ajali

Mozaffar Ajali (Persian: مظفر اجلی‎, born 30 December 1962) is an Iranian weightlifter. He competed in the 1992 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Madereva watakiwa kubadilika ili kuepuka ajali za barabarani

    Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Beno Malisa, Aprili 20, 2023 amewataka madereva wa vyombo vya moto kubadilika kufuatana na hali ya kijiografia yam ilima, miteremko pamoja na hali ya hewa ya Mkoa wa Mbeya yenye mvua na ukungu kwa kuhakikisha wanafuata na kuzingatia sheria na alama za usalama barabarani...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango apiga marufuku Polisi kufunga Barabara kwenye Misafara

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mango akiwa ziarani Mwanza amesema hataki kusikia tena Barabara zikifungwa kwa masaa mengi ili apite, huku akisema dakika 10 zinatosha ili Wananchi waendelee na shughuli zao. Dr. Mpango amewaomba radhi Wananchi kwa usumbufu walioupata baada ya jana Barabara kufungwa...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tunisia: Meli mbili zapata ajali, Wahamiaji 27 hawajulikani walipo

    Inaaminika watu hao wanaweza kuwa wamepoteza maisha kutokana na ajali hizo ziliyotokea Pwani ya Tunisia wakati meli husika zikiwa njiani kuelekea Italia. Meli ya kwanza ilikuwa na watu 37 na ya pili ilikuwa na watu 36, baadhi wameokolewa na wengine hawajulikani walipo. Tangu Machi 2023 kuna...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania RPC Muliro: Wanaume mnaopigwa na Wake zenu acheni Kudanganya kuwa mmepata Ajali ili mpate PF3

    "Unamuona kabisa kuwa huyu Mwanaume hajaumia kwa Ajali bali kachezea mno Kichapo cha Mkewe Nyumbani na unataka kumsaidia halafu anakataa na kuzidi Kukudanganya. Wanaume mkipigwa na Wake zenu kuweni Huru kuja Polisi au kwenda katika Madawati ya Kijinsia na mtapata Msaada" amesema RPC Kamanda...
  5. murthehelp

    JamiiForums Tanzania Kipindi hiki cha sikukuu kimekua na ajali nyingi sana, Naomba tuwe makini barabarani.

    Naomba suala hili nilielekeze kwa wasafiri, wasafirishwa na wasimimizi wa miundombinu yoye ya usafiri, Ikiwezekana kupunguza hizi ajali dereva tax, bus, bodaboda wapimwe kiwango cha ulevi kama kitakua kimezidi kiwango basi wasiendelee na safari au kusitisha kabisa safari. Askari wamekua...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Chanzo zcha ajali za mabasi ya abiria ni abiria wenyewe

    Ajali za barabarani zinaepukika ukiachilia mbali matatizo ya kibinadamu. Kuna sababu nyingi sana zimekuwa zikitajwa, lakini mimi niseme mbali na sababu zote hizo zinazotajwa chanzo kikubwa ni abiria wenyewe. Sijui ni ukosefu wa elimu ya kwa Watanzania au kudharau au kuona muda wote Mungu yupo...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Basi la Burudani kutoka Korogwe Tanga, lapata ajali Mbezi

    Watu kadhaa wanasadikiwa kupoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa, kufuatia ajali iliyotokea maeneo ya Mbezi Luguluni, ikihusisha Basi la kampuni ya Burudani, lililokuwa likitokeaa mkoani Tanga kuelekea Dar es Salaam, ambapo basi hilo linadaiwa kuwa lilikuwa kwenye mwendokasi, hivyo wakati...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Katika ajali Ile dereva alijua soon kifo kinatuvaa

    Tarehe 16 September 2016 nilisafiri na Basi la Newforce toka Dar to Songea, Safari ilikuwa nzuri sana toka tunaondoka Ubungo, nakumbuka nilikaa seat no A2, A1 alikaa rafiki yangu ambaye alikufa dakika chache baada ya ajali kutokea Basi hili halikuwa na tatizo lolote maana toka Dsm halikupoteza...
  9. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Majeruhi ajali ya mwendokasi aruhusiwa kutoka hosptali

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imesema majeruhi pekee wa ajali ya basi la mwendokasi iliyotokea tarehe 22/2/2023 Jijini Dar es Salaam, Osam Milanzi ameruhusiwa kutoka Hospitali baada ya afya yake kuimarika. === Tunapenda kuuarifu umma kwamba majeruhi pekee wa ajali ya basi la...
  10. comte

    JamiiForums Tanzania Marubani wa ndege ya shirika la Precision kumbe walikaidi ushauri wa waongoza ndege wakaishia kupata ajali?

    https://www.yahoo.com/news/tanzania-pilots-failed-heed-warnings-194627197.html
  11. benzemah

    JamiiForums Tanzania Serikali kutaja chanzo cha ajali ya ndege Bukoba Novemba 11, 2023

    Serikali imesema bado inaendelea kuchunguza taarifa za awali za ajali ya ndege ya Precison iliyotokea mkoani Kagera Novemba 6 mwaka 2022 huku ikitangaza kwamba itatangaza chanzo cha ajali hiyo Novemba 11 mwaka huu baada ya kukamilisha na kuchakata taarifa zilizokusanywa. Akizungumza na wandishi...
  12. RingaRinga

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ajali ya basi la Kimotco linalofanya safari kati ya Arusha - Mwanza

    Nimetumiwa ujumbe na mtu anayedai amesafiri na binti yangu leo na gari imepata ajali maeneo ya Babati na kwamba majeruhi wamepelekwa hospitali ya Dareda. Nampigia simu mhusika hapokei tena, Mwenye taarifa zaidi?
  13. wakukurupuka1

    JamiiForums Tanzania Basi la kampuni ya Kiazi kitamu lapata ajali

    Basi la Kampuni la KIAZI KITAMU lenye Namba ya Usajiri T 889 DKL linalofanya safari zake Kutoka Mwanza kwenda Arusha limepata ajali na kudondoka eneo la Misungwi Mkoani Mwanza Leo alfajiri ya 23/03/2023. Taarifa za Vifo bado hatujapokea zaidi ni majeruhi ya wahanga wa ajali hiyo.
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti nyingine ajali ya Precision yatoka, yaonesha mambo 8

    Ripoti ya pili ya ajali ya Ndege ya Precision Air imetoka na kubainisha mambo nane yaliyochangia ndege hiyo kuanguka katika Ziwa Victoria, Bukoba, Mkoa wa Kagera. Ndege hiyo ya Precision Air iliyotoka Dar es Salaam kwenda Bukoba ilitokea Novemba 6, 2022 ambapo ilikuwa na watu 43 kati yao, 39...
  15. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Nionavyo lengo la wiki ya usalama barabarani ni kuuza stika, anayeamini kupungua kwa ajali anieleze ni kwa vipi

    Kila mwaka polisi huandaa wiki ya usalama barabarani lakini hali ilivyo barabarani ni ileile ya siku zote zaidi ya kuuziwa stika ambazo hazipunguzi ajali! Vurugu za bodaboda na daladala ziko vilevile na pacha wao ajali. Mimi naona lengo si kudhibiti ajali kwa kuwakumbusha madereva juu ya...
  16. S

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura ameshindwa kudhibiti ajali barabarani, asaidiwe!

    Katika kipindi kifupi cha Uhudumu wa huyu IGP mpya, pengine changamoto kubwa aliyokumbana nayo katika utendaji wake ni kukithiri kwa matukio ya ajali za barabarani. Matukio haya yamekwenda sambamba na upotevu wa roho za watanzania, nguvu kazi ya Taifa. Inasikitisha sana. Licha ya ajali...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ndugu wa aliyejeruhiwa na Mwendokasi Dar wajitokeza akiwemo mkewe

    Mtembea kwa miguu aliyegongwa na Basi la Abiria la "Mwendokasi" wiki iliyopita ambaye ndiye alikuwa Majeruhi pekee wa ajali hiyo aliyesalia katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), ametambulika ambapo jina lake ni Osam Milanzi, Mkazi wa Manzese Midizini. Meneja Uhusiano wa MOI, Patrick...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nilidhani ningefika nao upande wa pili lakini ajali zinatokea

    Rais Samia amesema Waziri mmoja amedondoshwa kwa kuwa ni kawaida kwenye safari kuna ajali zinatokea. Amesema hayo katika hotuba yake baada ya kuwaapisha wateule wake aliowateua hivi karibuni. Rais amesema alitamani team yake ya awali amalize nayo hadi kufika ngwe ya pili (Muhula wa pili wa...
  19. Benjamin10

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni nini kimesababisha mpaka dereva wa semi trela kuchora?

    Tazama hii video mpaka mwisho!! Unadhani ni nini kimesababisha mpaka dereva wa semi trela kuchora 7?? Kama huyu dereva mwenye gari inayorecord video angekua na speed up to 100kmph nini kingetokea?
  20. Msanii

    JamiiForums Tanzania Ajali ya mwendokasi tarehe 22/02/2023 tujiulize maswali haya...

    Majuzi imetokea ajali ya kutisha ya basi la Mwendokasi liliyokuwa inatokea Kivukoni. Miaka 3 iliyopita ilitokea ajali maeneo ya Utumishi jirani na kivukoni ambapo mtembea kwa miguu alikuwa anavuka kwenye zebra aligongwa na basi la mwendokasi na kufariki hapo hapo. Aliyefariki ni jirani yangu...
Back
Top Bottom