ahmed ally

Ahmed Ally ni Meneja wa Habari na Mawasiliano (Spokesperson/Media & Communication Manager) wa Simba Sports Club.Anachojulikana kwa:
  • Ni msemaji rasmi wa Simba SC na huwa anazungumza na vyombo vya habari baada ya mechi, wakati wa matangazo na mikakati ya klabu.
  • Ana akaunti maarufu ya Instagram (@ahmedally_) yenye wafuasi wengi, ambapo yeye hutoa taarifa, maoni na majibu kuhusu Simba.
  • Yeye ni mmoja wa watu wanaozungumza kwa ukali na kujiamini wakati wa derbi dhidi ya Yanga na mechi kubwa.
  • Pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Medali Motors.
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Usajili utakaofanywa na Simba utakuwa na umakini wa ICU

    Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amesema kuwa usajili utakaofanywa na Simba safari hii utakuwa na umakini wa kiwango cha ICU (Intensive Care). "Taarifa tu ni kwamba usajili wetu safari hii unafanyika kwa umakini wa ICU, na wachezaji waliopendekezwa na mwalimu...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mangungu na Ahmed Ally watupishe Simba

    M/kiti wa Simba na meneja wa habari na mawasiliano Ahmed Ally wanapaswa kuachia ngazi kwani hao wanaihujumu simba kwa kufanya propaganda za kuisifu simba kwamba ni Bora ili ionekana ni timu Moja imara yenye wachezaji wazuri kumbe wanaifanyia propaganda ya kutufunga macho. Bila ya Hawa kuondoka...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba hawakumwelewa Ahmed Ally alipowaambia kesho ni mechi ya mwisho Simba kucheza nyumbani na Kagera Sugar, alimaanisha hivi

    Washabiki wa soka nchini ni mtihani mkubwa sana, wana uelewa mdogo sana wa mambo, juzi Ahmed Ally amewaambia washabiki wajazane na familia zao kuwaaga wachezaji kwa sababu itakuwa mechi ya mwisho kwao kucheza nyumbani, wengi wametafsiri kauli hii kuwa Simba inamaliza mechi kesho.La hasha...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Jumapili tukune KMC tukaagane wanasimba

    Afisa habari na mawasilino wa Simba Sc Ahmed Ally kupitia ukurasa wake wa Instagram amewaomba wanasimba kufika katika uwanja wa KMC kuaagana. "Jumapili tukutane KMC tukaagane,tumekua na Msimu mzuri sana" Ikumbukwe kuwa Klabu ya Simba Bado haijathibitisha kucheza mchezo wa tarehe 25 June dhidi...
  5. Twinawe

    JamiiForums Tanzania Leo nimekumbuka Ahmed Ally akiwa mtangazaji pale radio Free Afrika

    Kwa wakati ule nilikua sihifahamu hata sura yake . Jamaa kwa uwezo wake sidhani kama alistahili kuingia katika siasa za simba na yanga nilitamani kumuona Ikulu . Alinifanya nipende kusikiliza habari za magazeti na michezo asubuhi bila kumsahaua Ivona kamuntu pamoja na ben Mwanantala.
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Mpango wa Yanga kushinikiza Viongozi kujiuzulu ni mpango wa makusudi

    Wakuu! Imebaki siku moja kabla ya dabi ya kariakoo hakun tiketi zilizouzwa mashabiki wanaingiaje kwa mkapa? === "Mpango wa Nyuma Mwiko kushinikiza Katibu Mkuu wa TFF na Mtendaji wa Bodi ya Ligi wajiuzulu ni mpango wa makusudi wa kutaka kuweka watendaji wapya katika taasisi hizo watakaolinda...
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe; aliyoongea Ahmed Ally baada ya mechi ya Yanga na Mamelod, Mungu fundi anajibu, unalaumuje wenye mpira wao CAF

    MUNGU fundi MUNGU Mwamba MUNGU ANAJIBU maombi Haya ndipoo manenoo aliyoongea Ahmed ally BAADA ya YANGA kupeleka malalamiko ya kunyimwa goli MECHI ya YANGA vs mamelody Nisimalixie fungua uchekeee
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally ana gundu? Simba hawajabeba kombe tangu ajiunge nao

    Huyu bwana anaweza kuwa na mkosi. Anabwabwaja sana lkn timu yake haipati makombe ktk kipindi hiki. Watu wa Simba amkeni, pengine mmeingiliwa na migundu
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally: Yanga SC ilifuzu Fainali CAFCC kwa kupita katika Migongo ya Maiti ila Simba SC imefuzu kwa Kucheza na Wanaume wa Kweli

    "Ukitaka kujua kuwa Yanga SC ilifika Fainali ya CAFCC kwa kupita katika Migongo ya Maiti kazitafute zile Timu zote alizocheza nazo kisha njoo uniambie kama hata kwa sasa zinafanya vizuri katika Ligi Kuu za Kwao au hata zimeweza tena kuwepo CAFCC kwa Msimu huu. Simba SC tuna haki ya Kujivunia...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Ahmed Ally amwaga chozi baada ya Simba SC kufuzu Nusu Fainali CAF

