Naitwa Yusuph , umri miaka 20 natafuta Ajira au kazi yoyote ile ya halali.
Elimu yangu kidato cha nne.
Aina ya kazi , naweza kufanya Kazi mbali mbali , zakutumia akili pamoja na nguvu
Napatikana DSM wilaya ya TEMEKE
Mawasiliano +255696993834
Role Overview
Gilgal Tech is seeking a passionate and talented Junior Software Developer to join our growing team. The ideal candidate will specialize in Python and web development (or full-stack development). Candidates with a background in graphic design will have an added advantage...
Habari wakuu.
Mimi kijana niliyesoma Diploma ya uuguzi na ukunga nashukuru Mungu mwaka huu nimebahatika kuajiriwa rasmi Serikali.
Nilikuwa na lengo la muda mrefu kujiendeleza kimasomo lakini nilikuwa nasubiri kwanza niingie kwa mfumo rasmi..
Wakuu naombeni ushauri wa Mambo yafuatayo.
1.Mbinu...
Hello Wana JF
Nashida katika uombaji ajira hizi za Uhamiaji, nimesha fanikiwa atua ya awali ya kujisajiri Sasa changamoto inakuja pale ninapo taka kuendelea kuja taarifa zangu zingine hainiletei muongozo unao fuata, mwenye ufahamu zaidi naomba Msaada.
Mnaosema kama hauna mzito unaye fahamiana nae serikali/ shirika fulani huwezi pata kazi, haya mbona uncle magu alilamba uraisi na alitokea chato, kwanini wewe unaamini katika connection? Mbona uncle magu alitoboa bila ya connection?
aiseeee
Kila mtu mtaani kwangu huku anayehangaika kutuma maombi kwenye mfumo wa uhamiaji naona anakwama ku regester wanaandika IVALID REGSTRATION"
what the hell is this???
nimeona hili tangazo la ajira za jeshi la uhamiaji, naombeni kujua kwamba, kwa fresh graduates ambao hawajapata vyeti toka vyuoni wanaombaje hizi nafas? maana nimeona vyeti vihakikiwe, inakuwaje kwa fresh graduates ambao hawajapata vyeti?.
mwenye anaweza kunijibu/kutoa mwongozo kuhusu hili...
Ukweli nmekutana na vijana wengi wanalalikia mfumo wa maombia ya ajira yaani ajira PORTAL, kwamba walikuwa shortlisted kutoka mwezi wa 10 mpaka Leo hawajaitwa sasa je waendelee na shughuli zingine?
Au vipi na mpaka Leo hakuna ufafanuzi wowote. Watu wamebaki na sintofahamu. Cha kushangaza wale...
Salaam wakuu. Kuna jamaa ni mtaalamu wa mitambo ya viwandani anaomba kupata sehemu ya kupiga kazi. Anauzoefu wakutosha kwani alishafanya kwa muda mrefu kwenye moja kati ya viwanda vikubwa vya sukari hapa nchini.
Mwingine ni mdogo wangu wakike.Ana Bachelor of art in geography and
environment...
Wakubwa habarii za wakati huuu! Huu ni Uzi maalumu juu ya ajira zilizo tangazwa na idara ya uhamiaji hivi karibuni.
Binafsi nafanya application lakini sijafanikiwa kufika mwisho, nikisha log in tu sion maelekezo mengne yanayofatia.
Je Kuna miongoni mwetu/ ndugu/ mtu wake wa karibu...
Mimi ni mfanyakazi na nimefanya kazi kwa takribani miaka 11 kwenye taasisi hii. Nilikuwa naingia mikataba ya miaka miwili miwili halafu na-rew. Sasa ilipofika mwaka 2015 mwajiri alininipa mkataba wa permanent kama ku-comply na matakwa ya CRDB ambao walisema ili mwajiriwa apate mkopo katika benki...
Anahitajika Mwalimu mahiri ngazi ya shahada katika somo la Jiografia na Historia au Jiografia na kiswahili. Shule ipo Mbeya Mjini na inatoa mshahara scale ya serikali..... Kama Hauna mastery of the subject na hauko vizuri discipline wise usipoteze muda wako.
Kwa mawasiliano: 0655087675.
Hello!
Najua kuna watu huwaambii kitu kuhusu Magufuli lakini ngoja niwaambie hata kwa ubabe.
Tatizo la ajira ni global issue lakini kwa Tanzania halikupaswa kutokea sasa, lilipaswa lianze angalau 2030.
Baada ya kuingia Magufuli Ikulu na kuwa Rais cha kwanza kabisa akaenda kupambana na...
Habari
Hopefully wote mko salama. Leo nipo hapa kushare nanyi research yangu niliyoifanya baada ya kumaliza chuo na kuwa jobless kwa miaka kadhaa.
Muda namaliza chuo mpaka napata ajira ya kudumu kuna kitu nimejifunza sana ambacho ningependa kushare na wahitimu mbalimbali wanaotafuta ajira...
Kadri miaka inavyo zidi kwenda kunakuwa na ongezeko kubwa la wimbi la vijana wanao tafuta ajira.
% kubwa wengi wanapata ajira wamesha choka miaka ya 35-40.... hapo ana ambuliatu Ela ya kustaafu
Hoja ya msingi serikali ungekuja na mpango kupunguza muda wa kuajiriwa ikawa miaka 10, Kama ilivyo...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kufungua fursa zaidi za ajira kwa watanzania nje ya nchi.
Aidha, Mhe. Ridhiwani amesema serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.