ajali ya ndege

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tucker carlson

    Ndege ya abiria iliyokuwa inatokea Kigoma kwenda Tabora yaanguka pembeni mwa Uwanja wa Tabora wakati wa kufanya majaribio ya Uwanja huo

    Taharuki kubwa imetokea Machi 25, 2026 mkoani Tabora baada ya ndege ya abiria iliyokuwa ikitokea mkoa wa Kigoma kwenda Tabora kudaiwa kuanguka pembeni mwa uwanja wa ndege wa Tabora huku watu watano wakidaiwa kufariki dunia na majeruhi wa ajali hiyo wakiwahishwa katika hospitali ya Rufaa ya mkoa...
  2. Dalton elijah

    TANZIA Watano wafariki Ajali Ya Ndege Mlima Kilimanjaro

    Helikopta ya kampuni ya uokoaji Kilimediair Aviation imepata ajali katika Mlima Kilimanjaro nchini Tanzania na kusababisha vifo vya watu watano, wakiwemo raia wa kigeni wawili, rubani na daktari. Ajali hiyo imetokea Jumatano ya Desemba 24 , katika eneo lililopo kati ya kilele cha Kibo na Barafu...
  3. Huihui2

    Rubani apata ajali ya ndege akiwa na cocaine ya thamani ya $57,000 huko Brazil

    Timothy James Clark, rubani raia wa Australia, alifariki katika ajali ya ndege huko Brazil. Ajali hiyo ilitokea katika eneo la Coruripe, kwenye pwani ya Brazil. Polisi walipochunguza eneo la ajali, walikuta ndege hiyo ikiwa imebeba takriban kilo 200 za kokeini zilizokuwa zimefungwa katika...
  4. Waufukweni

    Watu Sita wafariki katika ajali ya Ndege ya Shirika la Misaada ya Matibabu Kenya

    Watu sita wamefariki baada ya ndege ndogo ya shirika la misaada ya matibabu kuanguka katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, kulingana na afisa wa eneo hilo. Charity Amref Flying Doctors wamesema kuwa ndege ya Cessna ilipaa kutoka uwanja wa ndege wa Wilson siku ya jana Alhamisi alasiri, Agosti 7...
  5. R

    Nini kinaendelea kwenye shirika la Air India? Kampuni hiyo imeahirisha safari kuelekea London kwa sababu zilizodaiwa kuwa ni za "kiufundi"

    Wakuu, Hivi nini kinaendelea kwnye hili shirika la Air India? Hili ni tukio la 3 lisilo la kawaida linaripotiwa kutokea kwenye ndege za Shirika hili === Ndege ya Air India (AI‑159) iliyokuwa ikitoka Ahmedabad kuelekea London imeahirisha safari hiyo ikiwa ni siku kadhaa tu baada ya ajali...
  6. Fbn

    Ajali ya Ndege ya Air India: Dr. Komi Vyas Apoteza Familia Yake Yote Sekunde Chache Kabla ya Ndoto ya Maisha Mapya London

    Katika ajali mbaya ya ndege ya Air India AI171, taarifa za kusikitisha zimeibuka kuhusu Dr. Komi Vyas, ambaye alikuwa abiria katika ndege hiyo pamoja na familia yake. Dr. Komi Vyas, ambaye alikuwa amejiuzulu kazi yake siku mbili tu zilizopita, alikuwa safarini kuelekea London kwa nia ya...
  7. Mkalukungone Mwamba

    Vishwash Kumar raia wa Uingereza ndiye abira pekee aliyenusurika kwenye ajali ya ndege ya Air India iliyodondoka leo

    Tunaweza kusema hii ni kama Miujiza iliyotokea kwa Vishwash Kumar Ramesh (40) raia wa Uingereza ambaye yeye pekee ndiye ambaye amenusurika kifo kwa kutoka akiwa mzima kwenye ajali ya ndege ya Air India iliyodondoka leo ikielekea uwanja wa Kimataifa wa London Gatwick Airport. Soma Pia: Ndege ya...
  8. Echolima1

    Ndege ya abiria iliyokuwa na watu 242 yaanguka huko Ahmedabad, India muda mfupi baada ya kupaa. 241 wathibitika kufariki dunia

    Ndege ya Air India AI171, aina ya Boeing 787-8 Dreamliner, iliyokuwa safarini kutoka Ahmedabad, India kuelekea London Gatwick, Uingereza, imepata ajali mbaya ikiwa na watu 242 imeanguka muda mchache baada ya kupaa kwenye uwanja wa Ahmedabad, mji uliopo Magharibi mwa India. Hadi sasa haijafamika...
  9. Mkalukungone Mwamba

    Utafutaji mpya wa Ndege ya Malaysia Airlines MH370 waanza tena baada ya miaka 11

    Utafutaji mpya wa ndege ya Malaysia Airlines MH370 umeanza zaidi ya muongo mmoja baada ya kutoweka katika moja ya mafumbo makubwa ya ajali za anga duniani. Kampuni ya utafiti wa baharini, Ocean Infinity, imeanza tena juhudi za kuitafuta ndege hiyo, kama ilivyothibitishwa na Waziri wa Uchukuzi...
  10. Yoda

    Trump atupiwa lawama ajali ya ndege Marekani

    Lawam nyingi zimeelekezwa kwa Donald Trump Rais wa Marekani kufuatia ajali mbaya ya ndege iliyotokea jimbo la Virginia ambapo ndege ya abiria imegongana na helicopter ya jeshi na kuua watu zaidi 60. Hata hivyo Trump mwenyewe amekwepa uwajibikaji na kumtupia lawama mtangulizi wake Biden. Watu...
  11. F

    Trump anasema ajali ya ndege iliyotokea Washington ni kwasababu ya sera za kuruhusu watu wa asili ya mataifa kuruhusiwa kuongoza ndege USA.