  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Kama tulimuua Al Ahly, Wydad, Berkane… hutuwezi kumshindwa Mwarabu wa Daraja la Nne, huyu ni size yetu kabisaaa

    “Wapo watu wanasubiri tufeli waanze kutukebehi sasa tutumie kila tulichonacho kwenda nusu fainali. Na tukimuangalia mwarabu tunayecheza naye huyu ni wa kawaida kabisa. Katika waarabu tumewahi kukutana nao huyu tunamuweza kabisa na hii tunaweza kufuzu.” “Sifa ya Simba, sifa ya Mwanasimba sio...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ukiniambia kuwa unawatia Moyo wana Simba SC Wajaze Uwanja Jumatano sawa, ila Kumfunga Al Masry tarehe 9 sahau sawa?

    Ni bora nichukiwe kwa kusema Ukweli na kutokuwa Mnafiki kuliko Kuwafurahisha Wapumbavu na Washamba wa Mpira.
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Temesharuka vigingi vikubwa, Al Masry atakuwa ni Mwarabu wa mfano kumchakaza kwa Mkapa

    Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amesema kuwa Simba ni miongoni mwa timu zinazotoa vipigo vikubwa barani Afrika huku akisisitiza kuwa tayari wamewahi kuwadhalilisha wapinzani wengi, ikiwa ni pamoja na Horoya AC. Hata hivyo, anasema hawajawahi kufanya hivyo kwa timu kutoka...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania RC Mtanda: Serikali hatuwezi kuchukua kispika cha Ahmed Ally cha kuuzia kunguni kutoa taarifa, tunafanya kazi kama Ally Kamwe

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Mtanda awataka vijana wasikae vijiweni washiriki kwenye makongamano kusikiliza fursa mbalimbali, Mtanda ameoa wito huo kwenye Konga la wazi la Fursa za kiuchumi kuhusu mgao wa 30% za Rais Samia kupitia NeST.
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Simba SC kuwafuata Al Masry Machi 28, Camara na Mukwala wajiunga na wachezaji wenzao baada ya kutua nchini

    "Kikosi kitaondoka nchini alfajiri ya tarehe 28 kuelekea Misri kwa kutumia ndege ya Egypt Air. Wachezaji wetu waliokuwa Taifa Stars wataungana na timu nchini Misri. Camara na Mukwala tayari wamewasili nchini kujiunga na wachezaji wenzao kwa ajili ya maandalizi ya safari." "Kila Mwanasimba...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ahmed Ally: Viongozi wanapatikana kwa kadi ya kupiga kura, Watu wajiandiishe wapate haki yao ya Kikatiba

    Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally anazungumzia maoni yake kuhusu zoezi la Uandikishaji wa Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura: Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally acha kuchukulia poa hili suala la kughairishwa kwa mechi. Mashabiki wa Simba tumetumia gharama zetu kutoka mikoani kuja Dar

    Habari zenu wadau wa michezo. Kwa ukweli nimeghadhibika na kauli ya afisa habari wa timu yangu ya SIMBA sc kwa kupost katika mtandao wa Instagram juu ya hii kadhia iliyotokea jana na anaonekana kuchukulia poa tu suala hili bil ya kujali gharama ambazo mashabiki tumezitumia kusafiri kuja Dar...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally awaomba radhi mashabiki wa Simba, awasihi kurejea nyumbani kwa utulivu baada ya mechi kuahirishwa

    Meneja wa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally, amewasilisha ujumbe wa pole kwa mashabiki wa klabu hiyo kufuatia kuahirishwa kwa mechi yao leo. Kupitia taarifa yake, Ahmed Ally ameomba radhi kwa mashabiki wote wa Simba, hususan wale waliotoka mikoa mbalimbali kwa ajili ya kushuhudia mchezo huo...
  19. Dialogist

    JamiiForums Tanzania Haya ya Simba niliyatarajia toka jana kupitia Ahmed Ally

    Wakati wa pre-match press conference, na kwa wale wataalamu wa saikolojia mtakubaliana nami kwamba Msemaji wa Simba na semaji la CAF Bwana Ahmed Ally alionesha ishara zote za Leo timu yake kutokuingia uwanjani. Hii ni baada ya kua na muonekano usio changamfu, na hata baada ya kuulizwa swali na...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF

    Wakuu Kama kweli adhabu ndio hizi una mtazamo gani? Kuna kitu kitapungua kwenye Soka la Bongo? Ikumbukwe, Mameneja hao wa Habari na Mawasiliano wa vilabu vya Simba Sc na Yanga Sc, Ahmed Ally na Ally Kamwe wote waliitwa kwenye Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF)...
Back
Top Bottom