aina

The Aïna River is a tributary of the Ivindo River that rises in Cameroon. Along the way it forms the border between Cameroon and Gabon and then the border between Gabon and Republic of the Congo (Map.).
The native pygmies along the river were noted as some of the few to use the plant Strophanthus tholonii as an ingredient in their arrow poison; other Strophanthus species are more commonly used.

View More On Wikipedia.org
  1. MSAADA: Nahitaji ushauri ni friji aina ipi bora kati hii HISENSE au BRUHM

    Wakuu salaam, Nahitaji kununua friji kwa bei ya hizi zetu watu wa hali ya kawaida,sasa ktk pita zangu nimeona angalau HISENSE na BRUHM ni bora kidg kulingana na pesa niliyonayo naomba ushaur je ipi ni bora kati izo ya izo mbili hapo je zile za condeser nje yaan nyuma ya friji na zile...
  2. Panya Road 116 wanaotumia silaha za jadi wakamatwa Dar es Salaam katika msako wa siku 3

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na jitihada za kuzuia uhalifu na kufanya misako mikali ya kuwafuatilia wahalifu mbalimbali wa makosa ya jinai. Tarehe 12 Septemba 2022 majira ya saa 22:40 huko maeneo ya Mwasonga limefanikiwa kukamata silaha moja aina ya rifle iliyokatwa...
  3. SoC02 Serikali ya Tanzania itumie magari madogo (small SUVs)

    Tanzania, nchi yangu nzuri, inayotajwa kufikia uchumi wa kati wa chini, imebarikiwa kuwa na rasilimali za aina mbalimbali kama vile ardhi nzuri ya kilimo, madini, misitu, n.k; bado inakuza uchumi wake taratibu sana kutokana na changamoto mbalimbali. Moja ya changamoto kubwa sana kwa miaka mingi...
  4. D

    Ila hii nchi iliwahi kupata wanasiasa aina yake aisee!

    "Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam Mhe. Paul Makonda, amezindua zoezi la kupuliza dawa katika maeneo tofauti ya Mkoa wake Ili kuua vidudu vinavoeneza ugonjwa wa Corona (COVID 19)"
  5. Je, kuku aina ya broiler hawafugiki kienyeji?

    Hivi broiler nikiwafuga kienyeji, yaani wajitafutie chakula kwani kuna shida gani?
  6. Kumbe aina hii ya uchawi hata nchi zilizoendelea upo?

    Haya mambo nilidhani yapo Tanzania 🇹🇿 tu na nchi zetu, kumbe ni dunia nzima. Watu hawataki ufanikiwe kwa namna yoyote, watakuroga kwa maneno yao ya kichawi. Hata kama sio mchawi, ukisema tu, tutaona kama utafanikiwa, moja kwa moja unakuwa umeingia kwenye kundi la wachawi.
  7. Aina gani ya maharage yenye bei nzuri sokoni

    Nina eneo kubwa nataka kulima maharage. Naomba kujua ni aina gani ya maharage inapendwa sana sokoni na bei yake imechangamka sokoni. Ukinipa na mbegu inakopatikana itapendeza. Eneo heka 2
  8. LIONEL RICHIE: Mwamba na mtawala wa muziki wa Funk, Soul, Rhythm, Blues and country music

    Habari ya mchana huu wakuu, leo nimekuja na historia ya huyu mwamba na mtawala wa aina mbali mbali za miziki laini, yan ile inayogusa mioyo ya mamilioni ya wapenzi wa miziki hapa duniani. Aina hizo za miziki ni funk, soul, rhythm, blues and country. Anaitwa Lionel Brockman Richie Jr (born June...
  9. Rais mteule wa Kenya William Ruto ni mtu wa aina gani? Tanzania itegemee nini kutoka kwake?

    Eti wajuzi wa mambo ya kikanda. Rais mteule wa Kenya ni mtu wa aina gani? Tanzania tutegemee nini kutoka kwake?
  10. Sensa ilipoanza niliulizwa nyumba ina choo cha kuvuta au cha shimo, leo wamekuja kuona kama nyumba ipo na ni ya aina gani?!

