ajira

  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kufanya maombi ya ajira wa TRA unaleta errors wataalam wa IT wa TRA urekebisheni

    Mfumo unaleta internal saver error. Hapo inakua ni ngumu kufanya usajili ili uweze kufanya maombi ya ajira.
  2. Sambare

    JamiiForums Tanzania Athari za mwajiriwa kutopitisha barua ya ajira kwa mwajiri wake

    Habari wana Jamii.. Naomba kupata uelewa kwenye hili . Ikiwa umeshaajiriwa na unataka kuomba ajira Tena serikalini, wanaposema upitishe barua yako kwa mwajiri wako wa sasa . 1.Je ispofanyika hivo Athari zake ni nini?
  3. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Kwanini TRA wametangaza kazi kwenye website yao ikiwa kuna ajira portal (Utumishi)?

    Ndugu zangu. 1: Ni kwanini basi TRA watangaze kazi kwenye website yao na maombi yatumwe kwao direct ikiwa kuna ajira portal ? 2: Na ikiwa kama serikali imewapa mamlaka na kibali cha kuajiri , kwanini haijafanya hivyo kwa mashirika na taasisi zingine zote kufata mfumo huo huo wa kuajiri...
  4. Anastasia21

    JamiiForums Tanzania Nahitaj ajira au kibarua au kazi

    Habari Wana jf mm ni kijana mwenye umri wa miaka 23(ke) nahitaj ajira ambazo zipo au kwa wale wanaohitaj wafanyakazi kazi yoyote nafanya na elimu ya form 4 tusaidiane ntashukuru kwa muajir ikifanikiwa No;0750302068
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kuhusu ajira za Walimu,Hili prof Mkenda Kalitazama!

    Habarini wanaJamiiForums, Mimi ni mdau wa kupenda maendeleo na ustawi wa wengine pia.Kuna hili swala la ajira za Walimu mtindo wanaotumia kupata walimu wa kuajiriwa ni mzuri ila una mkwamo mkubwa sana. Yaani Mwalimu aliyemaliza chuo mwaka 2019, Unapoenda kumpambanisha interview na aliyemaliza...
  6. Isenye

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi ajira za TRA wanaruhusu kuomba nafasi zaidi ya moja?

    Habari zenu wana jukwaa? Hivi hizi ajira za tra let's say sisi watu wenye shahada za uhasibu naona kama kuna kada nyingi sana tunaingia,mfano tax management, customs,accounts officer, auditing etc. Je inaruhusiwa kuomba zaidi ya nafasi moja? Nisaidieni maana me sijawahi kuomba hizi kazi za...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Mabosi waeleza kwanini wanawafukuza kazi Gen Z miezi michache baada ya kuajiriwa. Gen Z chukua notes

    Kuna jamaa kasema tatizo Gen Z hawako serious, unakuta mtu anamuita Boss - Bro😂😂 ===== Kwa mujibu wa utafiti wa hivi karibuni uliofanywa na Intelligent, 1 kati ya mabosi 6 wana wasiwasi kuhusu kuajiri Gen Z tena, na 1 kati ya 7 huenda wakakwepa kabisa kufanya hivyo mwakani. Hizi ndiyo...
  8. Liyambange

    JamiiForums Tanzania Msaada namna yakuweka passport size photo kwenye ajira portal

    Msaada wana JF kwa anaejua namna yaku upload passport size photo kwenye ajira portal
  9. R

    JamiiForums Tanzania Nafasi za ajira zinasimamiwa na taasisi badala ya utumishi, wasio na connection wanatoboa hapa ?

    Mfano kwa leo nimeona kuna tangazo la ajira TRA. Ni wao wenyewe wanasimamia zoezi, maombi yanatumwa kwao Wasio na connection wanatoboa hapa ? Boss yupo tayari kumpa ajira mtu asiemjua wakati Ndugu zake, Mtoto wake, ndugu wa mke wake hawana ajira ?
  10. Replica

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kiwango cha kukosa ajira nchini ni 7.8% kama takwimu za NBS zinavyosema?

