ajira portal

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waombaji "Ajira Portal" tunakaa muda mrefu bila majibu, bora wasitangaze nafasi za kazi kama hawajajipanga

    Kero yangu sisi tunaoomba ajira kupitia Mfumo wa Ajira Portal, tunakaa muda mrefu bila kuitwa kwenye interview. Kwa mfano niliomba ajira Ajira Portal, Shirika la Posta since last year Mwaka 2025 mpaka leo Machi 2026 hakuna shortlist wala kujua lini tutafanya, the same to Mamlaka ya Viwanja vya...
  2. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepata majanga ya majina ajira portal

    Jina langu katika cheti cha kuzaliwa ni BAHATI NJEMA DAIMA JINA LANGU KWENYE KITAMBULISHO CHA NIDA NI BAHATI NJEMA DAIMA. JINA LANGU KWENYE CHETI CHA FORM FOUR NI BAHATI N DAIMA JINA LANGU KWENYE CHETI CHA FORM SIX NI BAHATI N DAIMA JINA LANGU KWENYE CHETI CHA SHAHADA NI BAHATI N DAIMA...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Kufungiwa Akaunti – Ajira Portal

    Napenda kuwasilisha malalamiko yangu hadharani kuhusu kufungiwa kwa akaunti yangu katika mfumo wa Mamlaka ya Ajira Tanzania (Ajira Portal) tangu mwezi Septemba 2025, bila kupatiwa maelezo ya kina wala taarifa rasmi inayoeleza sababu za hatua hiyo. Tangu kufungiwa kwa akaunti hiyo, nimefika...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya mfumo ajira portal

    Je una changamoto ya mifumo kama AJIRA PORTAL, NSSF PORTAL, UTUMISHI PORTAL NK? tuwasiliane kwa 0623446608 tusaidiane
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuondoa ngazi ya elimu ajira portal

    Msaada kwa anayejua namna ya kufuta ngazi ya elimu kwenye mfumo wa ajira portal. Nataka kufuta ngazi ya elimu ya Master na kuacha bachelor degree tuu, naomba kwa mwenye kujua nini cha fufanya au hatua zipi za kufuata plzz.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi mpya za ajira kwa walimu daraja la IIIC na nyingine ajira portal LEO

    Kwa wenye changamoto za ajira portal kama kusahau password, kusahau email NK wasiliana kwa 0623446608
  7. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal: Latest Jobs & Updates in Tanzania 2026

    Exploring Ajira Portal News, Portal Ajira, Ajira Portal Jobs in Tanzania, and Ajira Jobs Portal January, 2026 Ajira Portal News and Updates – January, 2026 The President’s Office Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) has announced several important updates on the Ajira Portal for job...
  8. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kufuta app za ajira portal, LinkedIn, hazina faida wala maana yoyote

    Siku hizi ajira/mchongo/biashara ni unajuana na nani? Recommendations tu. Don't dare to go to an interview or apply for a job. Bongo kazi nyiiingi mnafundishana mnafanya. Hakuna Rocket Science kwenye hizi kazi, kazi nyingi ukikaa field husika kwa mda wa siku 90 una Master (miezi mitatu hivi...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ajira nyingi ajira portal leo

    Kwa changamoto wasiliana na 0623446608
  10. Mad Max

    JamiiForums Tanzania “Dereva Daraja la II” ndio nafasi ya kazi inayoongoza kutangazwa Ajira Portal.

    Wakuu. Wengi mtasupport ili, madereva ndio wanaotangazwa sana katika Ajira Portal. Sizisemi kada nyingine, lakini mfano hapo cheki wana nafasi 40 zimetangazwa, na kila nafasi unakuta zina post 5 kuzidi. Kwahiyo 40x5 inamaanisha kuna madereva 200 wanahitajika ndani ya hizi week mbili...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Utatuzi changamoto za ajira portal, nssf portal nk

    Kama una changamoto kama kusahau password,email na kutengeneza akaunti kwa mifumo kama AJIRA PORTAL, NSSF PORTAL,LOAN BOARD, NK Wasiliana na 0623446608 kwa msaada binafsi
  12. T

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya Leo kupitia ajira portal

    AJira nyingi kwa kada za afya,walimu,nk zimetangazwa Leo. Kwa wenye changamoto katika kuomba wasiliana na 0623446608 usaidiwe personally
  13. QasraNet

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal System Error

    Nafanyaje chuo changu nilichosomea Diploma hakionekani Ajira Portal Mpya. Chuo ni Al Maktoum College of Engineering and Technology (AMCET) - Registered by NACTE as REG/EOS/039 (Full Registration) kipo Mbezi Beach. 1. Nimejaribu kupiga chuoni: Wanasema shida sio yao ni ya Ajira Portal. 2...
  14. Bueno

    JamiiForums Tanzania Sehemu gani kwenye Ajira Portal naweza nika-cancel maombi yangu ya ajira

    Au niache tu wakiniita nisiende? Nataka ku-cancel sitaki tena kujisumbuasumbua na kupoteza gharama za stationary, nauli, chakula, nk kisha nabakia mikono mitupu, wapi kuna button ya ku-cancel maombi?
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahitimu wa Degree ya Microfinance and Enterprises Development tunakuwa Auto-Rejected kwenye Ajira Portal

    Kuna Changamoto Ambayo Tunaipata Sisi Wahitimu wa Degree Ya Microfinance And Enterprises Development tunakuwa Auto Rejected kwenye Ajira Portal Wakati hata sisi kweye Core za Masomo yote tunatambulika kama watu wa Fedha (Finance) pia hata kwenye vigezo vya Ajira kabisa hata sisi tumo ila tunakua...
  16. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Call for Interview Utumishi 2025: Ajira Portal, PSRS August, 2025

    Called for Interview UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) August, 2025 Job recruitment Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) on behalf of various government institutions would like to inform all job applicants who applied for a job that the interview is expected to...
  17. hamza mahundu

    JamiiForums Tanzania KARANI WA POSTA LEVEL YA KIDATO CHA 4 ANALIPWA BEI GANI? Na maswalj yapi ataukizwa inter view AJIRA PORTAL

    Naomba majibu
  18. At Calvary

    JamiiForums Tanzania Ajira portal wana cha kujifunza kwenye mfumo wa maombi ya ajira wa magereza.

    Habari za asubuhi ndugu. Samahani nimewiwa kuandika kuhusiana na uzoefu wangu nikiwa nafanya maombi ya ajira za magereza. Mfumo kwenye kusomana uko vizuri haina haja ya kuhakiki vyeti tena, vyote vinaweza kuishia online kwa mbonyezo mmoja tu. Nawaasa ajira portal wafanye hima pia waweze...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini chuo cha kodi (ITA) haitambuliki ajira portal

    Kwanini Chuo cha kodi (cha serikali) hakitambuliki Ajira portal katika kazi za taxation? Hasahasa katika ngazi ya Bachelor Degree in customs and tax management? Mfano kuna kazi za Mkaguzi wa mahesabu daraja la 11 (Wanaitaji Bachelor of tax management ambapo ni moja wapo ya kigezo lakini...
  20. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Msaada Ajira Portal NIOMBE IPI?

    Kwenye tangazo la kazi Serikalini, kuna nafasi 3 katika shirika moja, Marketing, customer service, sales, business development Kote huko nina vigezo vya kuomba, je ninaweza kuomba zote? Na nikiomba zote, ninaweza kutokea kwenye interview zote? Na je barua ya maombi IANDIKWE KWA MKONO AU...
Back
Top Bottom