Jamani, nimelipia router ya Airtel 5G, lakini mpaka sasa sipati internet kabisa.
Nimewasiliana na 100, nikaambiwa kuna tatizo la mtandao lililowakumba watumiaji wote na kwamba internet itarudi, na kwamba siyo tatizo la kifaa wala ufundi.
Sawa, nikasema ngoja nisubiri.
Lakini cha ajabu, mpaka...