aina

The Aïna River is a tributary of the Ivindo River that rises in Cameroon. Along the way it forms the border between Cameroon and Gabon and then the border between Gabon and Republic of the Congo (Map.).
The native pygmies along the river were noted as some of the few to use the plant Strophanthus tholonii as an ingredient in their arrow poison; other Strophanthus species are more commonly used.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanaume wawili Zanzibar watekwa kwenye gari aina ya IST

    Kuna habari ya wanaume wawili kutoka Zanzibari ya kuwa wametekwa na watu wawili walio kuwa na gari aina ya IST nauliza kweli wanaume mnatekwa kwenye gari aina hii? Rais wa Zanzibari chukua hatua
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naipenda sana dini ya kiislam lakini kila nikifikiria aina hii ya ubaguzi kwa watu wa dini nyengine hadi kuwaua kama adhabu huwa nachoka kabisa

    Kwanza kabisa ubaguzi unauona wazi kabisa kwa majina wanaowaita wasio waislam, MAkafiri, kwa lafudhi ya neno linavyotamkwa unaweza kudhani ni jambazi sugu au muaaji mkubwa sana. Zaidi ya hapo kuna adhabu ya kuua wanaobadili dini, mtu hana nguvu ya kuamua abadili imani yake akithubutu adhabu...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Siri inayofichwa kwenye "Yoni Detox" na miungu ya Kike

    CC: Mshana Jr TUFUNDISHE ZAIDI Wimbi la mafunzo yanayoitwa ya "asili" yakilenga wanawake, Kwa kutumia maneno kama Yoni Healing, Womb Health, au Kundalini. Ingawa yanaonekana kama ni mazoezi ya kawaida au afya, ndani yake kuna mambo mazito unayopaswa kuyajua kabla hujaingia. 1. Mtego wa Kiroho...
  4. JamiiForums Tanzania Kahama Jeans; Karibu ujipatie Jeans aina zote Bei kitonga sana

    Coat jeans_Tsh 15,000/ Boyfriend jeans Tsh_ 15,000/ flare jeans_ Tsh 15,000/ Mom jeans _Tsh 15,000/ jeans normal _Tsh 10,000/ tops_ Tsh 5000/ 📍Napatikana Kahama mjini ➡️delivery bure ndani ya kahama ➡️mikoa jirani na kahama delivery ukipokea mzigo ndio unalipa ➡️ nicheki Pm au Whatsapp...
  5. JamiiForums Tanzania Nauza Samaki Aina zote Kutoka Ziwan Tanganyika, fresh fish (Wenye Bucha za Samaki)

    Aina za Samaki Sangara. Kg 1 Tsh 10,000 Kuhe. Kg 1 Tsh 11,000 Sato. Kg 1. Tsh. 9,000 Migebuka Kg 1. Tsh 8,000 Nungi. Kg 1. Tsh 8,000 Kungura. Kg 1. Tsh 8,000 Singa. Kg 1. Tsh 7,000 Napatikana Sumbawanga. (Usafr Juu yako Mteja) Name: Silvester...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aina 3 za wanawake kwenye ndoa wakati wa mapenzi..[unaejipanga usiseme sijakwambia].ukioa ukubaliane na haya

    ✍️Ameandika Chris Mauki ( Mtaalamu wa Saikolojia na Mahusiano) KUNA AINA TATU (3) ZA WANAWAKE KWENYE MUKTADHA WA HISIA ZA TENDO, KILA MWANAUME UNAPASWA KUFAHAMU HII ITAKUSAIDIA KUMUELEWA MWENZA WAKO YUPO KUNDI GANI 1️⃣AINA YA KWANZA ya Mwanamke ni Yule ambaye yeye ana hamu Muda wote ( Yaani...
  7. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata baskeli za aina hizi kwa Tanzania Bara

    Rejea mada tajwa..! Natafuta baskeli za umeme je niwapi? Kwa Tanzania bara ambapo nitapata mwenye kujua anijuze
  8. JamiiForums Tanzania Mwekezaji kwa Tanzania ni mtu wa aina gani?

    Hivi muwekezaji hapa Tanzania ni mtu wa aina gani au anakuwa na vigezo vipi? Mfano Katika video iliyosambaa mtandaoni ya mbunge wa CCM Musukuma akipigana mtu anayepigana anaitwa Muwekezaji, ukisikiliza hiyo story huyo anayeitwa Muwekezaji anajenga fremu za maduka! Kiluwa anayefanya udalali wa...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gift Macha ni aina ya wanaume wadhaifu wanaotengeneza kundi kubwa katika jamii hii inayofukazana na usasa usio na tija

  10. JamiiForums Tanzania Ndege vita mpya aina ya “Adir” (F-35i) Zatua Katika Kambi ya Anga ya Nevatim-Israel!!!

    IDF Katikati kusimamisha Usalama wake Leo Ndege Tatu za Kivita za “Adir” (F-35i) zimetua Katika Kambi ya Jeshi la anga la Israel huko Nevatim Msemaji wa IDF alitangaza kwamba ndege tatu mpya za kivita za “Adir” (F-35i) zimetua katika Kambi ya Anga ya Nevatim kusini mwa Israeli. Ndege hizo...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli gari aina ya Nissan zinasumbua sana injini zake?

