aibu

Saki Aibu (相武 紗季, Aibu Saki, born June 20, 1985) is a Japanese actress. She is represented by Box Corporation.

View More On Wikipedia.org
  1. Kupita bila kupingwa, Kuna wenzenu hawana aibu kabisa

    Kuna mtu hawazi Wala kufikiria watu watasema nini mtoto na mwanawe kupita bila kupingwa katikati ya watanzania 65,000,000. Hata kama unasema hujui lakini hii inaweza kukulazimisha kujua. Baada ya baba wa taifa kufa, nani amebakia kutuambia acheni kufanya hivi?
  2. R

    Jamani kuwa na aibu kidogo!

    Msoga kuweni na aibu kidogo, mnajenga chuki dhidi ya vizazi vyenu! Angalau weka watu mshindanishwe....mkipita it is OK,.....haya mnayofanya hakuna anayewaunga mkono!
  3. Mfuasi wa CHADEMA ni Aibu kubwa kujadili MAJINA ya Wagombea wakati huu wa OPARESHENI ya kudai REFORM

    1.Wafuasi na wanachama wa CHADEMA hatusambazi kazi za chama mitandaoni kwa kiwango cha kutosha. Tumejazana Facebook, Twitter, Instagram, TikTok na kwingine huko, lakini hatubebi kazi za chama. 2.Wafuasi na wanachama wa CHADEMA hatutembelei ipasavyo akaunti rasmi za chama katika mitandao ya...
  4. Wapagazi wa Kilimanjaro: Uhalali wa Manyanyaso au Uvunjifu wa Sheria? KIPAP, TANAPA na Wizara, Keleleni Kwenye Ukimya Wenu wa Aibu!

    Ni wakati sasa wa kuweka wazi na kwa lugha ya kisheria dhuluma inayofanywa kwa wapagazi (porters) wa Mlima Kilimanjaro. Hili si jambo la hisia tu, ni jambo la haki, ni jambo la sheria. Na ni jambo ambalo ukimya wa serikali, taasisi husika na wadau wakuu wa sekta ya utalii hauwezi tena...
  5. R

    GE2025 Kuna matamko huyategemei toka kwa Jaji wa Rufaa, anatoa haki Mahakamani! 37 millions wamejiandikisha kweli?

    Judge mzima huna aibu unasema 37 wamejiandikisha......... By all intent and purposes haiwezekani watu wote wajaiandikisha........ duniani haijawahi kutokea. Nchi za Ulaya, particularly Western, ambazo database za watu wake ziko perfect 100% unaweza ku quote data hizo ukazifaya automatically that...
  6. M

    GE2025 Samia kataa hizi aibu, Ripoti ya Uchunguzi: Hitilafu na Utofauti Kati ya Matokeo ya Wilaya/Mikoa na Tangazo la Kitaifa la CCM, Mkutano wa Mtandaoni

    “Ogopa Mungu na teknolojia,” na tena: “Siku ya kufa nyani, miti yote huteleza.” Katika mazingira ambayo upatikanaji wa intaneti si wa uhakika—hata simu za kawaida hupata shida ya mtandao.lengo liliikiwa kunyima haki ya mawazo mbadala na kuendeleza hofu ya watawala. Matokeo yake yamekuwa aibu...
  7. GE2025 CCM yafanya marekebisho ya Katiba yanayohusisha maamuzi ya Kamati Kuu uteuzi wa wagombea udiwani na ubunge

    Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM akishiriki Mkutano Mkuu Maalum CCM kwa Njia ya Mtandao White house -Dodoma, leo tarehe 26 Julai, 2025 https://www.youtube.com/live/-Tu6zVGA9PU?si=2ByaTaVIA6m33xsQ Mwenyeiti wa chama cha mapinduzi (CCM) Rais Samia ameshafungua mkutano na sasa shughuli zimeanza...
  8. G

    Taja chama cha siasa duniani ambacho hakina aibu na kinafanya siasa za kitoto Karne hii ambayo watu wanaelimu kubwa ya uraia, angalizo usitukane ,

    Wakuu Leo taja Tu jina la chama cha siasa ambacho kiko popote duniani kinachoongoza nchi kwa akili za kitoto wakati kinaowaongoza wanaufahamu mkubwa kwa mambo kuliko kawaida, Taja Tu chama wala usitukane , taja chama na nchi kinayopatikana
  9. Jaji Mutungi, Msajili wa vyama vya Siasa, ulipo huoni Aibu wee Mzee? Tazama CCM wanavyokuumbua , umegeuka kua Muhuni katika Tanzania ya Wasomi!!

