Majeruhi ajali za bodaboda tishio, MOI hupokea wagonjwa 280 kwa mwezi

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,721
Dar es Salaam. Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) imekiri kupokea majeruhi wa ajali za bodaboda wastani wa watu 9 hadi 10 kwa siku ambapo ni sawa na 70 kwa wiki na 280 kwa mwezi.

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam kwenye mafunzo ya kimataifa ya matumizi ya mashine za upasuaji yaliyoandaliwa na Taasisi ya MOI na Chuo Kikuu cha Weill Cornell Medicine cha New York nchini Marekani, Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dk Respicious Boniface amesema kuna ongezeko la ajali hususan za pikipiki ambazo zinasababishwa na kutofuatwa kwa sheria za barabarani ambapo wahanga wengi hawavai kofia ngumu (Helment).

“Kuna ongezeko la ajali kwa asilimia 5 hadi 6 kwa mwaka ambapo kwa siku tunapata majeruhi wa ajali za barabarani 10 hadi 15 kati ya hao 10 ni bodaboda kwa mwezi ni 350 hadi 400 ambao wa bodaboda ni 280,” amesema Respicious.

ubongo, uti wa mgongo na mishipa ya fahamu kutoka MOI, Dk Hamis Kimaro amebainisha kuwa wagonjwa wengi wa upasuaji walioumia vichwa, mgongo wanatokana na ajali za barabarani ambao wanachukua robo tatu ya wagonjwa wote wa upasuaji.

“Changamoto kubwa tunayoipata kwa wagonjwa wa majeruhi wa ajali wengi wakija hawana ndugu wa kuwahudumia, hawana kadi ya bima hawana hela mfukoni, hii imekuwa changamoto kwa sababu ni zaidi ya asilimia 75 na taasisi ndiyo inayoingia gharama za kuwahudumia,” Dk Kimaro.

Kwa upande wake mmoja wa washiriki wa mafunzo hayo kutoka Chuo kikuu kishiriki cha MOI, Dk Victor Meza amesema imekuwa ni muhimu kwa wao kupata ujuzi huo ambapo yatafanyika kwa siku tano, mbili zikiwa za darasani na tatu zikiwa za vitendo kwani watapata elimu na uzoefu wa kutosha kuweza kuwahudumia wahitaji wa upasuaji ambao wengi wao wanatokana na ajali.

Chanzo: Mwananchi

====

Nilishawai kuandika kuhusu suala la bodaboda kipindi cha miaka 3 iliyopita. Leo tunaona Bwana lema naye kusema ni laana.
 
Ndizo open jobs Sasa hii ni nchi huru acha Kila mtu afanye jambo lake Kwa wakati wake.
Lema anaropoka tu
 
Hizo Boda Boda Acha tu kila kona wanapita hadi reli za treni zimebaki Anga na baharini tu, no discipline Wala woga wa ajali wao Twende tu halafu TZ tumekuwa mambumbumbu na kuendelea ku import hayo mapikipiki tunayodumpiwa na China instead of improving public transportation to make izo boda boda irrelevant.

Why people need Boda Boda? Coz kuwahi kufika na kupenye sehemu which buses can't pass. Hivyo kuboresha barabara na kuleta many many new big buses that pass kila station kirahisi and to kill market ya boda boda na kuwa inject hao boda boda drivers kw buses kuliko pikipiki. Pikipiki ziwe for personal use tu na heavily regulated
 
Chanzo cha ajali nyingi za bodaboda ni mwendo kasi, na kutozingatia sheria za usalama barabarani.

Hawa watu wanatakiwa wabadilike. Huwa wanajiona wao ndiyo wao! Halafu mwisho wa siku wanaishia kupata ajali zinazoweza kuzuilika
 
Izo Boda Boda Acha tu kila kona wanapita hadi reli za treni zimebaki Anga na baharini tu, no discipline Wala woga wa ajali wao Twende tu Alafu TZ tumekuwa mambumbumbu na kuendelea ku import hayo mapikipiki tunayodumpiwa na China instead of improving public transportation to make izo boda boda irrelevant. Why people need Boda Boda? Coz kuwahi kufika na kupenye sehemu which buses can't pass. Ivyo kuboresha barabara na kuleta many many new big buses that pass kila station kirahisi and to kill market ya boda boda na kuwa inject hao boda boda drivers kw buses kuliko pikipiki. Pikipiki ziwe for personal use tu na heavily regulated
Jitahidi kaka utafika
Na kiswanglish chako.
 
Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) imekiri kupokea majeruhi wa ajali za bodaboda wastani wa watu 9 hadi 10 kwa siku ambapo ni sawa na 70 kwa wiki na 280 kwa mwezi.

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam kwenye mafunzo ya kimataifa ya matumizi ya mashine za upasuaji yaliyoandaliwa na Taasisi ya MOI na Chuo Kikuu cha Weill Cornell Medicine cha New York nchini Marekani, Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dk Respicious Boniface amesema kuna ongezeko la ajali hususan za pikipiki ambazo zinasababishwa na kutofuatwa kwa sheria za barabarani ambapo wahanga wengi hawavai kofia ngumu (Helment).

“Kuna ongezeko la ajali kwa asilimia 5 hadi 6 kwa mwaka ambapo kwa siku tunapata majeruhi wa ajali za barabarani 10 hadi 15 kati ya hao 10 ni bodaboda kwa mwezi ni 350 hadi 400 ambao wa bodaboda ni 280,” amesema Respicious.

