ajira

  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Serikali ifanye hivi kusaida NETO na vijana wengine wasio na ajira

    Hili suala la ukosefu wa ajira ni tatizo la dunia nzima ila hatupaswi kubweteka kisa majirani nao wana tatizo kama letu. Kama mwananchi mzalendo nina ushauri kwa serikali ili kupunguza tatizo la ajira lililopo na kuzuia huu uanzishwaji wa vikundi vya vijana wasio na ajira. Haileti picha nzuri...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Yaliyo nikuta katika kukopa kwangu ili yawe funzo kwa wengine wa lamba asali

    Kuna la kujifunza kwa waajiliwa wapya soma attachment.
  3. 3

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Ajira

    Habarini za leo ndugu zangu, mimi ni binti wa miaka24, Elimu yangu ni degree ya Mass communication in public relations and marketing Naombeni msaada wa kazi🙏 yoyote ile ambayo ni halali iwe ya professionalism yangu au kazi yoyote ya kawaida Dukani, viwandani, ofisini au kokote kule.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu zilikua 14,000 wameajiri 6000 halafu wamekaa kimya takribani siku 7 hakuna kinachoendelea

    .
  5. Wakwetu03

    JamiiForums Tanzania CHANGAMOTO ZA KUOMBA AJIRA ZA ZIMAMOTO KUPITIA MFUMO WAO

    Ndugu wanajukwaa,nimepata changamoto ya kuomba kazi kupitia mfumo wa kuomba kazi katika jeshi la Zimamoto. Nimefuata taratibu zote za kujisajili kwenye mfumo wa ajira ili kuomba kazi kama ilivyotangazwa hata hivyo napata changamoto katika hatua ya mwisho ya kuwasilisha maombi yangu kwani link ya...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi ya aina yoyote ile ili mradi tu niweze kupata kipato

    Habari zenu wakuu. Mimi ni mgeni hapa JF lakini nimekuwa nikifuatilia platform hii kwa miaka kadhaa sasa. Lengo la kuja hapa jukwaani ni kuomba msaada wenu wa kazi ya aina yoyote ile ili mradi tu niweze kupata kipato chochote cha kuisaidia familia yangu... Binafsi nina elimu ya kidato cha...
  7. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Wahitimu msing'ang'anie kuomba kazi bongo pekee hata kama uridhiki na ajira uliyonayo muda haurudi nyuma fursa popote

    Hawa vijana wa singeli uenda bongo ndio tuna vijana wa hovyo kutwa kutumia bando kuangalia ujinga mda hauendi mtu analia connection connection connection haikufuati umelala kitandani ukiwa unapambana bongo usiache na kupambana nje pia nje hapa hitaji connection ili kupata kazi kule ni cv na...
  8. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Ewe jobless kukosa kwako ajira kusikuondolee usomi au uwezo wako wa kufikiri

    Mimi Kama rais wa chama Cha ma jobless pro max, nime ona nitoe angalizo Kwa wanachama wote walio ma jobless. lengo la kutoa angalizo ni kueleweshana mambo kadhaa, ili tuweze kujua ni mambo gani ya kuzingatia wakati huu. 01, Serikali haiwezi kuajiri watu wote, enyi ma jobless huu ndio ukweli...
  9. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Baada ya bomu la vijana wasiyo na ajira naona mgomo mwingine kutoka kwa kundi la vijana lililorudishwa nyumbani kutoka JKT

    Baada ya malalamiko ya waalimu wasio na ajira kuishinikiza serikali kutatua changamoto zao sasa inaonekana kuna kundi jingine la vijana wasio na ajira linaibuka. Ukiachana na hayo makundi mawili kuna hili kundi la vijana kutoka JKT wanarudishwa makwao for fun na wanapewa wengine nafasi kwa...
  10. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Serikali ipunguze bei ya viwanja vya kujengea viwanda, hadi 1000 kwa sqm 1 au 500 kwa sqm 1. Ili kuongeza ajira kwa vijana kupitia viwanda vidogo

    Serikali ipunguze bei ya viwanja vya kujengea viwanda, viwanja vya kuweka biashara. Kuuza kiwanja cha kiwanda kwa @20,000 kwa mita moja ya mraba au 30,000 kwa sqm au 50,000 kwa sqm ni bei juu mno na inaua uzalishaji wa bidhaa hasa kwa vijana na wazawa, hakuna kijana mwenye milioni 500 au 1B kwa...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Fauli shule kisha Nenda chuo kikuu, pata degree, utapata ajira nzuri, anzisha familia nzuri, ni formula ya miaka ya 90 haifanyi kazi zama hizi