    Leo nimetembelea tovuti ya NBS, katika pititia pitia nimeona kiwango cha ukosefu wa ajira nchini kipo asilimia 7.8, takwimu ambazo zilikusanywa kutoka kwenye sensa ya watu na makazi. Chapisho husika limetolewa Feb, 2024. Nauliza hizi asilimia za NBS zinaakisi uhalisia uliopo kwa ground? Kwamba...
  11. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira kwa vijana, kutasababisha ongezeko kubwa la uhalifu

    Ukosefu wa ajira kwa vijana, kutasababisha ongezeko kubwa la uhalifu.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya nazo ziungane na Marekani kukata misaada. Ajira zikikosekana, ndio watanzania wataelewa kwanini CCM inafaa kuondolewa madarakani

    Miongoni mwa watu ambao watakuambia mimi sifuatili siasa, ni bsadhi ya hawa wenzetu wanaofanya kazi karika mashirika ya kimataifa na kulipwa hela nyingi kiasi kwamba waona siasa kwao haina maana. Mimi naomba na nchi za Ulaya nazo zisitishe misaada kama Marekani ili wote tuongee lugha moja juu...
  13. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Ewe Mwanachuo unayehitimu, ongeza Maarifa na Stadi za Maisha kwani Ajira siyo uhakika kama zamani

    Elimu ni bahari Elimu ni hazina Elimu ni ufunguo wa maisha. Hii ni baadhi ya misemo inayochochea na kuhamasisha umuhimu wa elimu. Na muamko si mdogo Kwa miaka ya hivi karibuni ,Watu waliograduate ni wengi hali inayosababisha Ajira kuwa chache kwani mahitaji ni machache kuliko bidhaa...
  14. bay_zooh

    JamiiForums Tanzania Ulitumia jitihada, njia au mbinu zipi kupata ajira au kujiajiri?

    Habari za wakati huu wanaJF, Naombeni mnisaidie wenye uzoefu na hili. Pengine kwenu wanaJF mlitumia njia zipi kuweza kupata ajira au kujiajiri, nimeuliza hili kwa sababu naona maisha yanazidi kunipalia, binafsi nimehitimu shahada ya mambo ya uchumi na takwimu nimejitahidi kutafuta ajira kwa...
  15. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania Upotevu wa ajira - Teknolojia sio rafiki wa Mwanadamu kwenye ajira

    Teknolojia sio rafiki wa Mwanadamu kwenye ajira
  16. Knock life

    JamiiForums Tanzania Serikali kwakuwa hamna ajira za kutupatia , basi tunaomba mtuwekee mazingira rahisi ya sisi kwenda nje

    Sio sababu maalumu ya kutuwekea ugumu hasa passport n.k Tuwekeeni urahisi wa sisi kutokana na kwenda kujaribu bahati zetu zetu Nje .
  17. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Hali halisi ilivyo Ajira portal: Hii ndiyo serikali ya CCM inayojinasibu kumwaga ajira kwa maelfu ya wahitimu

    Katika maelfu na maelfu ya wahitimu walipo mitaani, Serikali haina nafasi hata moja ya kumuajiri mhitimu wa Accounting? Pamoja na wingi wa wahitimu hususan vijana, serikali imeamua kuwafungia vioo vijana Gen Z! ina maana Serikali nzima, pamoja na thinktank zake imefeli kabisa kuokoa taifa la...
  18. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Vijana msio na ajira changamkeni mechi za Yanga ni ajira tosha, anza sasa kubet

    Kuna tumu nane mpaka kumi kwenye ligi kuu,haziwezi kyifunga yanga. Hizo mechi ukizidisha mara mbili yaani home and away ni mechi 20 Ukiweka milioni kila mechi kwa msimu mmoja una sh ngapi?? Sio mpaka niwafundishe kila kitu
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania NAFASI YA AJIRA: Kijana Mwenzangu Chukua Mkopo wa Kusambaza Nishati Safi ya Kupikia mijini na vijijini (Ni fursa kubwa sana hii)

    FURSA KUBWA KWA WAJASIRIAMALI NA WAFANYABIASHARA! Benki ya NMB imetenga Shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya Mikopo ya Miradi na Biashara za kusambaza Nishati Safi ya Kupikia kwa Watanzania. SIFA ZA MKOPO: ✔ Riba nafuu ya 1% kwa mwezi (12% kwa mwaka, reducing balance hivyo effective interest...
  20. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Kwa nyomi ya walimu wa kiswahili ile nilioshuhudia siku ya usaili wao, hakika nawashauri vyeti wachome moto na wasahau suala la ajira

    Usipojua na kama haujashuhudia unaweza hisi ni hadithi tu au ni jokes ukweli inasikitisha vijana nilioshuhudia vijana zaidi ya 2000 katika mkoa Fulani wakipambania nafasi ya walimu 180 nchi nzima na hao 2000 ni mkoa Mmoja sijajua mikoa mingine walioitwa kwenye usaili. Hakika kazi ipo vijana...
Back
Top Bottom