    Trump amelaumu uongozi wa Obama na Biden kuruhusu watu kuja kufanya kazi ambazo zinahitaji ma-genious na hivyo kuruhusu hata watu wenye ulemavu wa akili kufanya kazi maalumu kwa ma-genious. Trump ameyasema hayo alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari kuhusu ajali hiyo. Mambo yanaendelea...
  12. Mindyou

    Watu watatu wafariki dunia huko Malindi Kenya baada ya kuangukiwa na ndege ndogo iliyopata hitilafu

    Watu watatu akiwemo dereva bodaboda mmoja na abiria wake na mwalimu, wamefariki dunia baada ya kuangukiwa na ndege ndogo, tukio lililotokea katika Kijiji cha Kwachocha, Malindi nchini Kenya. Ndege hiyo iliyokuwa kwenye safari ya kawaida ya mafunzo, inadaiwa kuwa ilipata hitilafu ya kiufundi, na...
  13. Mtoa Taarifa

    Malaysia yaidhinisha Tsh. Bilioni 166.9 ili kuanza utafutaji wa Ndege ya MH370 iliyotoweka miaka 10 iliyopita

    Serikali ya Malaysia imekubali kuanzisha upya utafutaji wa Ndege ya Shirika la Ndege la Malaysia MH370, ambayo ilitoweka takriban miaka 10 iliyopita, ikiwa ni mojawapo ya matukio yaliyoshangaza sekta ya anga. Siku ya Ijumaa, waziri wa uchukuzi wa Malaysia Anthony Loke alisema baraza la mawaziri...
  14. Gemini AI

    Malawi: Upinzani waikataa Ripoti ya Uchunguzi wa ajali ya Ndege iliyomuua Makamu wa Rais Chilima

    Chama cha Upinzani cha UTM kimekataa Ripoti ya Uchunguzi wa Ajali ya Ndege iliyosababisha Kifo cha aliyekuwa Makamu wa Rais Saulos Chilima na watu wengine 8. Ripoti hiyo iliyowasilishwa na Serikali kutoka Ofisi ya Uchunguzi wa Ajali za Ndege (BFU) ya Ujerumani, imeonesha ajali ilitokana na hali...
  15. Mshana Jr

    Ndege yapaa na kuacha chini matairi

    Agosti 9, 2024, Ndege aina ya DHC-8-300 yenye usajili 5Y-SMI (Kenya) inayoendeshwa na Renegade Air kupitia WFP UNHAS, ilitengana na tairi zake kuu wakati wa kupaa kutoka Buny Airstrip huko Jonglei. Pia soma: Brazil: Ndege yanye abiria 62 yapata ajali mjini Sao Paulo, hakuna aliyenusurika Licha...
  16. Suley2019

    Brazil: Ndege yanye abiria 62 yapata ajali mjini Sao Paulo, hakuna aliyenusurika

    Mabaki ya Ndege ya Voepass baada ya ajali Ndege ya Voepass kabla ya ajali Video iliorushwa na TV GloboNews umeonyesha eneo kubwa likiwa kwenye moto na moshi ukionekana kupanda kutoka kwenye kitu kinachoonekana kuwa fuselaji ya ndege. Video kwenye mitandao ya kijamii ilionyesha ndege...
  17. Dr. Zaganza

    Wajue zaidi ya Marais 5 walofariki kwa ajali ya ndege

    Tukio la ajali ya Rais wa Iran, limefanya wanahistoria kupitia maktaba, na kukita taarifa zifuatazo:
  18. Heparin

    Kenya: Ndege mbili zagongana angani, wawili wafariki Dunia

    Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Kenya imethibitisha kisa cha kugongana kwa ndege ya abiria ya kampuni ya Safarilink na ndege ya mazoezi. Uchunguzi umeanza kubaini chanzo cha ajili hiyo. ‘’Uchunguzi umeanza kupitia mashirika mbalimbali ukiongozwa na Idara ya Uchunguzi wa Ajali za Anga na...
  19. Mhaya

    Baba levo atabiri ajali ya ndege 2024

    Babalevo a.k.a B-levo Ba, a.k.a Fundi Majumba amekuja na utabiri wa ajali ya ndege 2024
  20. Kamanda Asiyechoka

    Nilijua ajali ya ndege imetupa funzo la kuwekeza kwenye utayari wa kupambana na majanga

    Huko Hanang sioni vifaa vya kisasa vya kuokolea kama helkopta zenye crane zaidi ya kuona mawaziri wakiwa na fimbo za magongo. Chama tawala kinanunua mashangingi na kuyatawanya kwa Makatibu wake kwenye wilaya zaidi ya mia ishirini! Mawaziri wananunuliwa V8 kila mwaka, V8 mpya Tsh. Mil. 500...
Back
Top Bottom