ajira mpya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Midwife Supervisor at Médecins Sans Frontières (MSF)

    Position: Midwife Supervisor Direct Reports: Midwife Activity Manager. Location: Nduta Camp Kibondo. For National Staff Only Minimum Educational Qualification: · Bachelor degree in Midwifery or Diploma of Midwife · Must be Registered by Tanzania Nursing and Midwifery Council (TNMC) with Valid...
  2. JamiiForums Tanzania Technician Automotive (1 Post) at MWEKA

    Position: Technician Automotive – 1 POST Employer: Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori (MWEKA) Duties And Responsibilities i. To participate in repair and maintenance of vehicles; ii. To identify the likely defects that might cause vehicles; iii. To ensure proper arrangements, cleanness and...
  3. JamiiForums Tanzania Hela ya kujikimu kwa Ajira mpya

    Samahani ndugu napenda hvi kazi ya hela ya kujikimu ni ipi hasa? Maana haitolewi kwa wakati
  4. F

    JamiiForums Tanzania Jinsi vijana wanavyotengeneza pesa kila siku kwa kutengeza maudhui TikTok

    Habari wadau, Nilikuwa nawadharau sana vijana wanaoimbaimba na kucheza cheza TikTok. Nawaona wapuuzi hawana kazi ya kufanya na wajinga. Mtoto wa shangazi yangu ni mmojawapo wa hao wapuuzi wa TikTok. Ana followers laki 6 huko TikTok. Ni binti ana miaka 21 na anasoma chuo kikuu kimojawapo...
  5. JamiiForums Tanzania Ajira mpya wapata mishahala wengine bado

    Ni Jambo la kufurahisha, tayari baadhi ya watumishi serikalini,ajira mpya 2023 wamepata mishahara yao ndani ya mwezi wa sita baada ya kuripoti kwa wakati, japo wapo watumishi wengine wengi nao mchakato unaendelea. Kongole kwa serikali kwa kujua mazingira magumu ya watumishi wapya na kuwawaishia...
  6. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kusubiri post za ajira za TAMISEMI

    Kwa wale walimu na wa afya tukutane hapa uku tukisikilizia PDF soon litashushwa hapa. Iwe tetesi ama laa karibuni wakuu. Nimesikia wiki ijayo linatema hapa pdf mishale ya tarehe 15 hapo June
  7. JamiiForums Tanzania Ajira mpya za TRA

    Karibuni tupeane Updates kuhusu nafasi za kazi zilizotangazwa TRA, tusaidiane jinsi ya kujaza form na kukamilisha maombi kwa pamoja. Wasilisha hapa changamoto unayokutana nayo katika kufanya maombi yako, kisha wadau watakuja hapa kutoa msaada. karibuni sana
  8. JamiiForums Tanzania Katika hizi Ajira Mpya za ualimu TAMISEMI Mtu aliyesoma masomo ya arts tofauti na kingereza hizi nafasi hazimuhusu?

    Nimesoma PDF ya Tamisemi nimeona watu wa arts wamepigwa k.O Na K.T.O Sasa hii imekaaje naona English ndo wamepewa nafasi tu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za Utumishi ziweke 'standard marks' kwenye usaili wa kuandika

    Kwa majina naitwa Mikel lesta kiukweli utumishi katika upande wa ajira wapo hovyo sana nafikiri wanaofanya kazi hapo wanajisahau sanaa, nitatoa mifano mitatu na nitashauri kitu na sitoishia huku nitawafata katika page zao za kijamii pia ila kiukweli wanatuumiza sana sisi watu wa chini. OK ipo...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira

    Habari, Nipo chuo mwaka wa pili. Ninauhitaji wa ajira ambayo nitaweza kufanya kuanzia asubuhi hadi saa kumi jioni, ili niweze kuendelea na masomo yangu kuanzia saa 11 jioni. Umri: 21 Course: Marketing management Level: Degree Mahali: Ilala, Dar es salaam.
  11. JamiiForums Tanzania Kiwanda kipya cha kuunganisha magari Kimefanikiwa kutoa ajira mpya 3000

