aina

The Aïna River is a tributary of the Ivindo River that rises in Cameroon. Along the way it forms the border between Cameroon and Gabon and then the border between Gabon and Republic of the Congo (Map.).
The native pygmies along the river were noted as some of the few to use the plant Strophanthus tholonii as an ingredient in their arrow poison; other Strophanthus species are more commonly used.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tunatengeneza computer aina zote na kuuza accessories

    TUNAUZA ACCESSORIES ZA LAPTOP & MACBOOK KAMA... KEYBOARD ZA LAPTOP/MACBOOK BATTERY ZA LAPTOP & MACBOOK CHARGER ZA LAPTOP & MACBOOK SCREEN ZA LAPTOP & MACBOOK HDD & SSD RAM MEMORY HOUSING ZA LAPTOP TUPO ILALA - DSM 0767953873
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri wa aina ya mwili wangu.

    Mimi ni mrefu almost 6.4 ft. Miaka 27 Nina kilo 89. Kuanzia kichwani mpaka kiunoni ni mwembamba wa kawaida Ila kuanzia kiunoni mpaka kwenye mapaja ni mnene kabisa tusema Nina asili ya shape na hips nahisi ni genetics nime inherit, Je ni aina Gani ya mazoezi au life style naweza kuishi au...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aina za laana

    Kuna aina mbalimbali za laana zinazoaminiwa kuathiri maisha na mwili wa binadamu, pamoja na mbinu tofauti za kujikinga kulingana na imani za kidini na kijadi. hizi laana zimegawanywa kulingana na chanzo chake ama asili yake... Hebu tuzipitie moja moja 1.Laana za Ukoo (Generational Curses)...
  4. JamiiForums Tanzania Wito kwa serikali kuhusu uzingatiaji wa sheria ya takwimu (sura ya 351

    Kwa kuzingatia masharti ya Kifungu cha 37 cha Sheria ya Takwimu, kinachokataza utoaji na upotoshaji wa takwimu rasmi kwa nia ya kuwahadaa wananchi, Serikali inapaswa kuimarisha usimamizi kwa wanasiasa na viongozi wa kijamii wanaotoa takwimu bila weledi. Nukuu ifuatayo inapaswa kuwa muongozo...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini watu wenye asili ya uweusi wanapendelea wadada wenye makebo makubwa ila vijana wa ngozi nyeupe wanapendelea wadada wenye maanabeli makubwa?

    Ni ishu ya DNA au tu mazoea. Maana huku kwetu wadada wenye makebo mapana ndio habari ya mjini ila wazungu ni mabinti wenye maanabeli mapana.
  6. JamiiForums Tanzania Hii ni aina gani ya bunduki alieonekana nayo mlinzi wa raisi mapema leo baada ya kashi kashi katika hafla ya chakula cha jioni?

  7. JamiiForums Tanzania CCM wapewe hongera zao bwana, kwenye kutengeneza "misukule" hakuna chama kinawashinda!

    Eti Wakuu? Mtu ndugu zake wameuliwa Oktoba 29, leo anakwambia mama anaupigwa mwingi, ni mwana demokrasia na mdiplomasia wa kweli!😂🤣 Maisha yanamchapa kweli kweli anaishia kutegemea afsaba saba za kuwa bot kwenys mtandao lakini anakwambia mama hana deni! Aaah huu uzwazwa unahitaji kufanyiwa PhD...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Hii ndo aina ya watu ambao utawakuta JF online muda wote

    hawa huwa wanafanya kazi za kukaa wapweke muda mrefu mfano: Kuuza mapazia, kuuza mabegi, kuuza cover za simu n.k hawa watu utawakuta maranyingi wamekaa dukani kusubiri wateja. mtu kama MIN -mi atakua anafanya kazi ya kuuza duka la dawa kwasababu anaonekana ni mdau wa afya. hivyo muda wa...
  9. JamiiForums Tanzania Chaji Aina ya Infinix Type C inauzwa

    Habari wakuu chaji Aina ya Infinix inauzwa bei sh 15000 aina kipengere chochote karibuni
  10. JamiiForums Tanzania Chaji Aina ya Infinix Type C inauzwa

    Habari wakuu nauza chaji ya Infinix Type C bei 15000 maelewano yapo ndo mpya inachaji vizuri karibuni wakuu
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kwenye uzi huu nitakupa updates ya luxurious street & casual wear aina zote

