ajira

  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tusimung'unye maneno, tatizo la ukosefu wa ajira hapa nchini Tanzania ni matokeo ya utawala wa Magufuli

    Hello! Najua kuna watu huwaambii kitu kuhusu Magufuli lakini ngoja niwaambie hata kwa ubabe. Tatizo la ajira ni global issue lakini kwa Tanzania halikupaswa kutokea sasa, lilipaswa lianze angalau 2030. Baada ya kuingia Magufuli Ikulu na kuwa Rais cha kwanza kabisa akaenda kupambana na...
  2. Worldboss

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kupata ajira wekeza muda mwingi katika utafutaji ajira epuka biashara itakayokula muda wako

    Habari Hopefully wote mko salama. Leo nipo hapa kushare nanyi research yangu niliyoifanya baada ya kumaliza chuo na kuwa jobless kwa miaka kadhaa. Muda namaliza chuo mpaka napata ajira ya kudumu kuna kitu nimejifunza sana ambacho ningependa kushare na wahitimu mbalimbali wanaotafuta ajira...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Baadhi ya Watumishi KKKT kufanya kazi bila mikataba ya ajira

    Je, ni sawa kwa baadhi ya watumishi wa KKKT kufanya kazi na kupokea mishaara bila mikataba ?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kuna sababu ya kufupisha muda wa ajira serikalini ili kuto fursa za ajira kwa wimbi kubwa lililo mtaani?

    Kadri miaka inavyo zidi kwenda kunakuwa na ongezeko kubwa la wimbi la vijana wanao tafuta ajira. % kubwa wengi wanapata ajira wamesha choka miaka ya 35-40.... hapo ana ambuliatu Ela ya kustaafu Hoja ya msingi serikali ungekuja na mpango kupunguza muda wa kuajiriwa ikawa miaka 10, Kama ilivyo...
  5. DexterLab

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji ajira 2024, msaada tutani

    Salamu, wakubwa hivi mtu ukifika hatua hii hapa kwenye kiambatanisho nilicho attach Kuna hatua Gani nyingine natakiwa kufuata?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Kikwete: Fursa za ajira kwa vijana nje ya nchi kipaumbele cha Serikali ya Rais Samia

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kufungua fursa zaidi za ajira kwa watanzania nje ya nchi. Aidha, Mhe. Ridhiwani amesema serikali...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ajira ni haki ya kila kijana msomi, lakini kwasababu ya upumbavu wao hawatakuja kuitambua hii haki yao ya msingi mpaka watazeeka.

    Vijana wanajifariji eeeh maisha popote ilimradi mkono uende kinywani. Kijana bila aibu na kimeza chake cha matunda anasema Mimi nina degree. Are you mad? Kama ungetaka kuwa muuza matunda ungeishia DARASA la kwanza tu au la pili. Hesabu za darasa la pili zinatosha kwa mfanyabiashara wa matunda...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Vijana graduates hawana ajira za kueleweka wenyewe wapo kimya

    Vijana graduates pazeni sauti muajiriwe mnakaa kimya serikali inajisahau na nyie mnasahaulika Imefika point kwa mwaka serikali ina ajiri wastani wa vijana 10,000 tu . Graduates wengi wana jishughulisha na udalali,uwakala na kazi zenye vipato duni kimya kimya. Binafsi naumia kuona vijana...
  9. Knock life

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira /Kazi ya Ulinzi, Storekeeper

    Naitwa Ezra Umri 23 Elimu kidato cha sita. Nimepita JKT Natafuta Kazi zifuatazo Ulinzi -kazi hii nipo na uzoefu nayo maana nimepita JKT pia nimewahi kufanya Kazi SGA Kama Mlinzi wa Silaha. (security group of Africa) kazi hii niliacha Kwa makubaliano ya pande zote mbili baada ya kwenda...
  10. ALENI WAKALA

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya usikuvu na mapambano katika soko la ajira

    HABARI WANAJAMII!! Naitwa ALLEN WAKALA, nimehitimu shahada ya Utawala (Public administration) Chuo Kikuu mzumbe. Nipo Dar es Salaam, ninapambana na changamoto ya maisha kama kijana anayejitegemea. Hata hivyo, ninakutana na kikwazo kikubwa kinachohusiana na afya yangu, kwani nina changamoto ya...
  11. ALENI WAKALA

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya usikuvu na mapambano katika soko la ajira