Daktari Bingwa wa upasuaji wa magonjwa ya ubongo, uti wa mgongo na mishipa ya fahamu kutoka MOI, Dk Hamis Kimaro amebainisha kuwa wagonjwa wengi wa upasuaji walioumia vichwa, mgongo wanatokana na ajali za barabarani ambao wanachukua robo tatu ya wagonjwa wote wa upasuaji.

“Changamoto kubwa tunayoipata kwa wagonjwa wa majeruhi wa ajali wengi wakija hawana ndugu wa kuwahudumia, hawana kadi ya bima hawana hela mfukoni, hii imekuwa changamoto kwa sababu ni zaidi ya asilimia 75 na taasisi ndiyo inayoingia gharama za kuwahudumia,” Dk Kimaro.

Kwa upande wake mmoja wa washiriki wa mafunzo hayo kutoka Chuo kikuu kishiriki cha MOI, Dk Victor Meza amesema imekuwa ni muhimu kwa wao kupata ujuzi huo ambapo yatafanyika kwa siku tano, mbili zikiwa za darasani na tatu zikiwa za vitendo kwani watapata elimu na uzoefu wa kutosha kuweza kuwahudumia wahitaji wa upasuaji ambao wengi wao wanatokana na ajali.

1679385302110.jpeg

Chanzo: Mwananchi
 
Hakuna Uwezakano wakupiga Boda boda marufuku Hii ni Hali iliopo Haijaletwa na mtu tu
Ila Hili la wagonjwa 280 Moi

hao ndio walio Fanikiwa kufika hapo tena nahisi Wengi ni Wenye kipato na Mikoa yakaribu
Huko Kwingine ni Wengi sana

Yaani Kuna Vilema vingi sana Mtaani hali ni Mbaya
 
Kama wako serious jeshi la polisi na traffic.

Ni lazima vijana wapewe mafunzo ya uhakika na gharama zake ziangaliwe.

Wafundishwe kama wanasoma shule na wajifunze kila aina ya Alama za barabarani

Leseni zisitolewe kwa tamaa ya hela kwa watoaji maana wao ndio wanaosababisha ajali hizo

Kijana anajifunza usiku na kesho anapewa leseni

Vijana wataendelea kufa tu
Pia ulevi na usafiri haviendani kabisa

Polisi wawe na ubinadamu
 
Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) imekiri kupokea majeruhi wa ajali za bodaboda wastani wa watu 9 hadi 10 kwa siku ambapo ni sawa na 70 kwa wiki na 280 kwa mwezi.

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam kwenye mafunzo ya kimataifa ya matumizi ya mashine za upasuaji yaliyoandaliwa na Taasisi ya MOI na Chuo Kikuu cha Weill Cornell Medicine cha New York nchini Marekani, Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dk Respicious Boniface amesema kuna ongezeko la ajali hususan za pikipiki ambazo zinasababishwa na kutofuatwa kwa sheria za barabarani ambapo wahanga wengi hawavai kofia ngumu (Helment).

“Kuna ongezeko la ajali kwa asilimia 5 hadi 6 kwa mwaka ambapo kwa siku tunapata majeruhi wa ajali za barabarani 10 hadi 15 kati ya hao 10 ni bodaboda kwa mwezi ni 350 hadi 400 ambao wa bodaboda ni 280,” amesema Respicious.

Daktari Bingwa wa upasuaji wa magonjwa ya ubongo, uti wa mgongo na mishipa ya fahamu kutoka MOI, Dk Hamis Kimaro amebainisha kuwa wagonjwa wengi wa upasuaji walioumia vichwa, mgongo wanatokana na ajali za barabarani ambao wanachukua robo tatu ya wagonjwa wote wa upasuaji.

“Changamoto kubwa tunayoipata kwa wagonjwa wa majeruhi wa ajali wengi wakija hawana ndugu wa kuwahudumia, hawana kadi ya bima hawana hela mfukoni, hii imekuwa changamoto kwa sababu ni zaidi ya asilimia 75 na taasisi ndiyo inayoingia gharama za kuwahudumia,” Dk Kimaro.

Kwa upande wake mmoja wa washiriki wa mafunzo hayo kutoka Chuo kikuu kishiriki cha MOI, Dk Victor Meza amesema imekuwa ni muhimu kwa wao kupata ujuzi huo ambapo yatafanyika kwa siku tano, mbili zikiwa za darasani na tatu zikiwa za vitendo kwani watapata elimu na uzoefu wa kutosha kuweza kuwahudumia wahitaji wa upasuaji ambao wengi wao wanatokana na ajali.

Chanzo: Mwananchi
Lema wa Chadema asikilizwe ana point.
 
Hakuna Uwezakano wakupiga Boda boda marufuku Hii ni Hali iliopo Haijaletwa na mtu tu
Ila Hili la wagonjwa 280 Moi
hao ndio walio Fanikiwa kufika hapo tena nahisi Wengi ni Wenye kipato na Mikoa yakaribu
Huko Kwingine ni Wengi sana
Yaani Kuna Vilema vingi sana Mtaani hali ni Mbaya
Lagos wamepigwa marufuku
 
Back
Top Bottom