ajira

  1. W

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Ajira

    Anahitajika muhasibu kufanya kazi kwenye kampuni ya clearing and fowarding pamoja na usafirishaji. Mwenye sifa atume CV na vyeti kwenye email hii; info@endabashfreighters.com
  2. JamiiForums Tanzania Wasifu wa Naibu Waziri wa Ajira Eveline Munisi

    Daaah sasa huyu atanishauri nini mimi na masters yangu mjini tukiitisha mdahalo utoki .
  3. JamiiForums Tanzania Hakujawahi kuwa na tatizo la kazi au ajira

    Tuseme tu ukweli hakujawahi kuwa na tatizo la kazi au ajira, isipokuwa kuna tatizo la kukosekana kwa kazi rahisi , au kazi zenye hadhi tunayotaka ,, kiukweli kazi za kupima matokeo nikazi ngumu kuliko zote wengi tunapenda ile kazi ambayo hata usipofanya hakuna anayeweza kuipima moja kwa moja...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi neno NOT SELECTED kwenye ajira portal hata watoto wa wakubwa linawahusu ?

    Au nilinawahusu tu vijana wa wakulima
  5. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu ajivunia kutoa ajira 7,593 nje ya Nchi(Uarabuni)🤣🤣🤣

    "Serikali imeratibu upatikanaji wa fursa za ajira nje ya nchi, na vijana wa Kitanzania 7,593 tumewapatia ajira. Mwisho wa kunukuu. Hayo ameyasema Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani. MY TAKE: Tanganyika awamu hii tumepatikana. Hakuna Mzanzibar mwenye huruma...
  6. JamiiForums Tanzania Walimu wa Zamani hawataki kubadilika kuendana na mtaala mpya.

    Ninaandika haya kama ajira mpya lakini mwenye uzoefu mkubwa katika ufundishaji. Nimefika kwenye kituo cha kazi shule ya sekondari na nilichokutana nacho nitofauti na matarajio ya waziri wa elimu. Walimu waliopo kazini muda mrefu bado wameshikilia mifumo ya ufundishaji wa zamani yaani kujaza...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya: Namtumbo mkoani Ruvuma hatujalipwa Pesa ya kujikimu

    Tunaomba mamlaka zitusaidie ajira mpya wa 2025 halmashauri ya Namtumbo-Ruvuma, tumepewa kiasi TZS 130,000 tu. Kila tunapohoji kuhusu pesa nyingine hatupewi majibu. Tabia hiyo imekuwa ikijirudia rudia hata kwa ajira ya mwaka 2024. Tunaomba mamlaka itusaidie tupate pesa yetu ya kujikimu
  8. S

    JamiiForums Tanzania Urgent hiring-Please apply

    URGENT CAREER OPPORTUNITIES – Manufacturing & Hospitality We are hiring for the following positions: Finance Manager (Dodoma – 1 position) Bachelor’s in Finance, 3–5 years’ experience in manufacturing/hospitality, strong data analysis and reporting skills. Internal Controls Officers (Dar es...
  9. JamiiForums Tanzania Money sunction effector (MSE) ni suluhisho la ajira kwa vijana hapa Tanzania

    Habari wakuu Natumai wote humu ndani ni wazima wa afya kabisa. Week mbili hizi nimefanya research ambayo naimani kama ikifanyiwa kazi basi tunaweza pata matokeo chanya kwa taifa letu na hata tutajikomboa katika wombi la ukosefu wa ajira kwa vijana na umaskini kwa ujumla. Nitangulize pia...
  10. JamiiForums Tanzania Ahadi za Ajira kwa Watoto: Mtego au Fursa?

    Watoto wanaoishi katika mazingira magumu, bodaboda etc walipewa fedha kati ya TZS 10,000-50,000 katika kipindi cha kuanzia Tarehe 12-28 Oktoba na mafunzo kwa ahadi ya Ajira na vipato zaidi #NeverAgain
  11. T

    JamiiForums Tanzania Utatuzi changamoto za ajira portal nk kama kusahau password, kusahau email nk

    personally kama una changamoto tuwasiliane kupitia 0792715343
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Ajira mpya Wilaya ya Ngara walimu wanatuchukuliaje lakini! Hela tumeambiwa zipo Hazina lakini kimya ni mwaka sasa

    Mimi niliajiriwa Mwaka 2025 katika Halmashauri ya Ngara Mkoani Kagera lakini hela zetu za kujikimu mimi na wenzangu hatujapewa, tupo Kada ya ELIMU ila wenzetu Kada ya AFYA walivyofika tu wakapewa sisi mpaka leo kimya. Mwaka huu 2026 wameleta ajira mpya wengine wa Elimu na Afya lakini afya...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barua za uthibitisho Ajira Mpya Tabora ni kero tangu Mwaka 2024

    Mimi ni Mtumishi nipo Kada ya Afya Mkoani Tabora, nimeajiriwa tangu Mwaka 2024, changamoto ipo Kada ya Ualimu na Afya intake moja Barua za uthibitisho imekuwa kero lakini mikoa mingine walishapata hatujui kwa Tabora changamoto ni ipi.
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kigezo cha cheti cha Darasa la 7 ajira ya TAKUKURU kiangaliwe vizuri

    Mimi ni kijana ninayeomba ajira zilitolewa TAKUKURU lakini kuna sharti la Cheti cha Darasa la Saba, ukweli mtupu kuwa tuliohitimu Mwaka 2015 Darasa la Saba hatukupata vyeti hadi sasa havipo. Hii inatia ugumu kupata nafasi kwa kigezo hiki kwani miaka mingine wana vyeti, hii itatukosesha nafasi...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta ajira, usimuamshe aliyelala, utalala wewe

    Kwema wote umu MMU? nipo free muda huu na nikajikuta nakumbuka mengi yaliyowahu kutokea kwenye maisha yangu... kaka ynagu natafuta ajira anatumia juhudi nyingi kuandika nyuzi katika kuwaamsha vijana wajinga wa kitanzania... na hilo ni jambo jema kabisa na la kuuungwa mkono Lakini, je hao vijana...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Ajira Mpya Halmashauri ya Mkalama DC – Singida hadi mtu aombe mkopo ndio anathibitishwa kazini?

    Halmashauri ya Mkalama DC, Singida watumishi wa Ajira Mpya tangu Novemba 2024, Kada ya Afya, hawajathibitishwa kazini hadi sasa ni Mwaka na miezi 5, japo wapo baadhi wamethibitishi kwenye mfumo baada ya kuomba mkopo kupitia ESS utumishi. Je, hii almashauri hadi mtu aombe mkopo ndipo...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahitimu wa ‘Utawala na Usimamizi wa Serikali za Mitaa’ hatuoni nafasi zetu za ajira Serikalini

    Mimi ni mhitimu wa Stashahada ya Utawala na Usimamizi wa Serikali za Mitaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo - Dodoma. Dukuduku langu ni kwamba kila zinapotangazwa nafasi mbalimbali Serikalini naona wanafuata zaidi wanasema uwe umesomea Utawala (Public Administration), je sisi...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded TAMISEMI tembeleeni waajiriwa wenu kwenye vituo vya kazi hasa ajira mpya hawapokelewi vizuri

    Serikali hasa TAMISEMI watoe tu uhamisho hata kama hajamaliza miaka mitatu, haswa kwa hawa watumishi wapya! Kuna baadhi ya wilaya za pembezoni kama mkoa halmashauri zao, watumishi wapya wanapokuja hawapokelewi vizuri vituo vyao vya kazi. Watumishi wapya wanapoleta chachu nzuri ya maendeleo...
  19. JamiiForums Tanzania Je, AI Itachukua Kazi Yako? Ukweli Kuhusu Akili Bandia na Ajira Tanzania

    Akili Bandia (Artificial Intelligence – AI) imeanza kubadilisha namna dunia inavyofanya kazi. Kutoka kwenye biashara, benki, kilimo, hadi elimu, mashine na mifumo ya kompyuta yenye uwezo wa kujifunza sasa zinaweza kufanya baadhi ya kazi ambazo zamani zilifanywa na binadamu. Hali hii imezua swali...
  20. JamiiForums Tanzania Ajira portal hawajamuita mtu interview kimakosa afanyeje

    Habari wanajukwaa Kuna mtu aliomba kazi kupitia ajira portal muda wa kuita interview hajawa shortlisted na sababu ni hajaambatanisha registration certificate ambapo yeye ali attach Afanyeje ili aweze kusaidika na interview ni ijumaa ya wiki hii Msaada wanajukwaa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…