ajali

Mozaffar Ajali (Persian: مظفر اجلی‎, born 30 December 1962) is an Iranian weightlifter. He competed in the 1992 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tumeanza kuishi kama wanyama, wakati wa ajali badala ya kusaidia watu waliopata ajali wanawaibia!

    Nilipata ajali ya gari Morocco bodaboda walikimbia kuja waliivamia wakaniibia kila kitu, pamoja jeki, tairi la gari, hela na kila kitu. Juzi tu kuna mtu amepata ajali akagongwa na alikuwa na mshahara akiupeleka nyumbani kwa mkewe. Watu walimkuta na boxer tu hela wamebeba. Kila mahali kwenye...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni ajali tu au Kuna cha ziada

    Sijafanya utafiti rasmi, sina takwimu sahihi lakini , Tangu mwaka huu uanze Kuna ajali nyingi sana ila ndodo ndogo, kiasi Cha kuleta hofu kwa upande wangu. Kwa experience yangu barabarani ya kufanya biashara ya gari na kutumia barabara ,huu mwaka Pana kama ajali sana , na sielewi shida ni...
  3. JamiiForums Tanzania Brazil: Ndege yanye abiria 62 yapata ajali mjini Sao Paulo, hakuna aliyenusurika

    Mabaki ya Ndege ya Voepass baada ya ajali Ndege ya Voepass kabla ya ajali Video iliorushwa na TV GloboNews umeonyesha eneo kubwa likiwa kwenye moto na moshi ukionekana kupanda kutoka kwenye kitu kinachoonekana kuwa fuselaji ya ndege. Video kwenye mitandao ya kijamii ilionyesha ndege...
  4. JamiiForums Tanzania Ila wabongo, hasa watu wa DariSalama mna nn lakini, cheki mwendokasi na huyu mwamba

    Sasa jamani ndio kila kitu tubeti jamani?😆
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nikiona ajali hii, mengi najifunza

    Mmiliki wa mabasi ya Sauli, Solomon Sauli Mwalabila amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Miwaleni, Mlandizi mkoani Pwani majira ya saa kumi na mbili na nusu alfajiri. Katika ajali hio ambayo tunaambiwa alikuwepo mtoto mdogo lakini amechubuka kidogo sana . MASWALI YA KUJIULIZA...
  6. JamiiForums Tanzania Polisi wanamaji Watoa Elimu ya ukatili na mbinu za Uokozi kipindi cha Ajali za kwenye maji

    Katika kuhakikisha ulinzi na Elimu vinatolewa Jeshi la Polisi kupitia kikosi cha Wanamaji nchini kimeendelea kuyafikia makundi mbalimbali yawatumiaji wa vyombo vya majini ambapo leo kimetoa elimu ya ukatili wa kijinsia na mbinu za namna bora za kujiokoa pindi inapotokea ajali katika vyombo...
  7. JamiiForums Tanzania Ajali ya nguzo ya umeme Mugumu Mjini

    Pichani ni tukio lililotokea Mugumu mjini baada ya nguzo ya umeme kudondoka nakuangukia pikipiki na pia imenoa kudondokea watu waliokuwa karibu yake.
  8. JamiiForums Tanzania Serikali imeshindwa kabisa kusimamia sekta ya usafiri wa pikipiki (bodaboda)!

    Kama kuna usafiri unaotumiwa na watu wa hali ya kawaida na chini kwa wingi ni pikipiki, tunazoziita bodaboda. Huduma hii ni rahisi, haraka na unafika uendako kwa kasi sana ukilinganisha na usafiri binafsi au hata mabasi ya Mwendokasi(DART). Lakini sekta hii haina uratibu wa aina yoyote nchini...
  9. JamiiForums Tanzania Zaidi ya Watu 100 wafariki katika msongamano wakati wa mkusanyiko wa ibada Nchini India

    Angalau watu 116 wameuawa katika msongamano kwenye mkusanyiko wa kidini kaskazini mwa India, afisa wa polisi Inspekta Jenerali Shalabh Mathur amesema. Tukio hilo lilitokea kwenye satsang (tukio la kidini la Kihindu) katika wilaya ya Hathras, jimbo la Uttar Pradesh. Waathirika, wakiwemo idadi...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada wa AirBags wakati wa Ajali

    Wakuu, naomba kuuliza ni lini hapa Tanzania mmeshuhudia Ajali ya gari either ya kugongana uso kwa uso or Gari kugonga sehemu kama Mti au daraja na Dereva na abiria wakaokolewa na hizi Airbags kwenye magari yetu? Binafsi naona hizi Airbags hazina msaada wowote kwa magari yetu haya Second hand...
  11. JamiiForums Tanzania KERO Bodaboda ni kero kubwa na chanzo cha ajali kwenye Zebra ya Msimbazi Kariakoo ambazo zimefutika

