afya

  1. JamiiForums Tanzania Je, jamii yetu inajua vya kutosha kuhusu afya ya akili?

    Je, jamii yetu inajua vya kutosha kuhusu afya ya akili? Katika kipindi hiki ambapo msongo wa mawazo umeongezeka, ni muhimu sana kupata maarifa sahihi. 🎓 Kozi hii kutoka ChuoSmart inaeleza kwa lugha rahisi: Dalili za matatizo ya afya ya akili Namna ya kujisaidia au kusaidia wengine Njia za...
  2. JamiiForums Tanzania Jenista Mhagam: Serikali imepanga kutumia Sh Bilioni 161. 3 za Mfuko wa pamoja wa Afya kuboresha na kuimarisha mifumo ya afya

    Serikali imeazimia kutumia Shilingi Bilioni 161. 3 za Mfuko wa pamoja wa Afya kwa ajili ya kuboresha na kuimarisha mifumo ya afya nchini ili kutoa huduma bora za afya ya msingi kwa wananchi sambamba na kupunguza vifo vya watoto vitokanavyo na uzazi na kuimarisha huduma za bima ya afya kwa wote...
  3. JamiiForums Tanzania CCM ikifa, tutazika au tutasafirisha?? Kila baada ya miaka 10 CCM hujihuisha kwa kupata dam mpya kwenye circulation ila miaka hii 10 ya sasa vipi?

    Desturi hii imetuokoa sana sana sana. Kila alipoingia mwamba mwingine aliingia na mfumo mpya uliotosha kukiponya Chama na kukiokoa na makando kando yaliyo tawala kwa myaka kumi ilokuwa inaisha. Sasaivi tupo na maza, ameshikilia kijiti toka alipoingia 2015, as cheo chake ndani ya chama...
  4. J

    JamiiForums Tanzania DIRA2050: Ifikapo 2050 huduma za afya zitapatikana kilometa sifuri toka kilometa tano za sasa | Hii itasaidia kuondoa vifo vya mama na mtoto

    == Kuelekea 2030 upatikanaji wa huduma za afya kuwa zero kilometa kutoka kilometa 5 ya sasa ambazo zimefikiwa chini ya Uongozi wa Rais Samia. Kufikia mwaka 2050 Dira ya maendeleo ya Taifa inatarajia kuwa na jamii yenye afya ambapo kila mtu anapata huduma za afya kwa usawa na kwa gharama nafuu...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya sekta ya afya katika mkoa wa Tanga

    1. Mkoa wa Tanga katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2025 umeongeza vituo vya kutolea huduma za Afya vya serikali kutoka 325 hadi 417 ikiwa ni ongezeko la vituo 92. 2. Zahanati zimeongezeka kutoka 287 hadi 361 sawa na ongezeko la zahanati 74. 3. Vituo vya Afya vimeongezeka kutoka 31 hadi 46...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Serikali Mkoa Kagera yaanzisha Operesheni maalum kukagua Afya na Usalama wa Wanafunzi shule za serikali na binafsi

    Serikali mkoani Kagera imeanza operesheni maalumu ya kukagua na kuchunguza shule za msingi na sekondari za serikali na binafsi ili kubaini walimu wakuu na wamiliki wa shule wanaokiuka kanuni za afya na usalama wa wanafunzi. Operesheni hiyo inalenga kubaini shule zenye dosari katika miundombinu...
  7. JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha watoto kupenda katuni, games na vyakula visivyo na afya

    WATOTO WA KISASA Watoto wa siku hizi hata bila kuelekezwa na mtu Wanakuwa na uchumi mkubwa wa kuangalia katuni Akipata simu hata kiswaswadu ukimuacha sekunde kadhaa utamkuta kalifukunyua game na anacheza. Kwenye vyakula wengi wanaopenda vyakula fekifeki, lakini vile vya afya hawapendi. Ice...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Namna bora ya kunenepesha, kukuza mifugo na kuifanya iwe na afya bora kwa gharama nafuu

    Mfugaji unatamani kuona mifugo yako ikiwa na afya njema, imara, yenye nguvu na yenye uzalishaji wa Hali ya juu Huku ukitumia gharama nafuu ya chakula ama ulishaji? mifugo plus tumekuletea PROMASS EXTRA PROMASS EXTRA ni protein asilia iliyo Bora zaidi inayo tokana na mazao ya wanyama hasa wa...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Kiza Mayeye: Huduma ya Afya Tanzania zinatolewa kwa matabaka

    Tanzania imebarikiwa utajiri wa kila kitu, lakini tunashangaa huduma ya afya ni mbovu, tumekuja hapa Tunduru kinamama wanalalamika wakienda kujifungua wanauziwa watoto, vifaa vya kujifungulia hakuna, wazee wanatozwa hela, lakini tunashangaa wenzetu wa Chama Cha Mapinduzi wanajisifia eti nchi...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Mpango wa diplomasia ya afya wazinduliwa Cairo

    Cairo. Mpango wa Diplomasia ya Afya kwa Wanafunzi wa Tiba umezinduliwa nchini Misri kwa udhamini wa Muungano wa Kimataifa wa Wanafunzi wa Tiba wa nchi hiyo na tawi lake katika Chuo Kikuu cha MTI. Mpango huo unaolenga kuwawezesha madaktari chipukizi na wanafunzi wa tiba kutoka Misri na wa Sudan...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Janeth Rithe: Msitegemee kupata huduma bora za afya

    Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa ACT Wazalendo Janeth Rithe, amewaambia wakazi wa Jimbo la Tunduru Kusini Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, kuwa wasitegemee kupata huduma bora za afya kwakuwa Chama Cha Mapinduzi hakijali matatizo ya wananchi hivyo dawa pekee ya kuboresha huduma zote za kijamii...
  12. JamiiForums Tanzania Nimewanyima pesa nyingi Madaktari. Wanisamehe bure tu!

