ajira

  1. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania Wagombea wa Upinzani wamewekwa Ofisi ya Wilaya siku 3 kwa mahojiano, Masasi

    Viongozi mliopo humu, mjue na mtambue ambacho kinaendelea halmashauri ya wilaya ya Masasi. Wagombea wa upinzani wamekalishwa siku ya tatu mfululizo pasipo maelekezo ya aina yeyote. Hii inaonesha kwa namna gani DAS na watu wake wanaendelea kuhujumu wagombea. Watu wanahojiwa karibu masaa matatu...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ajira za madaktari Ndanda Referral Hospital, Masasi

    Habari wakuu? Baada ya serikali kunyakua madaktari na kuwapa ajira, sasa baadhi ya hospitali kuna nafasi zimeachwa wazi, hospitali ya rufaa inatafuta madktari daraja la II. Kama una ndugu yako hajafanikiwa hizi za serikali basi mjulishe! Kwa bahati mbaya leo ndo mwisho wa kutuma maombi...
  3. KMkhalid

    JamiiForums Tanzania Rekodi yangu bora kimasomo haijaniwezesha kupata ajira. Naathirika Kisaikolojia

    Habari wana jukwaa. Kwa kweli hivi sasa bila connection ni ngumu kupata kazi, vinginevyo Mungu aingilie kati. Binafsi kwa neema ya M/Mungu nimefanikiwa kuwa nahistoria ya kufanya vizuri darasani, na kuwa mwanafunzi bora kuanzia nilipokuwa shule ya msingi mpaka chuo kikuu. Historia yangu kwa...
  4. snipa

    JamiiForums Tanzania Ajira ya Elon Musk aliyopewa na Trump katika serikali yake je ni funzo katika nchi yetu kuwaajili akina Mo au Bakhresa ?

    Je tunajifunza nini hapa ktk serikali zetu kuajili matajiri ? Ikumbukwe matajiri wa nchi zetu wengi huwa ni indirect involves in political funding japo kuna means of blackmailing n.k na kuna mafungu wanatoa, mana kwa nchi kama zetu raia wa sisemu akiona Mo anasupport CHADEMA kesho humkuti...
  5. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Vyama visipoteze muda kukata rufaa itakayosikilizwa na waliowaengua, kama sharti ni ajira tumieni sharti hilohilo kuwaelimisha wafuasi wenu.

    Katiba ya nchi inampa haki ya kuchagua na kuchaguliwa aliyetimiza umri wakupiga kura, hakina sharti la ajira. Maadamu wameweka sharti la ajira lisilokuwemo kwenye katiba mnabidi mwaelimishe wafuasi wenu kutoshiriki kwa wao wapigakura kwa kigezo cha wao kutokuwa na ajira.
  6. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wagombea wasio na kazi wanaenguliwa! Huu ni ujinga. Wapiga kura wasio na ajira wasishiriki, huu ni werevu.

    Utata wa kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa, utata huu unatokana na kutotumia ubongo kuweka sawa kanuni huku wahusika wataka wasioridhika wakate rufaa! upotezaji muda.
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wasio na ajira wanabaguliwa uongozi serikali za mitaa?

    Kuwa na ajira au kazi ni kigezo cha kuwa kiongozi wa serikali za mtaa? Pia soma - LGE2024 - Askofu Mwamakula: Mtaa wa Stop Over mgombea wa CHADEMA ameenguliwa kwa kuandika ni mjasiriamali, huku wa CCM akipitishwa kwa kuandika mfanyabiashara -- "Kibamba hapa Dar es Salaam wapo wagombea wetu (wa...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Nataka nimsaidie kisiri rafiki mlinzi shilingi milioni 1.2 kwa mategemeo ataacha ulinzi anaolalamka unamtesa ili afanye biashara. Je, nitarajie hilo?

    nimejenga mazoea na mlinzi anaelnda sehemu jirani, mara kadhaa mida ya jioni huwa tunajuliana hali Katika stories kuna siku aliwah kuniambia kazi inamtesa sana, Usiku ni lazima aingie kazini saa 12 jioni mpaka kesho yake alfajiri saa 12 Analalamika kampuni inapewa laki 6 yeye anaachiwa laki 1...
  9. Magical power

    JamiiForums Tanzania "Baada ya kumaliza chuo 2019 nakusota bila ajira mwaka huu nikaona nitumie cheti cha JKT kuomba ajira ya ulinzi Suma JKT.

