ajira

  1. Muongozo kwa Vijana ambao mmetoka Chuo na Ambao mnajiandaa kuingia katika soko la ajira /Kazi

    Muongozo kwa Vijana ambao mmetoka Chuo na Ambao mnajiandaa kuingia katika soko la ajira /Kazi. Ikiwa wewe ndo umetoka Chuo na unajiandaa kuingia mtaani na katika soko la ajira /kazi. Baada ya kuhitimu masomo yako jambo la kwanza ni Kufanya ibada ya shukrani kwa Imani yako , kwakuwa katika...
  2. A

    KERO Vyuo havi-update kwa wakati taarifa za Diploma kwenye Mfumo wa NACTE. Ukiomba ajira Serikalini, mfumo haukutambui

    Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo kimoja hapa Dar es Salaam, ninasomea Stashahada Mwaka wa Pili..... nilikuwa na changamoto au kero kuhusiana na usajili wa Vyuoni na NACTEVET ambapo hata mimi nimekutwa na hiyo changamoto na mpaka sasa haijafanyiwa kazi. Vyuoni humu wanatabia ya kutusajili Wanafunzi wa...
  3. A

    KERO UDOM rekebisheni uandishi wa Vyeti, mnatukosesha fursa kwenye Ajira Portal!

    Nina kero moja, ngoja niiweke hadharani leo, ni kuhusu Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kinafanya Watu wapate tabu saana kupata ajira kupitia Ajira Portal. Mfano hizi kazi za Walimu wa Economist au Mathematics, Mtu kasomea Pschology of Education in Mathematics and Economics, cheti kinaandikwa...
  4. Natafuta ajira

    Nipo dar es salaam, natafuta ajira/kazi ya kuniingizia kipato, nina uzoefu wa kuisimamia restaurant, barman, office assistant (messenger), cashier hata ya kiwandani.
  5. N

    Kuna Maisha baada ya Elimu, Diploma una chance kubwa kupata ajira baada ya chuo, Form 6 ni shortcut lakini ni ngumu sana kupata ajira baada ya chuo

    Kila mwaka idadi ya wanafunzi wa kidato cha sita inaongezeka sambamba na ufaulu. Mwaka huu pekee, zaidi ya wanafunzi 125,000 wamepata sifa za kujiunga na masomo ya shahada ya kwanza (Degree), Kati ya hawa, wanafunzi wanaoweza kujiunga na vyuo kwa mikopo au kwa kujilipia wanakadiriwa kufikia elfu...
  6. R

    Raia wa Liberia waandamana wakidai Haki, Ajira na uwajibikaji kutoka kwa Serikali yao ya Rais Joseph Boakai

    Mamia ya raia wa Liberia waliandamana jijini Monrovia wakiongozwa na kiongozi wa upinzani Mulbah Morlu, Wakitaka serikali ya Rais Joseph Boakai kuwajibika kwa ahadi za kampeni na maisha bora waliyohahidiwa tangu alipoingia madarakani mwaka jana Waandamanaji walilalamikia kupoteza ajira...
  7. M

    Ajira dereva boda boda

    Ajira Ajira Kijana mwenye vigezo tajwa anahitajika tafadhali usitume message piga simu kwa ufafanuzi
  8. Ajira ajira

    Wanahitajika mabinti wawili kwa ajili ya kufanya kazi ya kusambaza chakula kwa wateja Location : Kariakoo Mshahara maeleano Umri wowote ila awe anajituma Kama upo tayari zama inbox tuyajenge
  9. Nani wa kumuajiri Kwenye kampuni au Kazi yako?