    Ni huko nchini india, ni kwa kupitia makubaliano maalum ya kugawana teknolojia na kampuni ya Leyland ya Uingereza, makubaliano kama haya yamekuwa yakofanyika na kampuni ya Hyundai ya Korea kusini. Video chini inaonyesha zoezi la kuunganisha magari. ========================
  12. JamiiForums Tanzania Mahusiano kati ya namba ya NIDA na mfumo wa ajira yakoje? Dogo kazinguliwa ajira mpya, naomba ushauri wenu

    Dogo ni mwalimu idara ya msingi, Majina yake ya vyeti vyote ni MARIAM ELIAS (mfano) Majina ya Nida ni MARIAM ELIAS MMASA. Wakati wa kuomba ajira Tamisemi details zilikubali vizuri kabisa na mimi ndiye nilimuombea. Selection zimetoka kachaguliwa lakini halmashauri wanamiweka kwenye mfumo...
  13. JamiiForums Tanzania SoC02 Ajira mpya Serikalini ziwe ni kwa miaka kumikumi, itasaidia kupunguza tatizo la ajira na ugumu ya maisha

    1.0 Ikisiri Nchi nyingi duniani zinakumbana na changamoto ya ajira kwa vijana. Hii ni kutokana na ongezeko la idadi ya wahitimu katika ngazi mbalimbali za elimu ingali hapajatengenezwa mazingira rafiki kwa ajili ya kuwaajiri au kujiajiri vijana hao. Pamoja na kuonekana madhara makubwa...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri: Badala ya Nyongeza ya Mshahara, Serikali ijikite katika ajira mpya na mfumuko wa bei

    Nawasalimu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa muda sasa kumekuwa na kelele nyingi na malalamiko ya wafanyakazi kuhusu nyongeza ya mshahara. Hapo mwezi Mei serikali ya Rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassani ikaamua kuwa mshahara uongezwe kwa 23.3 kwa kima cha chini hasa ukizingatia, katika...
  15. JamiiForums Tanzania Ajira Mpya 44 Tanzania

    Deleted
  16. JamiiForums Tanzania Waombaji wa ajira za kada za afya, majina yao yameorodheshwa

    TANGAZO LA KUITWA KAZINI Wizara ya Afya inapenda kuwataarifu waombaji wa ajira za kada za afya zilizotangazwa kwenye Tovuti ya Wizara ajira.moh.go.tz tarehe 16 Aprili, 2022 hadi tarehe 03 Mei, 2022 kwamba zoezi la uchambuzi wa maombi ya kazi yaliyopokelewa limekamilika. Waombaji waliokidhi...
  17. JamiiForums Tanzania Tarehe ya kuripoti ajira mpya ualimu

    Jamani naombeni kujua tarehe ya kuripoti tu ndugu zanguni,huku mtaani pamenichosha kabisa.
  18. L

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa ajira mpya ualimu na afya

    Hizi hapa ajira mpya ualimu na afya
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama aagiza utekelezwaji wa ajira mpya kuanzia Julai, 1

    Akichangia hoja ya Utoshelevu wa Watumishi wa Umma na mifumo ya ajira nchini Bungeni leo, Waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ameagiza Sekretarieti ya Ajira kutangaza vijana waliofaulu usaili wa ajira za utumishi wa Umma na Julai 1, ajira zote mpya zianze...
  20. JamiiForums Tanzania Ajira mpya za Utumishi zinachanganya. Matangazo yametoka mawili, lipi ni sahihi?

    Wadau, tarehe 28 May Utumishi walitangaza nafasi za kazi kwa watanzania kada mbalimbali ILA Kuna kitu kimenichanganya hapa kama ifuatavyo: Haya matangazo yanaonesha yako mawili na hata idadi ya Ajira zinatofautiana, Kuna tangazo moja lina posts 1904 total na tangazo la pili lina posts 2057. So...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…