Rasmi leo ndio umekua mtu mzima wa kimpira, ingekua kimaumbile tungesema umebaleghe hii leo
Matusi, kejeli, na dhihaka zote utakazopokea leo ni ukaribisho kwenye ukubwa wako, yasikutishe tamaa na wala yasikuvunje moyo, KARIBU UKUBWANI
Umeumiza mioyoo ya Wana Simba, lakini wewe sio wa kwanza...
Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally, amemjibu Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe, kufuatia tuhuma alizozitoa za Simba kubebwa na waamuzi katika Ligi Kuu.
Kupitia ujumbe wake, Ahmed;
Soma: Malalamiko ya Yanga kuhusu refa Kayomba ni ya kijinga
Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe, alitoa tuhuma kali...
Imekuaje tena Semaji anatoa siri za Chama 😂
Juzi tu hapa tumesemwa na Prof. Tibaijuka eti asema ukiwa na miaka 30, unasema bado nini?
Sikiliza majibu ya Msemaji wa Simba Ahmed Ally kuhusu kufunga ndoa pia amejibu watu ambao wanauliza huyu atakuwa mke wa ngapi kwake kumuoa.
Msemaji wa Yanga, Ali Kamwe
"Ahmed Ally anaomba usiku na mchana kocha wetu afukuzwe. Tangu jana nimemuona akifanya Media Tour kwenye vyombo mbalimbali vya habari, lakini yeye ndiye anayetakiwa afukuzwe kwenye mpira wetu."
"Mmesahau miaka miwili iliyopita aliwahi kupost kwenye ukurasa wake wa...
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Simba SC Ahmed Ally leo January 20,2025 ameamua kulipamba gari lake msimamo wa Kundi A alilotoka Yanga
SC Ligi ya Mabingwa Afrika akiwa na lengo la kuwakera.
Ahmed Ally amesema ameamua kufanya hivyo ili kuwakumbusha Watu akisema sababu ni kwamba hapa...
Vaibu la mashabiki wa Simba Mwembeyanga, Ahmed Ally achizika wakimkanda CS Constantine bao 2-0 na kuongoza kundi A kwa kufikisha alama 13.
Soma, Pia: FT: CAFCC: Simba SC 2-0 CS Constantine | Estadio Benjamin Mkapa | 19.01.2025
Ameandika Afisa Habari wa timu ya Simba @ahmedally_ [emoji116]
"Dodoma Jiji jana kafungwa magoli mawili ya Uwongo, Moja la Offside na pili Penati ya uongo lakini Kocha wao hajalalamika kuonewa wala kudhulumiwa zaidi amesema AMESTAHILI KUFUNGWA
Rejea mechi ya Dodoma Jiji Vs Simba, baada ya sisi...
Nisikiliza Crown FM hapa, yupo Semaji na mashabiki wa Simba wanaendelea na hamasa.
Sasa anasema wenzetu wanagawa Utamu nje na ndani. Na sasa wapo Lubumbashi ambapo pana vumbi. 😂😂😂
Mwisho nawatakia TP Mazembe ushindi hapo kesho
Leo Jumatano, Desemba 11, 2024, mapema katika kuendeleza hamasa za klabu ya Simba kuelekea mchezo dhidi ya CS Sfaxien ya nchini Tunisia, Jumapili Desemba 15, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, Ahmed Ally, akiwa katika maeneo ya Tandika, tawi la Kapu la Magori, alitoa dongo kwa Yanga...
Baada ya sakata la msemaji ya club ya Msimbazi, Ahmed Ally kutoa kauli zenye lengo ovu la kuichafua image na taasisi nzima ya Yanga, Msanii maarufu na mtangazaji, Baba Levo amewasihi viongozi wa Yanga kukaa na kumaliza tofauti yao na kumsamehe msemaji huyo, kwani bado ni kijana anayejifunza na...
Klabu ya Yanga imemtaka Meneja habari na mawasiliano wa Simba SC , Ahmed Ally kutoka hadharani na kuomba radhi kwa matanshi wanayodai yameichafua klabu yao (Yanga) mbali na hili wanadai fidia ya Tsh Bilioni 10
Kauli ya Ahmed iliyosababisha haya 👇
“Pacome amemaliza mkataba tukiona anafaa...
Semaji la CAF, Ahmed Ally amewataka mashabiki wa Simba kupiga kura kabla ya kwenda uwanjani kushuhudia mechi kali ya hatua ya makundi dhidi ya F.C. Bravos do Maquis hapo kesho tarehe 27 Novemba ambayo ndiyo siku ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Ahmed Ally
“Tunawaomba Pamba Jiji Fc katika mchezo wa kesho wacheze mpira kwenye uwezo wao, wasicheze mpira wa hovyo wenye lengo la kutuumizia wachezaji wetu, Bado hatujasahau kesi ya Moses Phiri aliharibiwa kabisa maisha yake”
“Nawaomba sana Pamba Jiji wasicheze kwa kukamia wakatuumizia...
"Kikosi kwa sasa kinaendelea na programu ya mazoezi kikijiandaa na mchezo dhidi ya Pamba. Leo usiku tutaondoka kwenda Mwanza na wachezaji wanne waliokuwa Taifa Stars na Camara aliyekuwa timu ya taifa ya Guinea wameshajiunga na kambi. Steven Mukwala atawasili Dar kesho alfajiri na kuunganisha...
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, ametoa pongezi kubwa kwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia pamoja na timu ya Taifa Stars kwa mafanikio makubwa ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON).
Pia, Soma: Simba SC yazindua rasmi uzi mpya wa michuano ya...
Yaani kama kuna Mtu ambaye namuona ni Nuksi ndani ya Simba SC yetu na Anatuponza mno Kimatokeo kutokana na Kauli zake na Uyanga wake aliojifichia kwa kusema kuwa Yeye tokea zamani ni mwana Simba SC basi ni huyu Msemaji wa Simba SC Ahmed Ali.
“Tarehe 19 tunaenda kucheza mechi na mkubwa wetu ambae ametuzidi mwaka mmoja wa kuzaliwa na anatuzidi makombe🏆🏅 nane 8 ya ligi, hii ni mechi ambayo inabeba taswira ya soka letu la tanzania.
Wajue Wapinzani wa Simba SC Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika
Katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, Simba SC inakutana na wapinzani wenye historia kubwa katika michuano hii. Wapinzani hao ni CS Sfaxien na CS Constantine.
1. CS Sfaxien: Huyu ni bingwa mara tatu wa Kombe la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.