ajira

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada Kesi yangu ya Ajira Utumishi wa Umma

    Habari, Naomba ushauri kwenye jambo hili ambalo nahisi kuonewa. Nilikua mtumishi wa umma kwa miaka nane. Nimemtumikia mwajiri wangu kwa miaka nane. Mwaka jana nilipata changamoto nikawa na kesi ya Misconduct, kesi ilichukua muda mrefu kiasi mbaka napewa barua ya uamuzi kuna baadhi ya kanuni...
  2. JamiiForums Tanzania Utajuaje ajira uliyonayo si sahihi kwako?

    Huu uzi ni muhimu kwa wale wote wenye viashiria vya kuja kuwa mjasiriamali na anayejisimamia mwenyewe kwenye biashara zake. Wapo watu wanaishi katika mazingira magumu sana ingawa bado wapo kwenye ajira. Mahitaji ni mengi kuliko mapato, leo anapokea mshahara baada ya siku saba hela imeisha na...
  3. JamiiForums Tanzania sales people needed

    Bic sales unit was established in August 2013, as the first locally incorporated Insurance sales unit in Jubilee Company based in Tanzania . Jubilee Insurance has spread its sphere of influence throughout the region to become the largest Composite insurer in East Africa, handling Life...
  4. JamiiForums Tanzania Maeneo ambayo kwasasa ya Fursa ya Ajira kutokana na ujenzi hapa Dar

    Hizi ndio sehemu ambazo kwasasa zinafursa za ajira kwa mafundi kujenga, umeme, Rangi nk 1. KIGAMBONI, Maeneo mengi ya Kigamboni kwa Sasa yanaendelea na ujunzi wa nyumba, shule, na majengo mbalimbali, maeneo hayo ni kama ifuatavyo; Mjimwema, Kibada, Kimbiji, nk. Nakuhakikishia Fundi ujenzi...
  5. JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu it might be opportunity Kwa mliomaliza vyuoni recently.

    a maelekezo mpigieni huyo jamaa atawaelekeza coz it's one of those wanaofanyisha interview 0752153535 All the best for all job seekers. Kindly share for others too.
  6. JamiiForums Tanzania Kozi ipi ya uinjinia ina soko zaidi Tanzania?

    Ni kozi ipi ya uinjinia ina soko zaidi Tanzania?
  7. F

    JamiiForums Tanzania Jinsi vijana wanavyotengeneza pesa kila siku kwa kutengeza maudhui TikTok

    Habari wadau, Nilikuwa nawadharau sana vijana wanaoimbaimba na kucheza cheza TikTok. Nawaona wapuuzi hawana kazi ya kufanya na wajinga. Mtoto wa shangazi yangu ni mmojawapo wa hao wapuuzi wa TikTok. Ana followers laki 6 huko TikTok. Ni binti ana miaka 21 na anasoma chuo kikuu kimojawapo...
  8. JamiiForums Tanzania Mradi wa ujenzi wa Mji wa Serikali Mtumba umeleta ajira na kuchangia chachu ya ukuaji wa uchumi

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama, amesema mradi wa Ujenzi wa Mji wa Serikali Mtumba, pamoja na Miradi mingine ya kimkakati imeleta ajira na kuchangia kasi na chachu ya ukuaji wa uchumi hususan katika Jiji la Dodoma. Ameyasema...
  9. JamiiForums Tanzania Ajira portal ni tatizo

    Hivi hawa utumishi wapo serious kweli? Hivi wanajua maelfu na mamia ya wasaka ajira wanakwama kiasi gani kutokana na huu mfumo wao wa hovyo? hivi watu wateseke kupata elimu kuanzia darasa la kwanza mpaka chuo bado waje wateseke na huu upuuzi? Yaani kuhangaika kote kusoma halafu unafika wakati...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Tunaomba Serikali ipige marufuku kujitolea vijana tupate ajira za kudumu kupitia Utumishi

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. TUNAOMBA serikali yetu sikivu ipige marufuku kujitolea ili vijana tupate ajira na pia kujitolea ni upendeleo nafasi hazipo wazi na mpaka uwe na connection. Pia tunaomba ajira zote za kudumu kwenye mamlaka ya serikali ndogo (local government) wizara...
  11. JamiiForums Tanzania Mtafutaji nisiyechoka naomba mnishike mkono nipate ajira

