Airtel Tanzania tatueni tatizo la Call Drops

Farm boy

Member
Sep 8, 2015
60
125
Habari Tanzania,

Ninaandika kuwafikia Airtel Tanzania technical team. Kumekuwa na tatizo la kimtandao kwa muda sasa. Simu sikipigwa zinakatika tu, (calls drop). Tunaomba mtutatulie ttzo hilo ili tuendelee kufurahia huduma zenu.

Ahsanteni
 
May 10, 2021
75
150
Airtel walikuwa wanafanya janja janja kuishi baada ya kuuishi uhalisia wamekuwa watu wa hovyo! Nilituma hela nikiwa kwenye basi isaka nakuja dar mpaka nafika dar sijapokea sms na nliemtumia hajapokea hela, tangu wauze minara wamekuwa washenzi kupita kiasi! Internet yao kwa sasa kufika speed ya 1mbs/sec ni vigumu mno!
Wajitafakari
 
EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
15,113
2,000
Airtel walikuwa wanafanya janja janja kuishi baada ya kuuishi uhalisia wamekuwa watu wa hovyo! Nilituma hela nikiwa kwenye basi isaka nakuja dar mpaka nafika dar sijapokea sms na nliemtumia hajapokea hela, tangu wauze minara wamekuwa washenzi kupita kiasi! Internet yao kwa sasa kufika speed ya 1mbs/sec ni vigumu mno!
Wajitafakari
Gari uliosafiri nalo lilikuwa linatembea kwa spidi kubwa kuliko data za Airtel. Imagine umemtumia wife anunua msosi unafika na yenyewe ndio inaingia :cool: :cool:
 
trplmike

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
690
1,000
Habari Tanzania,

Ninaandika kuwafikia Airtel Tanzania technical team. Kumekuwa na tatizo la kimtandao kwa muda sasa. Simu sikipigwa zinakatika tu, (calls drop). Tunaomba mtutatulie ttzo hilo ili tuendelee kufurahia huduma zenu.

Ahsanteni
Mkuu upo eneo gani unapopata hii call drop?
Je unaipata ukiwa kwenye 2G or 3G network?
Jaribu ku lock simu yako kwa 2G only kisha utest. Then 3G only kisha u test.
Hii itawafanya Airtel kuelewa eneo na tatizo.
Na itakuwa rahisi kushghulika nalo pia.
Mimi pia ni mdau wa mawasiliano ingawa sipo Airtel
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom