Mimi ni mhitimu wa Automobile Engineering / Automotive Engineering. Napenda kuwasilisha kero ifuatayo:
Kwenye mfumo wetu wa ajira Portal, kozi zetu mbili zinawekwa kama fani tofauti kabisa. Matokeo yake, sisi tuliosoma "Automobile Engineering" tunazuiliwa kuomba nafasi zilizoandikwa...
Kiukwelii tangia nizaliwee sijawahii kuhisi maumivu kama siku ambayo nilifanya interview mbili kwa siku moja pale Dodoma kipindi hicho mambo ya kufanyia online hayajaanza usiku saa mbili nipo zangu lodge nakutana na NOT SELECTED zote moja nimepata 49 na wamechukua hadi 50 na hapo nimetokea...
Katibu Msaidizi - Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Zanzibar, Selemani Chihembe akitoa ufafanuzi juu ya sababu za kuzuiwa waombaji ajira wenye elimu ya juu kuomba nafasi za ajira zinazohitaji sifa za elimu ya chini.
Hayo yameelezwa kupitia chapisho la Mei 30, 2026...
Mfumo wa Ajira Portal haueleweki na umekuwa kikwazo katika kutuma maombi ya kazi. Tangu mwaka 2025, ninapojaribu kuingiza NIN yangu, mfumo hunionesha kuwa tayari imeshatumika, hali inayonikwamisha kuendelea na mchakato wa maombi.
Pia, licha ya kuwasiliana kupitia barua pepe, hakuna majibu...
Ndugu zangu, naomba ushauri wenu.
Mdogo wangu aliitwa kwenye usaili wa maandishi (written interview) wa nafasi ya Registration Officer II – NIDA, na nikaja humu kuomba tips za maswali na kwa bahati nzuri amefaulu na kuitwa kwenye usaili wa mahojiano (oral interview).
Naomba kwa yeyote ambaye...
Ninaomba kuwasilisha kilio changu kuhusu kutokuwepo kwa maafisa wa mfumo wa Ajira Portal katika ofisi za Kivukoni, Dar es Salaam, jambo ambalo linasababisha usumbufu mkubwa kwa waombaji wa kazi wanaohitaji msaada wa kushughulikia changamoto mbalimbali zinazojitokeza kwenye mfumo huo.
Wiki mbili...
Anonymous (76e2)
Thread
ajiraajiraportal
dar es salaam
kivukoni
mfumo wa ajira
Wahitimu wa diploma ya forensic science kutoka UDOM tunapata shida kwenye kuomba ajira kutokana na mpangilio usio sahihi wa category yake, kikawaida forensic science ni Applied/Natural science ila kwenye mifumo hii miwili imepangwa katika category ya IT and telecoms kitu ambacho sio sahihi, je...
Mimi ni mhitimu wa mwaka 2020 katika fani ya Ufundi Magari (Motor Vehicle Mechanics – MVM). Kwa kweli, kuna nyakati najikuta nikijiuliza kwa uchungu sana—kwa nini nilichagua kusoma fani hii, hasa nikizingatia mazingira ya nyumbani kwetu ambapo hatuna uwezo mkubwa wa kifedha.
Nasema hivi kwa...
Nimekuwa shortlisted interview ya Quantity Surveyor II, NCC. Nikasema sawa, opportunity imepatikana. Nikaanza maandalizi yote kama mtu mwenye matumaini.
Nikakata tiketi kutoka Mwanza hadi Dodoma
Nikatbook hoteli na kuilipia
Nikatumia hela ya kula, usafiri na maandalizi mengine
Nikafika mapema...
Habari zenu wanajamvi?
Kama ilivyo ada, humu JamiiForums najua ni kisima cha maarifa.
Wadau naomba msaada wa mawazo na uzoefu wenu. Mara ya mwisho nilikuja hapa kuomba ushauri kuhusu mdogo wangu ambaye alikuwa ameitwa kwenye oral interview, na kweli nilipata mchango mkubwa sana kutoka kwenu...
Tunaiomba mamlaka husika kuboresha mfumo wa Ajira Portal. Vijana wengi tunapata changamoto kubwa kupata usaidizi kuhusu mfumo huo kwani namba za mawasiliano hazifanyi kazi na email hazijibiwi.
Hali hii inatulazimu kutumia fedha nyingi kwenda Dodoma kwa ajili ya kupata msaada wa huduma ambazo...
Anonymous
Thread
ajiraajiraportal
changamoto
mfumo
mfumo wa ajiraportal
vijana
Habari wakuu, kuna mdogo wangu mmoja ametoka kuitwa kwenye oral interview ya nafasi fulani kupitia ajira portal, ananimbia amesikia "ukiitwa ajira portal kwenye oral interview" lile swali la tell us about yourself linabeba marks 50?
Je ni kweli? Na kama kajibu vizuri kuna chances za kupita?
Habari wapendwa,
Nilikua naomba msaada wa namna ya kuomba kazi kupitia ajira portal na nini kinahitajika.
Nahitaji kumsaidia mdogo wangu amekwama.
Asanteni
Habari wanajukwaa
Kuna mtu aliomba kazi kupitia ajira portal muda wa kuita interview hajawa shortlisted na sababu ni hajaambatanisha registration certificate ambapo yeye ali attach
Afanyeje ili aweze kusaidika na interview ni ijumaa ya wiki hii
Msaada wanajukwaa
Mimi ni mhitimu wa ngazi ya Ordinary Diploma katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Mwanza, nimesoma kwa miaka 3 (yaani 1st year Certificate, 2ry & 3yr Diploma nimehitimu 2024 November lakini nilivyojaribu kufuatilia Vyeti vyangu vya Certificate na Diploma nimepata kimoja cha Diploma...
Anonymous (e6c9)
Thread
ajiraportal
biashara
cbe
chuo
diploma
elimu ya biashara
mwanza
portal
Nilikuwa napenda kuwasilisha changamoto yangu kubwa ni upande wa chuo ambacho nimesoma "Chuo cha Taifa cha Utalii/ National College of Tourism- NCT), tumekuwa na changamoto kubwa ya upataji wa Ajira Serikali kupitia Mfumo wa Ajira Portal ya Serikali, kutotambua Course ambazo tumezisoma katika...
Anonymous
Thread
ajiraajiraportal
changamoto
chuo
kozi
kupitia
portal
taifa
utalii
wahitimu
Nilihitimu degree kwenye Chuo cha SUA, Kozi ya Agricultural Investment and Banking, kozi mpya ilianzishwa Mwaka 2020, Mwaka 2023 ilitoa Wahitimu kwa mara ya kwanza.
Mimi nilihitimu Mwaka 2024, nashukuru Mungu Alhamdullilah nina kazi, nimeajiriwa DRC lakini sasa Vijana waliohitimu wanashindwa...
Anonymous
Thread
ajiraajiraportal
investment
kazi
kozi
kupitia
portal
wahitimu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.