    Nakuja tena kwa mara nyingine kuomba nishikwe mkono. Natafuta ajira kwa muda mrefu nilishakuja hata hapa JF kuomba kushikwa mkono lakini sikufanikiwa. Jitihada hazishindi kudra, nimepambana sana kwa muda mrefu lakini sijafanikiwa. Skills zangu Project management Resource mobilization Computer...
  12. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora kuinua ajira kwa wahitimu wa elimu Tanzania

    Sekta ya elimu nchini Tanzania ni msingi muhimu wa maendeleo na ustawi wa jamii yetu. Hata hivyo, kumekuwa na changamoto za kimfumo katika sekta hii, ambazo zimekuwa zikichangia tatizo la ajira kwa wahitimu. Andiko hili linalenga kuchambua umuhimu wa uwajibikaji na utawala bora katika kuboresha...
  13. JamiiForums Tanzania SoC03 Ajira kwa vijana

    Ukosefu wa ajira ni mojawapo ya changamoto kubwa zinazokabili vijana nchini Tanzania. Takwimu za Mamlaka ya Usimamizi wa Ajira (NEMA) zinaonyesha kuwa asilimia 16.1 ya vijana nchini Tanzania hawana ajira. Hii ni sawa na watu milioni 7.3. Ukosefu wa ajira kwa vijana ni tatizo kubwa kwa sababu...
  14. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora: Kuinua mustakabali wa vijana kupitia ajira

    UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA: KUINUA MUSTAKABALI WA VIJANA KUPITIA AJIRA Utangulizi Tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana ni changamoto kubwa inayokabili jamii nyingi duniani. Vijana wengi wanakosa fursa za kujiajiri na kuchangia katika maendeleo ya taifa kutokana na sababu mbalimbali. Hali hii...
  15. JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala bora Mabadiliko na Ajira kwa Vijana

    Utangulizi: Utawala bora ni msingi muhimu katika kujenga taifa lenye maendeleo endelevu na imara. Nchini Tanzania, kuna fursa kubwa ya kuleta mabadiliko chanya katika nyanja za utawala bora, uchumi, na ajira, hususan kwa vijana ambao ni rasilimali muhimu ya taifa. Katika makala hii, tutachunguza...
  16. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani unatamani ungefanya tofauti ulipokua na umri wa chini ya miaka 25?

    Heshima yenu wakuu. Kuteleza na kuanguka kisha kuinuka tena na kusonga mbele ni shule nzuri sana ya vitendo ambayo humfanya mwanadamu kuwa na mbinu thabiti za kutatua changamoto zake za hapa na pale katika maisha. Wazungu wanasema, "mistakes are the best lessons". Nawakaribisha kwenye uzi huu...
  17. JamiiForums Tanzania SoC03 Kuimarisha Utawala Bora Tanzania: Kukuza Uchumi na Ajira kwa Vijana

    Utangulizi Tanzania, kama nchi inayoendelea, inakabiliwa na changamoto nyingi katika kufikia Utawala Bora. Hata hivyo, kwa kuzingatia mabadiliko na utekelezaji wa mikakati sahihi, Tanzania inaweza kufungua fursa mpya za maendeleo katika nyanja zote za kiuchumi na kijamii. Makala haya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu mambo kadhaa kuhusu ajira za UNHCR

    Mara kadhaa shirika la kuhudumia Wakimbizi UNHCR wamekuwa wakitangaza nafasi za kazi hususan kwenye field office za Kibondo, Kasulu na HQ. Wana website yao ambayo una create account kisha unaomba. Naomba uzoefu kwa waliowahi kuitwa usaili hasa katika nafasi za HR Assistant, registration...
  19. JamiiForums Tanzania Tangazo la Nafasi za Kazi - Mtendaji wa Mtaa (Nafasi 2)

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam amepokea kibali cha kutekeleza Ikama na Bajeti kwa Ajira mpya katika mwaka wa Fedha 2022/2023 yenye Kumb. Na. FA.97/228/01’TEMP’/06 ya tarehe 06 Aprili, 2023 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...
  20. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira Vijana wa kiume wamegeukia bodaboda vijana wa kike wamegeukia kujiuza

    Sina uhakika wa takwimu za ukosefu wa ajira lakini nimefanya uchunguzi wangu makini kabisa kutoka na uzoefu wangu wa jiji. Nia yangu siku zote ni kufanyakazi za kijamii baada ya kazi zangu za kuajiliwa na wachina. Katika pita pita zangu nimegundua vijana wengi sana ambao awali walikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…