Imeripotiwa na CHETE FM. Madereva wa tenki za mafuta kuweni waaminifu. Habari nzima hapo chini.
____________________________
A Tanzanian truck driver working for ANAMOL Transport Company in Dar es Salaam has died after allegedly taking his own lífe by ingèsting an unknown substance moments...
Katika tukio la kusikitisha na kuzua maswali mengi kwa jamii, mwanamke mmoja aitwaye Kangw’a Tungu Mahigi (25), mkazi wa Kijiji cha Lugubu, Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, amefariki dunia kwa kunywa sumu aina ya Ruruka 80 WDG, inayotumika kuua viwavi jeshi vinyamizi — huku pia akiwanywesha...
Nchini Kenya, Mwanamke aliyetambulika kama Mercy Nyasaka amejiua baada ya kuacha ujumbe mzito kwa ndugu wa karibu kupitia Whatsapp akimuaga na kueleza anayoyapitia, Mercy alifiwa na bintiye miaka miwili iliyopita mnamo Machi 1, 2023, kifo ambacho kilimsababishia huzuni kwa kiasi kikubwa...
Ughonile watu wa Mbeya, nipo Njombe (zamani ikiwa shemu ya Iringa) nimekuwa nikistuka kwa visa vya mara kwa mara kwa vijana wa Mbeya kujiua. Kunakoelea sio, ni muda wa kujadili shida ilipo ipate suluhisho.
Mwezi uliopita dereva bajaji mkazi wa kata ya Iganzo, Jijini Mbeya alijinyonga majira ya...
Mwanaume anayejulikana kwa jina Peter Mayala (45) mkazi wa Kijiji cha Mwamagunguli, Manispaa ya Shinyanga, amejiua kwa kujinyonga ndani ya chumba chake cha kulala baada ya kujaribu kumuua mtoto wake wa kike anayeitwa Anna Peter (6) huku chanzo cha tukio kikidaiwa kuwa ni ugomvi wa familia kati...
Kada wa Chama cha Mapinduzi aliyefahamika kwa jina la Justine Kiatu, anadaiwa kujiua baada ya mgombea wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Rajabu Lupanda kutangazwa mshindi wa nafasi ya uwenyekiti wa Kitongoji cha Ikomwa Mlimani mkoani Tabora, akimshinda Edward Petro wa Chama Cha...
Mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya Sekondari Mpakani Ufunuo Mwamlima (13) mkazi wa mtaa wa Chapwa A Halmshauri ya mji wa Tunduma mkoani Songwe amejichoma kisu cha tumboni hadi kufa baada ya wazazi wake kumhoji juu ya mwenendo wa tabia zake ambazo zimeonesha kutokuwaridhisha wazazi.
Kijana...
Huyu ni mwalimu kutoka Zambia alikuwa anafundisha shule ya sekondari Nsajika day baadaye akahamishiwa Maguya.
Amesema amechoka licha ya kupambana sana alikuwa haoni mafanikio.
Kwenye pesa kiasi alizoacha ametoa maelekezo kwa mke wake ajenge nyumba, kiasi kingine aanzishe biashara kingine...
Askofu mkuu wa makanisa ya Methodist,Joseph Bundala amejinyonga ofisini kwake kwa kutumia waya wa simu.
---
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Methodist Tanzania, Joseph Bundala (55), amekutwa amejinyonga kwa kamba ndani ya ofisi yake iliyoko kwenye kanisani hilo, Mtaa wa Meriwa, jijini hapa...
MKAZI wa Kijiji cha Gininga wilayani Busega mkoani Simiyu, Luli Shibone (29) amefariki dunia baada ya kunywa sumu ya kuulia wadudu waharibifu wa mazao iitwayo Celphos, baada ya mume wake kupekua simu wakati akiwa amelala usiku na kubaini mawasiliano kati yake na mwanaume mwingine.
Kamanda wa...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma (ACP) Marco G. Chilya akielezea kuhusu tukio hilo
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Marietha Bosco Sagana (32) Mkazi wa Kitongoji cha Matarawe, Kijiji cha Marungu Kata ya Tingi Tarafa ya Mpepo, Wilaya ya Nyasa amefariki Dunia wakati anapatiwa matibabu...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ( CCM) kata ya Ulowa wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Safari Manjala amejiua kwa kujipiga risasi shingoni asubuhi ya leo.
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga limethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambalo chanzo chake hakijajulikana.
----
Jeshi la Polisi mkoani...
MWANAUME wa miaka 40, mkazi wa Kijiji cha Manyata katika Kaunti ya Murang’a, anadaiwa kujitoa uhai kwa ajili ya kukwepa deni la Ksh 30, 000 ambayo ni sawa na Sh 520, 000 za Tanzania ambalo linadaiwa kuwa ni rushwa kwa polisi wa Kituo cha Sabasaba.
===
Mwanaume wa miaka 40, mkazi wa Kijiji cha...
Askari Polisi mmoja aliyetambulika kwa jina la Michael Kyalo amejiua kwa kujipiga na risasi baada ya kumjeruhi mkewe kwa risasi huko Kaunti ya Bondo nchini Kenya mapema leo, Polisi wameripoti.
Kamanda wa Polisi wa kaunti hiyo Ibrahim Kosi amesema afisa huyo aliyefariki, aliripoti kazini kama...
Mwanafunzi wa Chuo cha Uhasibu (TIA) Mkoani Mtwara aliyetambulika kwa jina moja la Regan ambaye amekuwa akiishi Mtaa wa Chikongola, Manispaa ya Mtwara- Mikindani anadaiwa kujinyonga hadi kufariki na mwili wake kukutwa ndani ya chumba chake.
Taarifa za kifo chake zilianza kusambaa jana July...
Kijana Kepteni Warioba (23) amejiua kwa kujikata na mashine ya kupasua mbao leo Juni 16, 2023, Moshi mkoani Kilimanjaro, huku akiacha ujumbe wa kumtaka bosi wake aende kumzika mkoani Mara na asipofanya hivyo atakuwa anamuona na kumsumbua mara kwa mara.
Tukio hilo limetokea leo Juni 16, 2023...
Jeshi la Polisi limewakamata watuhumiwa watatu wa mauaji ya aliyekuwa mfanyakazi wa mgodi wa GGM Geita Milembe Selemani yaliyotokea Aprili 26,2023 katika mtaa wa Mwatulole mkoani Geita pamoja na watu watatu waliofanya mauji ya aliyekuwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Kerende Dk. Isack...
Mwalimu Samuel Subi wa Shule ya Msingi Igaka enzi za uhai wake
Geita. Jeshi la Polisi mkoani Geita limethibitisha kifo cha Mwalimu Samuel Subi wa Shule ya Msingi Igaka, wilayani Geita kilichotokea machi 17 kwa kujinyonga akiwa mahabusu kwa kutumia shati alilokuwa amelivaa.
Mwalimu huyo alikuwa...
Mtoto aliyejulikana kwa jina la Dotto mwenye miaka 10 mkazi wa kijiji cha Chalinze Mzee wilaya ya Chalinze amekutwa amejinyonga usiku wa kuamkia leo.
Imeelezwa kuwa amejinyonga baada ya kukatazwa na mama yake mzazi asiende kwenye muziki (kigodoro).
Chanzo: EATV
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.