    Kwa mtazamo mkubwa watu wengi wenye Makampuni, au watengeneza ajira hasa zinazo hitaji ubunifu kwasasa hawaajiri watu wenye alama kubwa za kiakademiki/darasani 85-100%. Bali Hupenda kuwaajiri watu wenye 60-80%. Hii ni kwanini?
  10. GE2025 Mtia nia Urais CUF atawapa Vijana Ajira

    Mtia nia wa nafasi ya Urais katika Uchaguzi mkuu kupitia Chama cha Wananchi CUF Nkunyuntila Siwale amesema endapo Chama chake kitampa ridhaa ya kuwania nafasi ya Urais atawapa ajira Vijana wote nchini kwani anazijua mbinu zote. Mzee Siwale ameyasema hayo Julai 15, 2025 baada ya kukabidhiwa fomu...
  11. Degree ambazo ukisoma hukosi Ajira

    Degree ambazo ukisoma hukosi Ajira. 1. Computer Science 2. Healthcare 3. Degree of Mass Communication 4. Some engineering courses. 5. Business Management. Ongezea Degree moja hapa tuone?
  12. B

    Oral nterview ya Uhasibu Sekretarieti ya Ajira

    Wakuu habari Naomba muongozo kwa mwenye uzoefu na Oral interview nafasi ya Mhasibu Utumishi anipe uzoefu na namna ya kujiandaa natanguliza shukurani kwenu
  13. Wakuu wa kaya ni namna gani ya kujitoa kwenye ajira?

    Wakuu wa kaya ni namna gani ya kujitoa kwenye ajira ambayo ni financial security Na kwenda kwenye mifumo mingine ya kusaka fedha yenye uhuru Zaidi wa kifedha yaani financial freedom Unashauri kijana akifika kiwango gani Cha fedha anaweza ku escape game ya mshahara wa kila mwezi kama yupo...
  14. Nafasi za ajira Graduate Trainee

    https://www.instagram.com/p/DMEPZRUiiaQ/?igsh=bHhiY3dzaTF5NGFy
  15. Watanzania tumerogwa? Unakataa Fully funded scholarship ya masters India kisa ajira ya halmashauri (ualimu)?

    Kwenye pitapita zangu vijiwe mbalimbali vya wasap nikakuta kijana anaomba ushauri kuwa kati ya fully funded scholarship ya master's India kozi ya environmental science and ecology kama sijakosea na ajira yake mpya ya ualimu halmashauri achague nn? Hapa ndo nikaona ujinga wa wabongo wengi kukosa...
  16. Isihaka Mchinjita: Serikali ilaumiwe kwa kushindwa kuwaajiri walimu

    Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita, ameikosoa vikali Serikali kwa kushindwa kushughulikia tatizo la ajira kwa walimu pamoja na uhaba mkubwa wa walimu mashuleni. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Julai 11, 2025, katika Jimbo la Pangani, Mkoa wa Tanga...
  17. N

    Msaada wa kupata ajira ya kueleweka

    Habari za muda huu wakuu, mimi ni mhitimu wa shahada ya awali ya Bima na udhibiti viashiria hatarishi (Bachelor in insurance and risk management) 2022, kiukweli nashukuru sana tangu nimalize chuo sijawahi Kaa bila kazi nilipomaliza mwaka 2022 ni moja ya wanafunzi tuliofaulu vizuri na kuchukuliwa...
  18. Njia muhimu za kufuata unapopitia misukosuko ya kifedha, kifamilia na ukosefu wa ajira

    Kukosa ajira au kazi maalumu, matatizo ya kimahusiano na ya kifamilia ni hali ambazo mara nyingi huambatana na maumivu ya kihisia, kukata tamaa na msongo wa mawazo. Hata humu ndani ya huu mtandao kuna baadhi ya Members wamekuwa ni wababe, wajeuri na hufikia hatua ya kutoa lugha chafu zisizo na...
  19. Nina shida ya watu wanomaofanya kazi katika Wizara inayohusika na mambo ya ajira, najitaji kuwapa wazo bora ambalo litasaidia kupunguza ajira

    Ikiwa wewe upo wizara husika naomba uje PM nikupe wazo bora . Wazo hili litawanufaisha Wasomi na ambao sio wasomi , naomba tuwasiliane haraka Njoo PM
  20. Ajira ni utumwa, mshahara wa kila mwezi ni adui mkubwa wa ndoto za wengi

    Kipindi unaingia kwenye utumishi wa umma au private uliweka malengo mengi juu ya mshahara wako lakini sasa Sheria na maziningira ya kazi yanafanya usahau ndoto zako Mshahara ikawa ni madawa ya kulevya Uliingia kwenye ajira ukiwa na miaka 26+ apo una diploma labda uliingia na ndoto zako maraa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…