    Wadau wa JamiiForums, Style sio kelele. Style ni utulivu wenye nguvu. Ni ile presence mtu anaingia nayo kwenye room, bila kusema kitu — lakini kila mtu ana-notice. Hapa ndio luxury streetwear inaingia. Kama unajielewa, unajua tofauti ya kuvaa nguo na kuvaa brand. Sio kila mtu anaweza kubeba...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kuna aina mpya ya kutengwa kwa njia ya kidijitali kwenye magroup, ni kitu nilichogundua kinawumiza wengi

    Kuna hali ambayo imeanza kuonekana ya kawaida, lakini ndani yake kuna maumivu ya kimya. Mnajuana mitaani, mnacheka pamoja, mnafanya biashara au kazi sehemu moja, mnaabudu pamoja kanisani au msikitini, au hata ni ndugu, jamaa na marafiki halafu kuna “group” linaanzishwa, lakini wewe huingizwi...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Nakopesha simu za mkopo aina ya Samsung A06, A07, A16 na A17

    Habari JF Kama kichwa kinavyojieleza ninakopesha simu za mkopo aina ya Samsung. Modeli no A06, A07,A16 na A17. Njoo na kianzio Cha shillingi elfu50 kwa Samsung A06 na A07 Ili uanze kumiliki simu Yako. Viambatanisho ni namba ya NIDA, leseni ya UDEREVA au kitambulisho cha mpiga kura. Dar...
  14. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunatengeneza furniture aina zote pia tunauza ambazo zimeshatengenezwa

    Habari wakuu? Karibuni kwa mahitaji ya furniture aina zote zenye ubora wa hali ya juu na za kisasa. Tunapokea order na pia tuna furniture ambazo ziko tayari Ofisi zetu zinapatikana tabata mwananchi na keko chang’ombe kwa mawasiliano zaidi tutafute kwa no 0616941241
  15. JamiiForums Tanzania Wale wanaopenda biashara ya kuku aina ya kuchi chimbo hili hapa

    Wakuu kama mjuavyo nikienda mahali huwa napenda kuwajulisheni namna kulivyo. Bila shaka mnajua wazi mimi ni mdau wa kilimo na ufugaji (mdau haswa sio mbabaishaji) Huko kwingine tupo tu kwa sababu tunaishi dunia ya watu wa aina zote but kila nikifungua jf muhimu niingie jukwaa la kilimo na...
  16. JamiiForums Tanzania BLIND SPOT MIRROR – Ulinzi wa Ziada Barabarani

    🚗🏍️✨ BLIND SPOT MIRROR – Ulinzi wa Ziada Barabarani! ✨🏍️🚗 Epuka ajali kwa kuongeza uoni mpana zaidi wakati wa kuendesha! ✅ Inafaa kwenye Pikipiki 🏍️ ✅ Inafaa kwenye Bajaj 🚕 ✅ Inafaa kwenye Magari aina zote 🚗 ✅ Rahisi kufunga – bandika tu kwenye kioo ✅ Inaongeza usalama wakati wa kubadilisha lane...
  17. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi baadhi ya wanaooa Single mothers wakiwa sio single fathers huwa Wana ujasiri wa aina gani?

    Habari wanajf Huwa ninashangaa kuona kijana asiye na mtoto hujitwisha mzigo mkubwa wa kiasi hicho. Mimi nimewahi kudate na single mother muda wa miaka Kama 2 hivi niliona rangi zote kwa kweli na sio single mother wa Kwanza na karibia wote wana changamoto zinazofanana. Mwaka wangu wa Kwanza...
  18. H

    JamiiForums Tanzania TUNAZA KOROSHO AINA ZOTE

    Karibuni #Korosho kwa bei nafuu kabisa ya kutupa zenye ubora na utamu wa HALI YA JUU. Na tunafanya DERIVERY popote ndani ya MIPAKA ya TZ. BEI ZETU; Kg 1 unajipatia kwa Tshs. 25,000/= TUNAUZA KWA BEI ZA JUMLA PIA KUANZIA KGS 10. Pia kampuni yetu cha CHILUMBA CASHEWS SUPPLIER inasimama kama...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mwanaume wa aina hii mwenye afya na uhuru ?

    Hanywi pombe Havuti sigara / bangi Hahongi wala kununua wanawake Hachezi kamali
  20. JamiiForums Tanzania Aina mpya ya utajili inayokua kwa kasi sana: DIGITAL ASSETS.

    Uchumi wa kidijitali unachangia kwa kasi ukuaji wa ajira na kipato duniani, huku matumizi ya mtandao yakiongeza fursa za biashara mtandaoni (World Bank Digital Economy Report, 2021). Swali la kujiuliza si tena: “Ni mali gani ninamiliki leo?” Bali: “Ni digital asset gani ninajenga leo ambayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…