    HABARI WANAJAMII!! Naitwa ALLEN WAKALA, nimehitimu shahada ya Utawala (Public administration) KATIKA Chuo Kikuu mzumbe. Nipo Dar es Salaam, ninapambana na changamoto ya maisha kama kijana anayejitegemea. Hata hivyo, ninakutana na kikwazo kikubwa kinachohusiana na afya yangu, kwani nina...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mahafali Mzumbe: Profesa awataka wahitimu kuvua majoho na kofia kwani ajira bado ni chache

    Mlau wa mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Mzumbe yanayofanyika leo Novemba 24, 2024 mkoani Morogoro Profesa Hawa Tundui amesema ajira ni chache lakini fursa bado ni nyingi, na hivyo kuwataka wahitimu wote wavue kofia na majoho na kufanya kazi yoyote ambayo ni halali kwa kujiingizia kipato. Kadhalika...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa za uhakika kuhusu ajira za ualimu ambazo usaili ulisitishwa, atujulishe hapa.

    Baada ya taarifa ya kusitishwa zoezi la usaili kwa kada ya ualimu, hakuna taarifa nyingine ambayo imetolewa na mamlaka husika juu ya nini kitafata au kama utaratibu wa namna ya kuwapata walimu hao utabadilika. Najuwa Jamii Forum ni jukwaa lililosheheni watu kutoka vitengo mbalimbali na pengine...
  14. Ibn Unuq

    JamiiForums Tanzania MUHIMU: Kwa wale msio na Ajira kabisa hii inaweza ikawasaidia, Soma .

    Kwa wale ambao mkiamka hamjui mkashinde wapi. Kwa wale ambao mmesoma na mnapambania kupata ajira. Nimewawekea link ya group ya whatsapp hapa, kinachotakiwa ni wewe kufuatilia na kuwa Fasta. Watu waliopo Dar wana advantage kubwa zaidi, Kazi kulingana na Level yako ya Elimu [Ualimu, Ufamasia...
  15. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Fursa ya ajira

    Ndugu yangu kabisa mambo, natafuta dada wa kufanya kazi stationery, Sifa Awe anajua vizuri computer na kazi zake. Awe anajua kazi za stationery sio analetewa kazi inamshinda Eneo la kazi ni ukonga mzambarauni aishi maeneo ya karibu ili iwe rahisi kufika make nafungua kumi na mbili kamili...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana anayeweza kuchoma nyama vizuri maneno ya Tabata

    Habari, natafuta kijana mmoja wa kiume, mchakarikaji akiwa anaishi maeneo ya Tabata Barakuda au Vingunguti itakuwa bora zaidi. Mawasiliano: 0764423726 Awe anajua kuchoma nyama vizuri awe mzoefu kwenye hilo eneo!
  17. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Mahusiano kwa sasa yamekuwa kama ajira ya kudumu kwa wanawake wa kizazi hiki

    Kuna muda mwanamke yupo na wewe kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa sababu ni masikini hana chaguo lingine la ziada. Ukweli ni kwamba wanawake wengi tunaotembea nao na wale mliowaoa wanashikilia mahusiano ya mapenzi na wanaume zao kwa sababu wanataka msaada wa kiuchumi. Ni masikini ,hawana...
  18. sangaone98

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, kibarua au ajira

    Heshima yenu wana JF popote mlipo, I hope mko sawa, mimi ni kijana wa kiume umri wa miaka 26. Naombeni kwa yeyote anayeweza nisaidia kupata kazi, kibarua, Ajira mwenye connection ya mchongo wowote halali naomba anisaidie naamini kwenye uwezo wenu wana JF. Kwa sasa niko iringa ila naweza kuja...
  19. K

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Idara ya Utumishi - Halmashauri ya Nachingwea inatuzungusha kutupa Barua za Ajira sisi Watumishi wapya

    Naomba kuwasilisha kero sugu iliyopo katika Halmashauri ya Nachingwea upande wa Idara ya Utumishi, kumekuwa na mikingamo mingi na mazingira tata katika utoaji wa barua za uthibitisho na barua za ajira kwa sisi Watumishi wa Serikalini. Hizi barua hazitolewi kwa wakati na mpaka sasa, kawaida...
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI ili la kuacha Halmashauri ziwapangie Ajira Mpya vituo vya kazi, limezalisha Rushwa ,hususan Rushwa ya Ngono !!

    Sijui Hilo wazo alilitoa nani, ni wazo la kijinga kupindukia. Nani asiyejua Halmashauri zetu zilivyo?. Mdogo wangu ananipigia simu, Brother Kuna MTU hapa ananilazimisha mapenzi ndio Sasa anipangie Kituo kilicho Maeneo ya Mjini. Mdogo wangu anaenda mbali anadai, Kuna Rafiki yake katembea na...
Back
Top Bottom