airtel tanzania

  1. Genius Man

    Gen z kuja na kampeni ya kuacha kutumia huduma za airtel Tanzania kama walivyofanya kwa wasanii wao ndio wanawapa hela ya kula

    Gen z kuja na kampeni ya kuacha kutumia huduma za airtel Tanzania kama walivyofanya kwa wasanii wao ndio wanawapa hela ya kula. Vita ni vita
  2. figganigga

    Balozi Polepole alikuwa anatumia Laini ya Airtel Tanzania hadi siku anatekwa

    Balozi Polepole alikuwa anatumia Laini ya Airtel Tanzania hadi anatekwa. Je, ndio walitoa Location? Namba ya Balozi Polepole ni +255786146700 Airtel inashirikiana na Serikali katika maswala ya Hisa. Je, Polisi waliwaomba nini Airtel ili Polepole atekwe? Nnimeconnect dot baada ya kuona...
  3. Mad Max

    Airtel Tanzania: 5G Router zenu ni mbovu. Madukani tukileta mnasema zimeisha. Really?

    Airtel mna customer care mbovu kwenye simu. Okay, nikaona nije dukani kwenu, aisee…! Okay tuache ilo. Sasa hizi 5G router zenu za ZLT X25 zina lifespan ya muda gani? Yangu imeanza kimasihara kufanya kazi kwa kubeep sahivi hawaki kabisa. Inawaka tu taa kwamba inapokea power ila taa za 4G 5G Wifi...
  4. Teknolojia ni Yetu sote

    𝗞𝘄𝗮𝗻𝗶𝗻𝗶 𝗔𝗶𝗿𝘁𝗲𝗹 𝘄𝗮𝗺𝗲𝘀𝗵𝗶𝗻𝗱𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗳𝗶𝗱𝗶𝗮 𝘇𝗶𝗹𝗲 𝘀𝗶𝗸𝘂 𝗮𝗺𝗯𝗮𝘇𝗼 𝗠𝘁𝗮𝗻𝗱𝗮𝗼 𝘂𝗹𝗶𝘇𝗶𝗺𝘄𝗮 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮

    Nimeshangaa Sana Kampuni ya Airtel walichonifanyia aiseeh @airtel_tanzania Kuna watu wengi wanalalamika kuhusu kushindwa kufanya fidia juu ya kilichotokea Mwezi mmoja uliyopita. Toka oktoba 29 mwaka huu 2025 mitandao mingi ilifungwa kutokana na Changamoto iliyotokea kipindi cha Uchaguzi...
  5. J

    Airtel Tanzania acheni kuruhusu mtu abadili PIN bila kigezo chochote

    Ndugu wanabodi. Mimi binafsi ni mtumiaji mzuri wa mtandao wa Airtel. Lakini pia ni freelancer na agent wa mitandao yote ikiwemo na Airtel. Kitu kilichonistua mpaka kuandika hii thread. Ni baada ya wateja wangu kama wawili walikuja Kwa mda tofauti. Mmoja alikuja kifanya SIM SWAP, baada ya...
  6. Z

    Naomba kujuzwa namna ya kutuma meseji ya kawaida(normal text) kutoka Airtel Tanzania kwenda United Kingdom(UK)

    Nduguzangu wasalaamu, kuna namba ipo UK, inaanzia na +44, haipo Whatsapp wala telegram wala wapi, nalazimika kutuma meseji kwa normal text tu, naombeni mnisaidie ni kifurushi kipi kutoka laini yangu ya Airtel hapa Tanzania, kitaweza kufanikisha hilo, au ni muda wa maongezi wa kawaida? Au...
  7. A

    Airtel Tanzania badilikeni huduma kwa wateja ni mbovu sana

    Moja kwa Moja kwenye mada husikq Leo nilikuwa mahitaji kuongea na huduma kwa wateja kwa kupiga namba 100 yaliyonikuta ni kupata huduma mbovu pasipo kuongea na watu wa huduma kwa wateja( customer Care Kwanza ukipiga unapata kibwagizo kwa wale wanao hitaji Puk, alafu wanakija na option 2 za...
  8. Cute Wife

    Shida ya mtandao inayoendelea nchini tatizo ni nini? Serikali mpo kimya kampuni za mitandao mpo kimya! Sasa nani ana majibu?

    Wakuu, Kumekuwa na shida ya mtandao karibu wiki sasa, saa nyingine ikifika usiku mtandao unakuwa chini sana na wakati mwingine hata siku nzima, unakuta mtandao unasumbua kweli na hii ni kwa mitandao yote, yaani Voda, Airtel ns mingine. Cha kushangaza shida hii ya mtandao inabagua baadhi ya...
  9. falcon Q

    Airtel Tanzania nendeni mkajifunze kwa wenzenu wao wamewezaje?

    Wasalaamu, Kwa watu wa Airtel kujifunza kwa wenzenu sio dhambi kuna haka ka message "Hiyo hela itume humu kwenye Airtel 06970534*** jina lije EDWARD R****". Kaulizeni kampuni zingine kama Voda na Tigo/Zantel zimewezaje kuzuia hizi message zisiende kwa wateja mtumie njia hiyo nanyi kuzizuia...
  10. Rufiji dam

    Airtel inashirikiana na hizi kampuni za mikopo mitandao kutoa namba za wateja?

