ahmed ally

Ahmed Ally ni Meneja wa Habari na Mawasiliano (Spokesperson/Media & Communication Manager) wa Simba Sports Club.Anachojulikana kwa:
  • Ni msemaji rasmi wa Simba SC na huwa anazungumza na vyombo vya habari baada ya mechi, wakati wa matangazo na mikakati ya klabu.
  • Ana akaunti maarufu ya Instagram (@ahmedally_) yenye wafuasi wengi, ambapo yeye hutoa taarifa, maoni na majibu kuhusu Simba.
  • Yeye ni mmoja wa watu wanaozungumza kwa ukali na kujiamini wakati wa derbi dhidi ya Yanga na mechi kubwa.
  • Pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Medali Motors.
  1. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Siri imefichuka, hatimaye Admin wa CAF amejulikana kutokana na utoto wa Ahmed Ally

    Watu wa Simba kuweni makini na huyu mtoto Ahmed Ally atakuja kuwagharimu, tunza hii thread mtakuja kuthibitisha ninachowaambia Leo. Mwenye macho na aone ugomvi wa Barbara na Manara ni kuvujisha siri, ila Kwa huyu Ahmed Ally Kwa utoto wake msiruhusu ashiriki vikao vyenu nyeti mmekwisha...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally tafadhali kama huna Taarifa za Kutosha kuhusu Ujio wa Manzoki acha Kututamanisha nae Mitandaoni Kwako

    Kila ukihojiwa na Media Outlets mbalimbali kuhusu Ujio wa Mshambuliaji Cesar Lobi Manzoki unaruka Kimanga na Kukanusha Ujio wake, ila katika Social Media Platforms zako kila mara unafanya Teasing ( Unatutamanisha ) kuwa anakuja au utamtangaza muda Wowote. Ama ubaki na Kauli yako kuwa haji au...
  3. goroko77

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri shairi kuwa Ahmed Ally hawezi u-MC

    Ally ameboronga Sana leo kwa jinsi alivyokuwa anawatambulisha wachezaji wake japo alikuwa Ana utani ila hawezi kumfikia Manara kwa uwezo na ujuzi Kama mropokaji Manara alivyofanya katika sherehe ya utopolo Manara ni fundi haswaa Ally sauti ina kama inakwaruza kwaruza haikuwa POA na alikuwa...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimeamua Kukisanua: Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally 'anatukanwa' mno na CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez ila hana jinsi

    Kama kuna Mtu ambaye anajuta kwanini kaacha Kazi Azam Media na kaja kuwa Msemaji wa Simba SC basi atakuwa ni Msemaji wa sasa Ahmed Ally. Wengi wenu huwa mnamuona Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally yuko very normal ila ukweli ni kwamba ana Maumivu makubwa Moyoni hasa la Kutukanwa mara kwa mara na...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC na Msemaji Ahmed Ally kuweni na 'Adabu' na Sisi 'Mashabiki' wa Simba SC juu ya 'Usajili' wa 'Manzoki' sawa?

    Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally jana Asubuhi ukiwa Wasafi FM ulisema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa Mchana au Alasiri mtamtangaza rasmi Manzoki kuwa Mchezaji Wetu na haikuwa hivyo. Nilitegemea Wewe kama Mweledi ( Professional ) baada ya muda huo kupita basi Kiungwana ungetuomba Radhi ila...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally ungerahisisha tu kwa kusema ukweli kuwa sasa Mo Dewji ameishiwa Pesa na Klabu inaweweseka kimapato sasa

    “Klabu yetu ya Simba SC imeachana rasmi na dili la kumpata mshambuliaji wa kimataifa wa Niger Victorien Adebayor, na hii ni baada ya kushindwana kwenye upande wa dau analotaka yeye," Ahmed Ally, Afisa habari na mawasiliano wa Simba Sc. Chanzo: Dar Mpya Blog Mapema sana tu hapa hapa JamiiForums...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ukiona inafaa chukua huu Ushauri wangu wa bure Kwako

    1. Jikite katika Uhalisia wa Masuala na siyo Propaganda 2. Acha kutumia muda mwingi kutafuta Mipasho ya Kujibizana na Mwana Mipasho Mwenzako Haji Manara. 3. Jikite hasa katika Kuitangaza Simba SC Kimataifa na Kisayansi zaidi 4. Acha kutoka nje ya Uweledi wako na kuanza kuwa Mswahili Mswahili...
  8. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally alamba hundi kwa utendaji uliotukuka Simba Sc

    Mzee wa kipaza cha sumu ya panya,mende hongera sana
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kwani tukimpongeza Ahmed Ally tunapungukiwa nini?

    Yeye na timu yake kina Mwakitalima mnastahili pongezi. Kwanza umeunganisha matawi ya Simba na umeacha kujiona boss. Pia umewafanya wanazi wa Simba kina Mwakitalima, Mzee wa Pass milioni, Aggy na wengine rundo wajione unazi wao unatambuliwa na Club. Semaji la Robo Fainali soon litakuwa semaji la...
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ukubwa wa Manara dhidi ya Ahmed Ally waonekana bayana

    Mechi ya Simba dhidi ya Asec Mimosas Simba walipewa nafasi ya watu 35,000 kuingia uwanja wa Mkapa kuangalia mechi lakini waliingia mashabiki 20,0000 TU. Mechi Yao dhidi ya RS Berkane wamepewa tena idadi ya mashabiki 35000 kwenda uwanjani. Hii ya Sasa inamtesa Ahmed Ally msemaji wao...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Asanteni Ahmed Ally, Suleiman Matola na Barbara Gonzalez kwa kutuandaa mapema Kisaikolojia wana Simba SC juu ya Kipigo cha Keshokutwa Berkane

    Ikitokea Simba SC yangu ikashinda au hata tu kutoka Sare / Suluhu na RS Berkane Keshokutwa ( Jumamosi ) nitakuwa ni mwenye Furaha Kubwa kwani Lengo letu Kuu litakuwa limetimia hasa kwa Mechi za Ugenini ( Away ) Hata hivyo nisiwe Mnafiki au Muongo kwa wale Wabobezi wa Communication Psychology na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini nikimsikiliza Ahmed Ally wa Simba SC naelimika zaidi, ila nikiwasikiliza Haji Manara na Hassan Bumbuli wa Yanga SC nalewa?

    Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni Msemaji (Mzungumzaji) mzuri, ametulia, hana papara, anajua nini cha Kuongea na wakati gani, ana PR nzuri, Mtanashati kuanzia katika Mavazi, Akili na Mvuto hivyo Simba SC imempata Competent Club Spokesman / Spokesperson kikubwa imuamini, imtunze na imsikilize pia...
Back
Top Bottom