    Sijui kama watanielewa, nahisi watachukia. Ila kama posho zao zimeongezwa, labda watacheka tu. Lakini ukweli ndio huu, na nimeamua kuusema wazi hapa JF -where we dare to talk openly! Kila nikikumbuka niliyofanya, najua kabisa madaktari wana kila sababu ya kunikazia macho. Lakini kabla wewe...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Wengi tumeharibu maisha yetu kwenye rika la miaka 20 - 35, kijana jitambue mapema lasivyo utajikwaa tulipoangukia

    Afya Katika rika la miaka 20 hadi 35, wengi hujisahau kwa sababu mwili bado una nguvu, lakini hapa ndipo msingi wa afya ya baadaye hujengwa. Kula hovyo, kukosa mazoezi, usingizi mbovu, matumizi ya pombe, sigara, au dawa za kulevya huanza kuharibu mwili kimyakimya. Magonjwa kama kisukari...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mafuta halisi ya alizeti kuimarisha afya yako

    Habari za wakati huu wana JF tumeleta product mpya na ya asili kwa 100% mafuta halisi ya alizeti kutoka dodoma kwa lita 5 utapata kwa 30k kwa lita 20 utapata kwa 115k usipange kukosa tunauza jumla na reja reja 0762441818 Tupo Dar es Salaam na Dodoma delivery tunafanya karibu sana
  15. JamiiForums Tanzania Apk ya kujua afya ya battery ya simu yako (android phones)

    HABARI YAKO. Najua utakua umewahi pitia changamoto kwenye simu yako (Android phones) na kujiuliza sana kua "Mbona simu yangu inawahi kuisha chaji haraka sana?" bila kujua shida ni nini. Kwa upande wa iOS devices ninamaanisha iPhones hua wanakuonesha hali ya afya ya battery yako kwa mfumo wa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuhusu kudhulumiwa pesa za kujikimu halmashauri ya wilaya ya Muleba ajira mpya (afya) 2024

    Habari!. Fikisha kwa jamii. Halmashauri ya wilaya ya Muleba imeamua kututapeli pesa zetu za kujikimu,tukiuliza tunapewa majibu ya kutoridhisha. Kwa Mujibu wa maelekezo ya Tamisemi ya Muongozo wa ulipaji wa ajira mpya mwaka 2024 ilibidi uwe hivi:- Degree 170k *7 Diploma 150k*7 Certificate 100k*7...
  17. JamiiForums Tanzania Afya ya umma: Serikali iangalie ubora wa mablankenti yanayouzwa nchini. Mengi yanatengenezwa kwa material yanayoleta allergy(mzio)

    Kuna mablankenti ukilalia unajikuta unakohoa sana. Usipolilalia unakuwa sawa. Ni kama yana materials mabaya yenye kuleta allergy. Hatujui madhara mengine yanayoweza kuleta kwenye mfumo wa upumuaji wa binadamu. Serikali iangalie ubora wa mablanketi yanayoingia nchini na kupitia materials...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama achaguliwa Makamu Mwenyekiti Kamati Tendaji ya Masuala ya Afya Ukanda Wa Mashariki Mwa Afrika

    Waziri wa Afya wa Tanzania, Jenista Mhagama amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Mawaziri wa Afya na Masuala ya Afya ya Jamii Kanda ya Mashariki Afrika (The Regional Streering Committee- ResCo). Mawaziri wa Afya wa kutoka nchi 14 wanachama wa Kanda ya Mashariki mwa Afrika...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wauza Chipsi wa Stendi ya Mabasi Babati zingatieni usafi wa huduma yenu ya chakula. Mnaweka hatarini afya za wateja wenu (abiria)

    Nilifika Babati kusubiri basi kwa ajili ya kuelekea mkoa fulani, wakati nipo pale nilihisi njaa, niliamua kutafuta sehemu mojawapo wanaopika pale hususan wanaokaanga chipsi ili nile. Nilipokelewa vizuri na kuoneshwa sehemu ya kukaa, niliagiza chipsi, nikaletewa lakini zilikuwa za baridi sana...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Tafuta wako mtulie mlinde afya, watu wengi wana magonjwa ya ngono

    Siku ya kwanza na ya pili condom huwa inazingatiwa sana Siku ya tatu na kuendelea mpira hauna thamani tena, mnaaminiana sana, Baada ya mwezi watu wanaanza kuchokana, wanahama kwa wapya, na huko cycle inajirudia,
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…