afya

  1. JamiiForums Tanzania Utafiti – ZANZIBAR: Asilimia 30 ya Wajawazito wana tatizo la Afya ya Akili

    Wizara ya Afya Zanzibar kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO) imefanya utafiti wa Afya ya Akili kwa Wanawake Wajawazito uliofanywa na kubaini kuwa asilimia 30 ya Wajawazito wana tatizo la Afya ya Akili, huku asilimia 26 ya waliokwisha jifungua pia wakikutwa na changamoto hiyo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu wa idara za afya na vyombo vya ulinzi na usalama

    Kuna nafasi za ajira jeshi la Magereza zimetoka na nna mdogo wa kwa upande wa mama wa kambo anataka kuomba,lakini yeye ana changamoto ya kuishi na Virusi vya ukimwi. Je kwa mwenye uzoefu anijuze ; inawezakana akapata nafasi endapo vigezo vyote anavyo isipokua hapo kwenye suala la afya ambalo...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Avutiwa na CRDB Bank Marathon Iliyokusanya Bilioni 2 kwa Afya na Jamii

    Dar es Salaam, 17 Agosti 2025 - Maelfu ya wakimbiaji na wapenda michezo kutoka ndani na nje ya Tanzania wamejitokeza leo katika viwanja vya The Green, Oysterbay, kushiriki CRDB Bank Marathon 2025, mbio za hisani ambazo mwaka huu zimekusanya Shilingi Bilioni 2 ili kusaidia matibabu ya watoto...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri w Afya anaenda zindua kituo Cha Afya kilichokataliwa na Mwenge baada ya KUKOSA uhusinaonwa fedha iliyojenga na jengo lenyewe Haydom

    Waziri tunjua mnatafta kura ila sio hivyo HACHENI kuchezea fedha za UMMA tafadhali hicho kituo Mwenge ulikikataa wewe unakizindua baada ya takukuru na DSO kutoa ripoti ya ubadhilifu uliodanyika?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya kicheko kwa Afya yako ya Akili na Mwili

    Nguvu ya Kicheko kwa Afya Yako Je, unajua kwamba kicheko siyo tu ishara ya kufurahia jambo? Utafiti unaonyesha kuwa kucheka husaidia kupunguza msongo wa mawazo, kuimarisha kinga ya mwili na kuboresha mzunguko wa damu, jambo linalosaidia afya ya moyo. Dakika chache za kicheko pia hupunguza...
  6. JamiiForums Tanzania Mbeya: Wizara ya Nishati yasisitiza matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ili kulinda afya na mazingira

    Serikali kupitia Wizara ya Nishati imetoa wito kwa wananchi kuachana na matumizi ya nishati isiyo safi ya kupikia na kutumia nishati safi ya kupikia kama vile umeme na gesi ikiwa ni njia pia ya kulinda afya, mazingira na kuimarisha uchumi wa kaya. Wito huo umetolewa leo na Mwakilishi wa...
  7. JamiiForums Tanzania Dawa Asili & Ushauri wa Afya na Dr Luu

    Habari za wakati huu. Nimeanzisha thread hii ili kutoa elimu ya mtindo wa maisha, kuelezea matibabu ya tiba lishe asili, mitishamba na huduma binafsi unayoweza kupata toka kwangu. Nitakua na mfululizo wa mada mbalimbali zinazohusu afya na mtindo wa maisha. Ndani ya makala hii tutapata faida...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Picha: Ramani ya Mkoa wa Simiyu kiafya

    Akiongea na wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Mara, Mhe. Anamringi Macha, amesema kuwa katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2025, Mkoa wa Simiyu umepokea jumla ya Shilingi Bilioni 69.75 kwa sekta ya afya, ikiwemo Shilingi Bilioni 26.80 kwa miradi ya afya, Shilingi Bilioni 10.96 kwa vifaa tiba na...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi wakila Ubwabwa Same 'Uzalendo unaanza pale unapojali Afya ya mtu'

    Vijana wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro wameeleza kuwa wapo radhi kutoa kadi zao za kupiga kura kwa mgombea wao ili wawe na uhalali wa kujipigia kura wenyewe kutokana na kuridhishwa na sera yao ya utoaji wa ubwabwa. Wakizungumza hivi karibuni mara baada...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi Gaza wizara iko moja Tu ya afya?

