Ahmed Ally: Jumapili tukune KMC tukaagane wanasimba

Ahmed Ally: Jumapili tukune KMC tukaagane wanasimba

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,152
Afisa habari na mawasilino wa Simba Sc Ahmed Ally kupitia ukurasa wake wa Instagram amewaomba wanasimba kufika katika uwanja wa KMC kuaagana.

"Jumapili tukutane KMC tukaagane,tumekua na Msimu mzuri sana"

Ikumbukwe kuwa Klabu ya Simba Bado haijathibitisha kucheza mchezo wa tarehe 25 June dhidi ya Yanga,
Screenshot_20250620-204417.png
 
Sisi tuna taka point tatu tu, mzilete wenyewe uwanjani, au ziletwe na mabosi wenu mezani! Net result YANGA BINGWA!

Chagueni nyinyi ngoma mtakayocheza!
 
Ni mechi ya mwisho ya ushindi,hivyo ni kweli wanaagana na ushindi kabla ya kumalizia na kipigo june 25. Halafu huenda kesho ndiyo siku ya kumuaga Ahmed Ally pamoja na benchi la ufundi la simba kwani june 25 baada ya kipigo watatimuliwa na itakuwa siku ya aibu kwa simba kukabidhi yanga kuchukua kombe mbele yao.
kwa kheri Fadlu,kwa kheri Ahmed Ally
 
Yupo sahihi kwasababu ni mechi yao ya mwisho ya nyumbani............ kwasababu walisema hatuwezi kuwa mabingwa bila kumkaba Mpanzu,naona baada ya tarehe mpya kutangazwa wameingiwa na ubaridi mkali,zile kelele zote zimeisha, wajinga sana walidhani watapata points za mezani 😀
 
Afisa habari na mawasilino wa Simba Sc Ahmed Ally kupitia ukurasa wake wa Instagram amewaomba wanasimba kufika katika uwanja wa KMC kuaagana.

"Jumapili tukutane KMC tukaagane,tumekua na Msimu mzuri sana"

Ikumbukwe kuwa Klabu ya Simba Bado haijathibitisha kucheza mchezo wa tarehe 25 June dhidi ya Yanga,
View attachment 3377091
Mbona ameandika mambo rahisi mipango ambayo iko duniani kote timu zinapomaliza msimu mechi ya mwisho uwanja wa nyumbani inakuwa na hayo ya kumaliza msimu na kuzungumza machache. Kwa Mkapa ni uwanja wa nyumbani wa Yanga hawatakuwa na nafasi ya kutoa shukrani kwa mashabiki. Pale ni kufanikisha kuchukua ubingwa na sherehe za ubingwa. Na wasipochukua ubingwa watakuwa wamemalizana na mashabiki wao watasubiri msimu unaofuata
 
Afisa habari na mawasilino wa Simba Sc Ahmed Ally kupitia ukurasa wake wa Instagram amewaomba wanasimba kufika katika uwanja wa KMC kuaagana.

"Jumapili tukutane KMC tukaagane,tumekua na Msimu mzuri sana"

Ikumbukwe kuwa Klabu ya Simba Bado haijathibitisha kucheza mchezo wa tarehe 25 June dhidi ya Yanga,
View attachment 3377091
😍
 
Back
Top Bottom