    Sensa ilipoanza nilisema walioandaa sensa hawajawahi kushiriki sensa, hii ilitokana na aina ya maswali yakiwemo ya uchuro, yaani umewahi kufiwa humu ndani. Leo nimeulizwa namba ya mita ya umeme, nategemea watarudi tena kuuliza namba ya mita ya maji. Kingine ni je, unategemea kuifanyia...
  11. S

    Nahitaji Kondoo aina ya Dorper

    Mambo vp Wadau wa ufugaji. Nimevutiwa sana una ufugaji wa awa kondoo aina ya Dorper weupe ila kuanzia kichwan wana rangi nyeusi nitapata wapi na bei zake wanauzawaje ?
  12. Tuko tayari kulipa tozo na kodi aina zote lakini Serikali iwe tayari kusema imeshindwa kutumia rasilimali za nchi hii tulizojaaliwa na Mungu

    Habari! Sasa ni wakati muafaka wa kuachana na misaada kutoka nje, maana nao huko kwao hali ya uchumi imekaza. Misaada inashusha heshima, mtu anayekusaidia hata akiongea upuuzi lazima ucheke ili umridhishe. Options ni 2 tu kwasasa. 1. Kutumia rasilimali zetu kama gas, makaa ya mawe, dhahabu, na...
  13. Unaweza kuvaa viatu vya aina hii?

    Kwangu mimi ni big no...sijui kwann?
  14. Vinywaji aina Soda vipewe kibandiko cha tahadhari kwa afya (Unywaji wa Soda ni hatari kwa Afya) kama ilivyo kwa sigara!

    Vinywaji kama Soda vipewe kibandiko cha tahadhari kwa afya (Unywaji wa Soda ni hatari kwa Afya) kama ilivyo kwa sigara! Si rahisi kuamini kwa kuwa ni kinywaji kilichozoeleka karibu kila dunia nzima na anayekikosoa anatakiwa awe na rundo la hoja kushawishi watumiaji kudhibiti unywaji. Lakini...
  15. Hivi Zanzibar wao wanaagiza mafuta wapi? Mbona wao mafuta aina yote ni 2000 na point?

    Jamani nilikuwa nasikiliza Leo habari asubuhi hii nikawa naskia Bei ya mafuta Zanzibar ni iko chini kuliko bara. Sasa hii si ni nchi moja? Kwa nini kuwe na utofauti? Au wao wanachimba mafuta?
  16. Natafuta pikipiki aina ya Yamaha DT 125

    Natafuta pikipiki aina ya Yamaha DT 125 ya kununua iliyonyooka iwe na documents zote kama unayo piga hapa 0752883171.
  17. Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

    Habari zenu wana JF wenzangu. Leo nimekuja na mada inayohusu mnyama hatari kuliko wanyama wote duniani anaitwa Komodo dragon. Mnyama huyu ana uwezo wa kuua wanyama wengine hatari kama vile 1) Tiger 2) Simba 3) Leopard, Cheetah (chui) 4) Mamba 5) King cobra, Black mamba nk. 6) Honey badger...
  18. Kero nilizokumbana nazo kwenye nyumba za kupanga

    Habari wanaJF, Ama kweli ule usemi wa ukichoka kero za nyumba za kupanga jenga yako bado inaniumiza mpka leo kwa vitabia flani ivi vya kiswahili huku kwetu changanyikeni ambazo sizielewi. Kwanza hapa naamini kuna watakaosoma hii article ni wapangaji wenzetu wenye tabia hizi. (1)Utakuta wadada...
  19. Naomba kujuzwa kuhusu cheo cha Field Marshall, ni aina Gani ya mtu anaitwa cheo hicho?

    Katika pekua pekua pamoja na simulizi za hapa na pale nimeambiwa kwamba Dunia nzima ma-Field Marshall hawazidi kumi akiwemo hayati Fidel Castro na Ally Zaqawi . Je, ni kweli kuwa mafied marshall hawafiki kumi Dunia nzima ? Je, cheo hiki hutumikaje katika majeshi?
  20. TV4Sale Bei za Tv Aina na size zote kwa sasa (Karibu)

    BEI ZA OFA (PUNGUZO) TV KWA LEO BOSS 32(single kioo).....285,000 49(smart vioo viwili)..850,000 39.......470,000 NATIONAL 32(vioo viwili)....300,000 MR UK 32(double)....300,000 32(smart)....340,000 Mo electro 43(smart android)...630,000 ITEL 19...................160,000 32(INA I...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…