    "Baada ya kumaliza chuo 2019 nakusota bila ajira mwaka huu nikaona nitumie cheti cha JKT kuomba ajira ya ulinzi Suma JKT nikalinda sehemu ya kwanza ilikua Golden Tulip ambako security officer alinitaka niingie kila siku kwa mshahara wa laki mbili. Ilikua changamoto kutoka kigamboni paka masaki...
  10. B

    JamiiForums Tanzania NUKUU: Kutokana kanuni ya 50/50 wanawake kuajiriwa kumesababisha ukosefu wa ajira nchini

    Kwa mujibu wa historia ya Tanzania itakumbukwa miaka 1961 mpaka 1989 idadi ya wanawake wasomi haikuwa kubwa kama miaka 2020's, lakini pia idadi ya wanawake waliokuwa kwenye ajira ama biashara ilikua ni chache ikilinganishwa na leo hii Mwanamke alitambulika kama mama nyumbani Kitendo cha...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Mastermind Tobacco walalamika kufanya kazi muda mrefu bila kupewa ajira rasmi

    Kampuni ya Mastermind Tobacco Tanzania Limited inayopatikana Jijini Dar es Salaam maeneo ya Tazara imelalamikiwa na baadhi ya Wafanyakazi wake kwa kuwafanyisha kazi muda mrefu bila kuwapatia ajira. Kwa mujibu wa mmoja wa wafanyakazi hao ambaye hakupenda jina lake kuwekwa hadharani Wafanyakazi...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Ajira ya Dereva Mwanza

    Anahitajika dereva daraja la D au C uzoefu miaka 3 na kuendelea kuendesha gari la kampuni na hoteli Jijini Mwanza Kirumba. mshahara mazuri na maslahi yatatolewa. piga 0739290084 au 0655290084.
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Abdallah Mwinyi: Elimu ya Chuo Kikuu haina umuhimu kwenye Ajira

    "Elimu mheshimiwa Mwenyekiti elimu ni mambo matatu elimu ni access, elimu ni quality, elimu ni relevance na tukianza na access wangapi wana fursa ya kwenda shule, la pili quality elimu yetu ina kiwango gani,. La tatu relevance na katika ulimwengu huu tuliokuwa nao elimu ile inatusaidia vipi...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi (ajira) Viwandani, dukani, hotelini hata za ujenzi

    Ndugu zangu mimi nipo Arusha, nina umri wa 33, natafuta kazi, Viwandani, dukani, hotelini hata za ujenzi. 0747073431
  15. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi/ ajira

    Habari za wakati huu. Majina yangu ni XX ni msichana wa miaka 25 ninaishi temeke Dar es salaam. Mimi ni mhitimu wa elimu ya chuo kikuu mwaka 2022 katika kituo kilichokuwa kinaitwa “TANZANIA-MOZAMBIQUE CENTRE FOR FOREIGN RELATIONS” lakini kwa sasa kinaitwa “ DR. SALIM AHMED CENTRE FOR FOREIGN...
  16. kante mp2025

    JamiiForums Tanzania Kuomba nafasi ya kazi kwa aliyepata ajira serikalini kada ya maabara ya hospitali!!

    Kama heading inavojieleza hapo juu mimi ni mtaalamu wa maabara, mwenye stashahada nilijaribu kurusha ndoana kwenye ajira za utumishi nikala ndoige ya kichwa kwa kupigwa NOT SELECTED Sasa nimeona wanazengo wengi wakilamba asali kwenye pdf hizi za serikali hasa upande wa kada yangu ya maabara na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu juu ya Mfumo wa kujitolea na Usimamizi wa Ajira za dharura Serikalini

    Katika muktadha wa ajira serikalini, suala la kujitolea linazua changamoto nyingi, hasa linapokuja suala la kutumika kama kigezo cha ajira za kudumu. Ingawa ni muhimu kutambua mchango wa wanajitolea, kutumika kwa kigezo hiki kunaweza kufungua milango ya upendeleo wa kifamilia au urafiki...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Kwenu wanafunzi wa form 4 na wazazi, Form 5 na 6 ilishapitwa na wakati.Ni vizuri kuanza chuo mapema baada ya form 4 na hupanua zaidi goli la ajira

    Hasa kwa wale wenye malengo ya kuja kuajiriwa kwasababu ukweli mchungu wa mfumo wetu wa elimu yetu inaandaa zaidi wahitimu kuajiriwa serikalini, wachache sana wamevunja mwiko huu kwa kutumia elimu zao kujiajiri kwa hiari Ni kwanini form 6 ilitokea kuwa maarufu zaidi ? Hapo zamani nchi ilikuwa...
Back
Top Bottom