    Ni kupitia Ofisi yako na Kesi za Uchwara Uchwara ,umeizuia CHADEMA kufanya Shughuli zake za Kisiasa Kwa sababu za kijinga kabisa. Lakini CCM wenyewe ,Kwa Sasa wamewaonyesha Watanzania kua, sio tu kukiuka Katiba yao ya Chama, wamekiuka Katiba ya TAIFA. Mzee Butiku kasema CCM wamekiuka, Mzee...
  10. Itakuwa ni fedheha kubwa sana kwa chama kuanza upya mchakato wa mgombea ni aibu na ishara ya kushindwa

    Kuna msemo unasema ukiona unapotea njia usiendelee mbele upotee zaidi , ama heri urudi nyuma ukaanze upya ama usimame ungojee huwenda utakutana na mtu akuelekeze njia sahihi. Kilichotokea katika mchakato ule hesabu hazikupigwa vizuri na sasa wamefika njia panda ambapo haijulikani waende kushoto...
  11. P

    GE2025 NI AIBU: Sarakasi zilipitiliza, sasa zinawatokea puani

    Moja kwa moja nijikite kwenye mada: Sarakasi ya kumpata mgombea wa CCM ilikuwa ni muendelezo wa yale wanayoyafanya kumpata rais wa nchi. Kwa kuwa Mungu wa mbinguni atoaye mamlaka kwa mtu anayemchagua ameamua kuwavua nguo wote waliozoea kuvunja sheria, katiba, kanuni, miongozo na desturi kwa...
  12. Tuchanane: Mambo ambayo akifanya mtu aibu unaona wewe!

    Binadam alivyo leo kitabia na mwenendo ni zao la mambo 3. 1. Jenetiki alizorithi 2. Mazingira aliyokulia 3. Mazingira aliyomo. Tunakutana ukubwan, si vibaya tuambizane mambo yanayotia kinyaa kwenye jamii.(general bad manners). Haijalishi kwa makusudi au bahati mbaya. 1. Kuongea na simu sauti ya...
  13. Duh kumbe Wanyonge na Mafuraka wa TASAF ili wapewe chochote kitu, wanalimishwa Mitaro , Kuchonga Barabara , hii ni Aibu!!

    Wakuu ni Aibu, Udhalimu na Uonevu mkubwa wanaofanyiwa Hawa Ndugu zetu. Serikali ya Rais Samia, inawafanyisha Kazi Bibi na babu walochoka kabisaz Shughuli za kuchongaabarabara, Njia ,Mitaro na kusafisha vichochoro Kwa Malipo ya Fedha za TASAF. Imeniuma sana sana sana, Hata MAGUFULI hakufanya...
  14. Ni aibu ya Mwaka Kwa Amos Makalla

    Nyie Mungu ni mwema sana. Samia na genge lake walipanga mipango mingi sana ya kuiumiza Chadema. Wakaanzisha migogoro kupitia msajiri na mahakama. Wakaanzisha chama shikizi Ili kuhadaa jamii ya kimataifa kuwa Chadema wamegawanyika. Malipo ni hapa hapa duniani. Sasa kimewalamba, wamevurugana...
  15. Aibu kubwa kwa Mhimili wa Mahakama: Kwa mara ya kwanza Watanzania wafikiria Kuandamana kupinga Mahakama kuingiliwa na Serikali.

    Tangu wakati wa Chama kimoja, hakuna kipindi ambacho Watanzania waliwahi kufikiri kuwa Mhimili wa Mahakama unaingiliwa na Serikali. Ni bahati mbaya sana, baada ya Mhimili huu kuwa compromised kiwango cha kutisha na kutoa maamuzi ya hovyo isivyo mfano Watanzania wameanza kufikiria kuandamana...
  16. GE2025 Ni aibu kubwa Kwa CHAUMMA, mkutano wao wa Zanzibar waudhuriwa watu wachache sana

    CHAUMA ebu punguzeni kujitia hasara. Utakodishaje mziki,na jukwaa afu unaishia kuhutubia watu 6. Hawa viumbe walidhani ma press conference ndo yangewafanya wapendwe na watu. Sahivi wanalia kilio Cha kusaga meno. Catherine Ruge Devotha Minja Moza Ally Suzan Kiwanga Tunawasubiri mshinde ubunge...
  17. Mikutano ya vyama vya upinzani vinavyoshiriki uchaguzi ni aibu kwa taifa

    Kama taifa unajiuliza tumefikaje hapa. Ukiangalia Ata majirani zetu Kenya na Uganda mwaka wa uchaguzi unakuwa na hamsha hamsha kweli kweli, political will ya raia inakuwa kubwa kweli kweli.mikutano ya chama tawala na vyama vya upinzani inajaza aswaa. Hapa Tanzania strong contenders wa CCM ni...
  18. K

    Issue ya kufeli kwa Aziz Ki ni aibu kwa Soka Letu.! Jadili

    Kwamba huyu Bwana ndo star wetu..! Kwamba tukiwa tunajisifia eti Sisi ndo sisi huwaga tunamtaja na yeye ... Kwamba alivyokuwa kwetu Panga pangua humuachi kikosi cha Kwanza...! Sasa Unaambiwa Kafeli Wydad..! Ndio kafeli , hivyo yupo safarini kurejea. Lipo la kujadili hapa...
  19. Ni aibu na fedheha kwa mama Salma Kikwete kuendelea kugombea ubunge.

    Inamaana hakuna mtu mwingine mwenye uwezo wa kuongoza huko lindi?
  20. W

    Odinga: Yeyote anayeagiza Polisi kuwapiga watu risasi, aibu yako

    Kiongozi wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM),Raila Odinga amelaani kauli ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Kipchumba Murkomen baada ya kutoa agizo kwa Jeshi la Polisi kuwapiga risasi na kuwaua raia watakaosogelea kituo cha polisi katika maandamno yaliyofanyika Kenya Akizungumza na wakazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…