    Wasalaam hizi namba 0696447569 0695263962, 0742696669,0683374286, 0696447567, 0719249958. Ni watu wanaodai wao ni wakusanyaji madeni wa hizi online financial services ambazo zinatoa huduma za kukopesha kupitia online. Hizi kampuni ukichunguza kwa undani zina baraka zote za haya makampuni ya...
  11. M

    KERO Huduma za Airtel Tanzania ni mbovu sana

    Habarin wadau, Naomba mwenye uelewa anijuze nawezaje kupata haki yangu, Tarehe 04 -03-2024 nilitumia Airtel Money kufanya muamala wa TZS 150,000 kwenda tigopesa hiyo pesa kwangu ilitoka lakin haikufika kwenda ilikotumwa. Nimejaribu kutafuta msaada mara kadhaa katika ofisi za Airtel bila...
  12. R

    Kwanini mtu alipie makato ya kuhamisha fedha wakati muamala umefeli?

    Unatuma pesa kwenda mtandao mwingine au benki halafu muamala unafeli, pesa uliyokua unatuma inarudishwa kwako, lakini tozo na makato kutoka mtandao wa simu hazirudishwi! Kwanini pesa ya makato ya mitandao ya simu pamoja na tozo hazirudishwi? Kwanini ukatwe tozo na makato kutoka mtandao wa simu...
  13. R

    Kampuni za simu na huduma stahiki kwa wananchi

    Kuna kitu inabidi tujiulize kuhusu makampuni ya simu na huduma tunazostahili kupata kutoka kwao, huduma ambazo ni haki yetu kupata na wala hatupewi msaada. Shida inatokea pale watanzania wapoona makampuni haya ya simu yanatuhurumia kutupatia huduma hizi na kwamba bila ya huruma yao basi huduma...
  14. Jamii Opportunities

    SMB Sales Executive -Highland Zone at Airtel Tanzania

    SMB Sales Executive -Highland Zone Airtel Tanzania PLC wishes to recruit for a SMB Sales Executive -Highland Region. The role reports to the SMB Channel Manager in Enterprise Business Department. He/She will be responsible to Acquire quality business customers to contribute towards the...
  15. Jawai

    Uongo wa vifurushi vya Intaneti vya Airtel Tanzania

    Kutokana na matumizi makubwa ya fedha kwenye manunuzi ya vifurushi vya Internet. Tarehe 01/08/2022, nilijiunga na kifurushi cha Tsh.1500 (Mb850) na niliamua kuanza kufuatilia na kujipimia matumizi ya vifushi vya Internet kwenye simu yangu kupitia Mobile data usage ambapo nilipata fursa ya kuweka...
  16. Jamii Opportunities

    Enterprise Operation Support Engineers-L1 (5 Positions) at Airtel Tanzania

    Airtel Tanzania PLC wishes to recruit for Enterprise Operation Support Engineers-L1. The role reports to the NOC Assurance Manager. He/She will be responsible to ensure a 24/7 rota the highest achievable service availability through proactively performing correct network fault detection...
  17. Jamii Opportunities

    IT Business Manager – VAS & Products at Airtel Tanzania

    About us Airtel Tanzania PLC is one of the leading providers of telecommunications and mobile money services with operations across Tanzania. Headquartered in Dar es Salaam, Airtel Tanzania ranks amongst the top 3 mobile services providers in Tanzania in terms of subscribers. Airtel Tanzania...
  18. NnkoJR

    SoC01 Tozo mpya zinauma, lakini zinaweza kuwauma CCM,upinzani ukasongesha

    ALHAMISI ya Julai 15, 2021 inaweza kuwa moja ya siku yenye kumbukumbu ya kuchosha akili za mamilioni ya Watanzania, ambao simu imekuwa tegemeo lao la kufanya miamala ili kufanikisha shughuli mbalimbali za kibinafsi na hata maendeleo yao. Hii ni kutokana na kuanza kutekelezwa rasmi kwa tozo mpya...
  19. Farm boy

    Airtel Tanzania tatueni tatizo la Call Drops

    Habari Tanzania, Ninaandika kuwafikia Airtel Tanzania technical team. Kumekuwa na tatizo la kimtandao kwa muda sasa. Simu sikipigwa zinakatika tu, (calls drop). Tunaomba mtutatulie ttzo hilo ili tuendelee kufurahia huduma zenu. Ahsanteni
  20. Replica

    Nini kimeikumba Airtel? Wameuza minara yake yote na kugeuka wapangaji!

    Kampuni ya simu za mikononi ya Aitel imeuza minara yake yote 1,400 iliyoko nchini Tanzania kwa kampuni ya mawasiliano kutoka Uingereza ya SBA inayoongoza duniani kwa kuendesha mifumo ya 'wireless' kwa dola za Kimarekani milioni 175. Katika taarifa yake Airtel imesema itatumia baadhi ya fedha...
Back
Top Bottom