    Kila news nayopata kutoka Gaza lazima iwe imetolewa na wizara hiyo ya afya sijawahi kusikia wizara ya mambo ya ndani wala mambo ya nje ningependa kujua muundo wa serikali yao ukoje.kuna wizara nyingine kweli?
  11. JamiiForums Tanzania Mzee Cheyo ana familia kweli? na kama ipo wajitafakari kwa hali hii aliyonayo wanamruhusu vipi kufanya siasa badala kupambania Afya yake

    Naomba Familia ya Mzee Cheyo imzuie Ndugu yao kuangaika na mambo ya siasa ambayo hayana tija kwake. Namshauri apambanie Afya yake kwanza. Itakuwa aibu mzee wao kupata madhara na kumsababishia matatizo zaidi ya kiafya. https://www.facebook.com/share/v/1Akh38Vb5f/
  12. JamiiForums Tanzania Heche ametweet kuwa hali ya usalama wa Lissu huko Ukonga, Serikali itawajibika. Je, kapatwa na nini?

    Ameandika kwenye ukurasa wake wa mtandao wa X, zamani Twitter
  13. M

    JamiiForums Tanzania Je dawa niliyopewq haina madhara?

    Pole kwa majukumu wana jamii. Nina changamoto ya kiafya, mwaka 2023 nilipa bahati ya kupata kazi sehemu kwa muda wa mwaka mmoja na zaidi, wakati wa kipindi hicho sikuweza kutoka nje ya eneo langu kwa muda wote hivyo kuwa na mwanamke ikaniwia ngumu. Baada ya kumaliza mkataba na kurudi nyumbani...
  14. M

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka zishughulikie uchafu Soko la Mfaranyaki Songea Mjini ni hatari kwa afya za Watu

    Sisi Wafanyabiashara wa Soko la Mfaranyaki lililopo Mtaa wa Mbalika, Kata ya Mfaranyaki tuna changamoto ya mazingira kwenye eneo letu la kazi hilo, uchafu umekuwa ukitawala katika mitaro iliyojaa maji machafu. Hali hiyo imekuwa ya muda mrefu kutokana na kupasuka kwa mabomba ya maji taka, na...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Exim Bank Tanzania, JKCI Zashirikiana Kuimarisha Afya ya Wafanyakazi

    Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Exim Tanzania, Stanley Kafu (kushoto), Afisa Masoko Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Irene Mbonde, na Mkurugenzi wa hospitali ya JKCI-Dar Group, Dk. Tulizo Shem wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa zoezi la kufanya vipimo vya moyo na...
  16. JamiiForums Tanzania KWELI Ulaji wa maboga unaweza kusaidia kuimarisha afya ya macho

    Wakuu wa JamiiCheck naomba msaada wa hili, kuna rafiki angu mmoja ameniambia kula maboga kunasaidia kuimarisha afya ya macho. Je, ni kweli?
  17. T

    JamiiForums Tanzania Je dirisha la pili la maombi ya vyuo kwa diploma limefunguliwa kwa wanaoomba kozi za afya tu?

    Nina mdogo wangu najaribu kumuombea chuo kwa ngazi ya diploma kwakuwa alichelewa kuomba kwa awamu ya kwanza. Yeye anataka kusoma kizi za Engineering au ICT. Changamoto nayo kutana nayo kwenye mfumo kipengele cha kuchagua kozi kinaniletea kozi za afya tu kama hivi.
  18. G

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya tabia zinazoimarisha afya ya akili

    Some random menu items. Especially important. For individuals. Aspiring a balance. Healthy longevity. Keeping the sanity Intentional cold shower in the morning A glass of hot water before sunrise Eating only once per day A mindful 1 hour walk every evening 1 day per week without technology...
  19. L

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Timu ya matibabu ya China yapeleka huduma za afya bila malipo katika wilaya ya mpakani ya Uganda

    Wakati jua lilipochomoza kwenye eneo la Bonde la Ufa katika wilaya ya mbali ya Magharibi ya Kikuube, Jennifer Nyangoma mwenye umri wa miaka 45 alienda kwenye kambi ya matibabu ya bure iliyokuwa ikisubiriwa na watu wengi. Kwa wiki kadhaa, wanakijiji katika eneo hili linalopakana na mashariki mwa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Mafunzo yaongeza ujuzi wa tiba ya jadi ya Kichina kwa wafanyakazi wa afya nchini Niger

    China na Afrika zimekuwa na ushirikiano na uhusiano uliodumu kwa miongo mingi, huku pande hizo mbili zikiendeleza urafiki wa jadi. China, ambayo ni nchi kubwa inayoendelea, imekuwa mstari wa mbele kuzisaidia nchi nyingine zinazoendelea zikiwemo za Afrika kujipatia maendeleo kwa njia na mifumo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…