serikali Kudhibiti uhalifu unaotokana na matumizi na maendeleo ya teknolojia. Ametoa rai hiyo wakati wa Kikao cha...
  7. Waufukweni

    Katambi: Leteni majina wanaoandika uchochezi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema serikali itaendelea kuwakamata na kuwachukulia hatua wote wanaotengeneza akaunti kwenye mitandao ya kijamii kisha kuzitumia kutukana na kudhalilisha watu na hasa viongozi. Aidha, amesema kuna utumiaji wa Akili Unde kutengeneza video...
  8. Dalton elijah

    BOT imepanga Kushirikisha vyuo vikuu ukuzaji wa akili Unde

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) leo tarehe 22 Januari 2026 imesaini Hati za Makubaliano ya Ushirikiano (MoUs) na taasisi tano za elimu ya juu kwa lengo la kukuza matumizi ya akili unde (AI), kuimarisha ubunifu katika matumizi ya data, na utafiti katika kuongeza tija kwenye uundaji wa sera na...
  9. robbinhood

    UFADHILI WA SAMIA (SAMIA SCHOLARSHIP EXTENDED DS/AI+) KATIKA FANI ZA SAYANSI YA DATA, AKILI UNDE NA SAYANSI SHIRIKISHI

    Hellow , kuna yeyote alieomba huu ufadhili?mchakato upoje hadi Sasa?
  10. Dalton elijah

    KWELI Video hii ya refa aliyechezesha mechi ya Morocco na Tanzania imetengezwa kwa kutumia akili unde

    Kumekuwa na video ambayo inasaambaa kwenye mitandao ya kijamii hasa facebook ikimuonesha aliyekuwa refree wa mchezo kati ya Morocco dhidi ya taifa stars akizungumza mara baada ya kutamatika kwa mchezo huo ambao ulisha kwa morocco kuondoka na ushindi wa goli moja kwa bila. Mchezo huo wa raundi...
  11. Kelvin30

    Nimekuwa nikiona changamoto ya wauzaji wa nguo online nikaamua kujaribu suluhisho

    Mimi ni mwanafunzi wa UDSM ninasoma Computer Engineering. Kwa muda nimekuwa nikiona jinsi teknolojia inavyobadilika kwa kasi, lakini biashara nyingi ndogo hasa za mavazi bado zinapata shida kuendana nayo. Changamoto kubwa niliyoiona: wauzaji wana bidhaa nzuri, lakini namna ya kuziwasilisha...
  12. OleWako

    Umewahi kujiambia ‘sina cha kuficha hata wakiniibia sina cha kuogopa’?

    Tujifunze kuhusu Umuhimu wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi Kutoka kwa Historia ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Ujerumani Wanaojua historia miongoni mwenu watakuwa wanajua kwamba baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia, Ujerumani iligawanywa katika maeneo manne ya uvamizi chini ya Allies na USSR, na...
  13. JamiiCheck

    KWELI Kati ya picha hizi, moja ni halisi na nyingine imehaririwa kwa Akili Unde

    Mdau shiriki kuthibitisha kati ya picha hizi mbili, ipi ni halisi? Bainisha tofauti tano zilizopo katika picha hizi.
  14. SaintErick

    VITA YA AKILI UNDE (AI) NI KUBWA KATI YA MATAJIRI

    VITA YA AKILI UNDE (AI) NI KUBWA KATI YA MATAJIRI Kwa sasa bidhaa adhimu katika sekta ya teknolojia ni Akili Unde (AI) ambayo ukiitazama kwa umakini utaona kua dunia ijayo ni dunia itakayoendeshwa kwa Akili Unde karibu kila nyanja ya maisha ya binadamu. Hii ni fursa na ni changamoto mpya...
  15. magabelab

    Kutumia akili unde kusikiliza redio na kutuma taarifa muhimu kwenda Whatsapp group.

    Lengo: Kupokea sauti kutoka redio ya FM, kuichuja matangazo, kubadilisha sauti iliyobaki kuwa maandishi, kufupisha maandishi, na kutuma taarifa muhimu kwenye kundi la WhatsApp. --- ### Sehemu ya 1: Vifaa na Mahitaji (Hardware and Software) #### Vifaa (Hardware): 1. Arduino Uno: Hiki ndicho...
  16. DR HAYA LAND

    Mpaka sasa unaitumia vipi Akili Unde au (AI) katika kukuongezea kipato?

    Wakuu -Je kutokana na ujio wa AI unaitumiaje katika kukuongezea kipato ? Binafsi naitumia kuandika kitabu ambacho kitaelezea MAISHA yangu binafsi na inspiration kadhaa kuhusu MAISHA.
  17. JamiiCheck

    SI KWELI Mdau bainisha dosari zinazoonekana kwenye picha hii inayowaonesha baadhi ya viongozi wa Ulaya wakiwa Ikulu ya Marekani. Je, ni halisi?

    Mdau wa JamiiCheck.com bainisha dosari zinazoonekana kwenye picha hii inayowaonesha baadhi ya viongozi wa Ulaya wakiwa Ikulu ya Marekani akiwemo Emmanuel Macron na Ursula von der Leyen wakiwa wamekaa kwenye korido ya White house kwa unyenyekevu wakimsubiri Donald Trump, iwapo ni halisi la...
  18. JamiiCheck

    Rolf Kibaja: Watu wanaweza kumfanya mgombea kuongea maneno ambayo siyo kupitia Akili Unde

    Kabla ya kuamini na kusambaza picha au video unazokutana nazo mtandaoni jiridhishe uhalisia wake au unaweza kuwasilisha kwenye majukwaa ya uhakiki wa taarifa kama JamiiCheck.com ili kupata uhalisia wa maudhui husika. Ujumbe huo unaakisi kauli ya Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano...
  19. Jemima Mrembo

    Profile za Wana JamiiForums mbalimbali kwa mujibu wa akili mnemba/ akili unde/ akili kinyanyamshenzi

    Mshana Jr ni msanii wa Tanzania anayejulikana kwa kazi za ujuzi wa uigizaji wa vichekesho, hasa kupitia mitandao ya kijamii kama YouTube, TikTok na Instagram. Anajulikana kwa ucheshi wa kipekee, lugha ya Kiswahili yenye lafudhi ya mtaani, na uwasilishaji wa maisha ya kawaida kwa njia ya...
Back
Top Bottom