    Mamlaka za Jiji kwa kushirikiana na Kitengo cha Usalama Barabarani (Polisi) waangalie kwa jicho la tatu namna Bodaboda wanavyotumia vibaya kipande cha Mwendokasi eneo la Msimbazi la Kariakoo, Dar es Salaam. Bodaboda wamekuwa kero kubwa na kusababisha ajali za mara kwa mara kwenye njia hiyo...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Gari ya Mbunge Taufiq Turky yapata ajali, ina thamani ya milioni 900

    Gari ya Mbunge wa Mpendae, Taufiq Turky yadaiwa kupata ajali, ina thamani ya milioni 900 Tunamtakia pole na tunatumai atakuwa hajaumia.
  13. JamiiForums Tanzania KERO Askari wa kituo cha Dumila Morogoro wamulikwe.

    Mkuu wa police Tanzania,hawa askari wako wa kituo cha police Dumila,Morogoro weredi wa kazi umekuwa jiwe kwao. Kwanza Dumila ni sehemu ambayo askari wake rushwa imetawala sana,dumila ni mji wenye wizi usio na mfano,bangi inavutwa hadharani tu. Achilia mbali matukio hayo,sehemu ya njia tatu...
  14. JamiiForums Tanzania Mussa Azzan Zungu asema Bodaboda wakipunguza matumizi ya pombe kama Sungura, ajali zitapungua pia

    Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, ameiagiza Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kupitia Baraza la Taifa la Usalama Barabarani kutafuta mwarobaini utakaopelekea kupunguza matumizi ya pombe aina ya (sungura) zisizo na vipimo kwa baadhi ya madereva wa pikipiki...
  15. JamiiForums Tanzania Ajali ilyoua RAS wa Kilimanjaro na Dereva wake: Kwanini serikali inamlilia RAS tu je Dereva hakuwa mtumishi wake?

    Toka ajali iliyosababisha vifo vya Katibu Tawala - RAS wa mkoa wa Kilimanjaro na Dereva wake tumeshuhudia ubaguzi mkubwa unaoganywa na serikali kwenye misiba hii. Tumeshuhudia na tunaendelea kushuhudia serikali nzima ikiomboleza na kutumia nguvu kubwa kushughulika na Kifo cha RAS ikimpamba kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Ajali za ndege zilizotokea hivi karibuni zikihusisha watu Mashuhuri na Viongozi Duniani zinatokana na Maslahi ya Kisiasa?

    Hivi karibu kumekuwa na Ajali nyingi za ndege ambazo zimechukua uhai wa watu wakubwa Duniani, imefika mahala jamii inatilia Shaka Uhalisia wa ajali hizi hasa kwa viongozi fulani. Tujikumbushe Kidogo baadhi ya Viongozi waliofariki katika ajali Hizi za ndege katika maeneo Tofauti. 1. Yevgeny...
  17. JamiiForums Tanzania Watendaji wa Serikalini na Madereva wa Wakubwa huko Serikalini tafadhali acheni 'Kurogana' kwa 'Uchawi wa Ajali' mnakosea Mungu pakubwa sana

    Unaacha Kufanya Kazi kwa bidii huku ukimshirikisha Mwenyezi Mungu Wewe unachowaza ni Kumroga fulani ili Afe Ajalini ili uchukue nafasi yake. Na ninachofurahi Warogaji wengi wa Wenzao ili Wafe ( hasa Ajalini ) ikitokea kweli waliowalenga Wamekufa huko Ajalini baadae wala hawazipati hizo Nafasi...
  18. JamiiForums Tanzania Ndege yapata ajali baharini offshore

    Sijui wamefanya uzembe gani hawa mabwana mpaka hii ndege imepata ajali kirahisi hivi. Hii ajali imetokea baharini wakiwa wanafanya kazi za offshore.
  19. JamiiForums Tanzania Mwanza: Mlioko Huko Yasemekana Kuna Ajali Hapo Mjini Imesababisha Foleni Kubwa Sana

    Habari na picha
  20. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mambo yakuzingatia ili kuzuia ajali za barabarani nchini

    Ajali ni tukio la dharura linayotokea au kupata mtu bila kutalajia na ambalo linaweza kusababisha majeruhi na wakati mwingine watu kupoteza maisha(vifo).Ajali ya barabarani ni tukio la dharura ambalo linampata mtu bila yeye mwenyewe kutalajia barabarani na wakati mwingine kusababisha majeruhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…