    Hii formula imegeuka
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hivi Weledi wa Jeshi Polisi Tanzania uko wapi? Umoja wa Waalimu wasokua na Ajira, sio Kikundi Cha Uhalifu Wala wavunja Amani

    Yaan Kwa vile mlizoea chama cha walimu ambao kimsingi viongozi wake ni mapandikizi, Vijana wamewashtua, mnaanza kuhaha, kutafuta suluhisho Kwa Vijana ,nyie mnawapa majina mabaya ,wahalifu, wavunja Amani ,Magaidi . Khaaa?? This is a shame !!. Mambo mengine ni kujidhalilisha kupita kiasi. Yaan...
  13. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Chama cha walimu wasio na ajira (NETO) kiongeze wigo hadi kuwa Chama cha vijana wasio na ajira (NEYO)

    Ushauri Chama cha waalimu wasio na ajira, Non employed Teachers Organization (NETO) Kingeongesa wigo na kukusanya vijana wengi zaidi na kiwe Chama cha vijana wasio na ajira, Non employed Youth Organization (NEYO) Karibuni kwa maoni =================== Tayari kuna chama kimeanzishwa kinaitwa...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Serikali imuachie huru Mwenyekiti wa Chama cha Walimu Wasio na Ajira, Joseph Kaheza

  15. dorge

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira sio walimu pekee

    Miaka ya 2010 nikamaliza degree yangu ya pili baada ya ile ya awali kutonipa manufaa. Kwa kuwa nilisoma nikiwa na cheki namba haikunipa shida kuhamia wizara nyingine kama mtaalam wa nilichokwenda kusomea. Idadi ya wahutimu vijana ni kubwa mno, na sio walimu ni kada nyingine kabisa. Wakati huu...
  16. KingPower

    JamiiForums Tanzania Changamoto katika mfumo wa ajira jeshi la Zimamoto

    Habari wakuu poleni na majukumu Niende moja kwa moja kwenye madam kama ilivyoainishwa hapo Juu Nina siku ya 3 Leo Kila nikijaribu Kumsaidia Mdogo Wangu kuomba hizi Nafasi za ajira zilizotangazwa na Jeshi la zimamoto inashindikana, Maana hata log in / sign up inagoma kufunguka, sasa sijui ni...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Sekretarit ya ajira ni muda gani utakiwa kusubiriwa kwa usaili baada ya kutuma maombi ya kazi kisheria?

    Kiualisia sekretarit ya ajira kufikia hatua ya kutangaza nafasi za ajira ina maana kuna uitaji.Sasa inakuwaje nafasi itangazwe toka mwaka jana(2024) mwezi 8 mpaka mwezi huu wa pili mwaka 2025 hakuna mrejesho wowote? Kama hakuna sheria kwa swala hili basi hakuna uaminifu tena kwa sekretarit ya...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Katika maisha yangu sikuwahi kutegemea kuna kitu kitaanzishwa na chama cha walimu wasio na ajira

    Sikutegemea ipo siku kuna chama kitaanzishwa na walimu waliokosa ajira Basi nakiri kusema kuwa tupo katika unemployment crisis. Kuna wakati waalimu hawakubaki mtaani kwa maana walikuwa on demand. Kwa wewe graduate, kama baba yako ni apeche alolo, sura ngumu kama mimi, hauna connection tafuta...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Portal ya Ajira za Zimamoto inasumbua

    Habari ya asubuhi wanabodi kijana wangu anahangaika kuomba ajira katika jeshi la zimamoto na uokoaji ila cha ajabu portal yao inasumbua inakataa taarifa inaandika processing tu kwa aliefanukiwa kuomba ajira izo online alifanyaje fanyaje??
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Simbachawene awataka viongozi wa walimu wasiokuwa na ajira NETO kufika ofinini Dodoma kwa mazungumzo

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene, amewaita ofisini kwake Dodoma kwa mazungumzo viongozi wa vijana waliojitambulisha kwenye andiko lao kuwa ni “Non Employed Teachers Organisation (NETO)” wenye umoja wao kupitia mitandao ya...
Back
Top Bottom