    Wanaseme Nisan zote ni vimeo, ukweli upo wapi ndugu wa taalam wa magari. Nisan extrail wanasema zinanock engine. Nisan dualis wanasema zinaungua Nisan navala wanaseme zinasumbua geer box Yaani kila nisan inashida. Je,kunaukweli au ni habari za kufikirika
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania nahitaji vifaa vya simu aina ya huawei mate 20 pro viwe used au vipya

    nahitaji vifaa vya huwei used hata kama ni vipya itakuwa sawa tu...vifaa ninavyovi hitaji ni mfuniko wa batri uwe na muonekano kidogo mzuri kama ni used,camera ya mbele na nyuma...au hata ikipatikana hii simu iliyokufa display nitanunua.
  13. JamiiForums Tanzania Hivi watanzania mnataka siasa za aina gani?

    Hili swali linapaswa kujibiwa na watanzania wote, hivi mnataka siasa za aina gani? Mnataka siasa za kistaarabu zisizo na unafiki na ukali hasa kutoka viongozi wa juu Au mnataka siasa za misifa na ukali ukali wa kutumbuana kwenye kadamnasi bila kufuata itifaki? Hii inahusu zaidi chama...
  14. JamiiForums Tanzania Kama binguni kuna madini ya kila aina na ya thamani.Je yanafaida gani ikiwa hayatumiki?

    Lazima tuulizane maswali yenye mantiki hapa. Tulienda shule ili tupate ufahamu tusibaki kule au kuwa walewale wa zamani au kama babu zetu wa enzi zile. Usomapo Biblia hasa kuhusu uzuri wa mbinguni/Peponi au paradiso unakuta panaelezwa kuwa ni pazuri sana na hakuna mfano wa kupafananisha...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania ni shamba la bibi ndio maana taasisi na mabenki ya kila aina yamejazana kwa sababu ya riba soma hapa

    Nilikuwa naambiwa na jamaa mmoja ni raia wa nje kuwa riba ya mikopo kwa ina asilimia ndogo ukilinganisha hapa. --- 🏦 1) Riba ya Mabenki Kuu (Central Bank / Policy Rates) – Sera za Riba Hizi ni viwango ambavyo benki kuu za nchi zinatumia kudhibiti uchumi. 🇪🇺 Uropa (Eurozone) European...
  16. JamiiForums Tanzania 'Sheikh ubwabwa' ni mtu wa aina gani?

    Naomba sifa hata Kwa picha za hawa wanaotrend kwasasa kama sheubwabwa. Naomba Uzi wangu uheshimiwe usikashifu mtu.
  17. JamiiForums Tanzania Kuweni makini wasanii watawajia kila aina ya gia kuwasahaulisha yote na kuendelea kuwafanya watumwa wao

    Wasanii jambo lao limefanikiwa kwa kiasi kikubwa, na yule mtu wao ameingia madarakani na tarehe 9 dec wameona wamepata ushindi mwingine. Hivyo kwa sasa watakuja na kila aina ya gia kuwalaghai ili muendelee kuwasapoti cha kisingizio eti "pale walikuwa kazini". Sasa kama walishachagua upande...
  18. N

    JamiiForums Tanzania 'MO29' imeifanya Dunia ijue kila aina uovo unaofanyika Tanzania,'D9' ni zamu ya vyombo vya dola kuandamana....Hakuna tunachowadai mashujaa 'Gen Z'.

    Amani ya Bwana iwe juu yenu watanzania. Maandamano ya siku ya uchaguzi mkuu (MO29) yameweka hadharani mambo yanayofanywa na serikali ya CCM. 1.Utekaji 2.Mauaji 3.Uchakachuaji wa uchaguzi. 'D9' ni zamu ya vyombo vya dola kuandamana na hakuna tunachowadai 'Gen Z'.
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania ina aina ya ulinzi wa tofauti kabisa. Si rahisi kuingizwa kwenye shimo kirahisi kama Sudan au Libya

    Kuna vijana Libya walikuwa front line kuhakikisha Gaddafi anaondolewa Libya bila ya kujua kuwa nyuma yao kuna nguvu ovu inawasukuma. Vijana wengi wa Libya walipambana na serikali yao wakijidhani wamevaa vazi la uzalendo kumbe ni mipango iliyosukwa kwa ustadi na waroho wa rasilimali za Libya...
  20. J

    JamiiForums Tanzania GUTA

    Jamani naomba kuuliza wenye uzoefu kuhusu guta aina ya KEVLA. Naomba kujua kuhusu ubora wake wakuu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…