afya ya akili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Baadhi ya tabia zinazoimarisha afya ya akili

    Some random menu items. Especially important. For individuals. Aspiring a balance. Healthy longevity. Keeping the sanity Intentional cold shower in the morning A glass of hot water before sunrise Eating only once per day A mindful 1 hour walk every evening 1 day per week without technology...
  2. Je, jamii yetu inajua vya kutosha kuhusu afya ya akili?

    Je, jamii yetu inajua vya kutosha kuhusu afya ya akili? Katika kipindi hiki ambapo msongo wa mawazo umeongezeka, ni muhimu sana kupata maarifa sahihi. 🎓 Kozi hii kutoka ChuoSmart inaeleza kwa lugha rahisi: Dalili za matatizo ya afya ya akili Namna ya kujisaidia au kusaidia wengine Njia za...
  3. 🧠 Afya ya Akili ni Muhimu Kama Afya ya Mwili

    🧠 Afya ya Akili ni Muhimu Kama Afya ya Mwili Unajua nini kuhusu msongo wa mawazo, huzuni sugu, au kukosa usingizi wa kudumu? Watu wengi wanapitia changamoto hizi kimya kimya bila msaada. Elimu ni kinga. Toa muda wako kujifunza – kwa ajili yako na kwa ajili ya wengine.
  4. Afya Ya Akili sasa inatumika kufichaUshirikina, uovu, ubakaji, mauaji na unyofoaji wa viungo vya binadamu kishirikina

    Hili sasa lifike Mwisho. Na Lazima tukumbuke kwamba tuko mwaka gani. Sitaki amini eti, AFYA YA AKILI kwa matukio haya. Hapana Dkt. Gwajima D njoo utuambie shida ni nini. Mauaji ya hovyo yamezidi. Ahsante.
  5. Rubani msaidizi wa air india alikuwaa na shida ya afya ya akili miaka minne iliyopita...rubani mkuu alifiwa na mamayake wiki 3 zilizopita aisee

    NILIKUWA NASOMA TAARIFA MOJA YA AJALI YA AIR INDIA KTK MAMBO YALIYOSABABISHA AIR INDIA KUDONDOKA KUNA KIFAA CHA MAMBO YA MAFUTA WALIKIWEKA OFF BADALA YA ON KABLA YA TAKEOFF RUBANI MSAIDIZI KUJA KUSHTUKA AKAANZA MAJIBISHANO NA RUBANI MKUU NANI KAWEKA OFF...MANENO KIBAO KUWEKA ON WOII NGOMA...
  6. Umewahi kujisikia mpweke katikati ya watu wengi? Kuhisi maumivu ya ndani na hakuna anayeona? Hauko peke yako, Tuzungumze Afya ya akili

    🧠 Elimu ya Afya Leo: AFYA YA AKILI (Mental Health) 📲 IG: @hillary_officialtz ❓ AFYA YA AKILI NI NINI HASA? Fikiria afya ya akili kama utulivu wa nafsi. Ni uwezo wako wa ndani wa kukabiliana na changamoto za maisha, kudhibiti hisia zako, kujenga mahusiano yenye afya, na kufanya maamuzi kwa...
  7. W

    Wengi tumeharibu maisha yetu kwenye rika la miaka 20 - 35, kijana jitambue mapema lasivyo utajikwaa tulipoangukia

    Afya Katika rika la miaka 20 hadi 35, wengi hujisahau kwa sababu mwili bado una nguvu, lakini hapa ndipo msingi wa afya ya baadaye hujengwa. Kula hovyo, kukosa mazoezi, usingizi mbovu, matumizi ya pombe, sigara, au dawa za kulevya huanza kuharibu mwili kimyakimya. Magonjwa kama kisukari...
  8. Kwa Nini Baadhi ya Walevi Hufanikiwa na Wengine Huangamia?: Pombe Ile Ile, Hatima Tofauti

    Makala hii inachambua uhalisia mgumu wa ulevi, ikionyesha kwamba pombe haifanyi kazi sawa kwa kila mtu. Watu wawili wanaweza kunywa pombe ile ile, lakini mmoja aendelee kustawi huku mwingine akiangamia. 1. Ulevi si Lazima Uwe na Kelele Wapo walevi wanaoonekana ‘safi’ kwa nje – wana kazi...
  9. Mashoga Wanadai Haki, Lakini Je, Tunaelewa Tunachoshinikizwa Kukubali?

    “Mashoga Wanasema Wanataka Haki Zao, Lakini Kabla Hatujaanza Kujadili Hizo Haki, Tuwajadili Wao Kama Jumuiya” Nianze kwa kusema jambo moja, kwa sauti ya juu na kwa tahadhari ya tahadhari: Dunia inacheka huku inaungua. Na sisi, Waafrika, Watanzania, watu wa tabaka la wanaojiona bado tuna...
  10. ULEVI: Kwa nini wengine wanabaki juu (Wanajimudu) wakati wengine wanaporomoka?: Kwa jicho la Huruma tutafakari maisha ya ndugu zetu hawa

    Katika maisha ya kila siku, utawakuta watu wawili – wote ni walevi. Mmoja anakunywa kila siku, lakini bado anavaa vizuri, ana kazi nzuri, ana familia yenye furaha, na hana deni la mtu yeyote. Mwingine? Anakunywa vilevile, lakini maisha yake ni hadithi ya huzuni – ameachwa na familia, hana kazi...
  11. Imani ya dini vs. Afya ya akili

    "Kuna mstari mwembamba sana kati ya imani ya dini na changamoto ya afya ya akili, wakati mwingine mtu anaweza kuonekana kuwa na imani timilifu, lakini ndani yake anapambana kimya kimya na msongo wa mawazo au huzuni . Ni muhimu kujichunguza au kuyatathimini mahubiri kabla ya kufuata mkumbo ." —...
  12. Usiku wa leo kuna members watakuwa bize kugombania kuanzisha uzi wa Berkane Vs Simba, hii nayo ni tatizo la afya ya akili

    Kuna members watakuwa wako bize kugombania kuanzisha uzi wa fainal kati ya Berkane vs Simba Hili nalo ni tatizo la afya ya akili, kwanini msisubirie lisaa limoja kabla ya mechi ndio mfungue uzi? Maana hata uchambuzi wa mechi mara nyingi huanza lisaa limoja kabla ya mechi. Fun enough...
  13. Nina mashaka na afya ya akili ya Mrisho Gambo

    Nimeshangaa Mbunge wa Arusha kuzindua daraja lenye mabanzi mawili Yaani ameenda ni timu ya viongozi kutoka CCM kufanya mzaha na upumbavu kama huu Hilo daraja kulitengeza haizidi elfu 20 za Kitanzania Yaani watu mnajaza mafuta kwenye v8 na Kaunda suti zenu mnaenda kuzindua daraja la mabanzi mawili
  14. Afya ya akili

    Afya ya Akili Afya ya akili ni kitu cha thamani sana, lakini mara nyingi hupuuzwa. Tunapovunjika mguu, watu hukimbia kutusaidia. Lakini tukivunjika moyo, tukichoka kiakili, au tukipoteza mwelekeo wa maisha, wengi huona kama ni udhaifu au sababu ya kubezwa. Kila siku, watu wanatembea mitaani...
  15. Video: Fahamu kuhusu namna Unywaji wa Pombe kupitiliza unavyoweza kuathiri Afya ya Akili

    Dkt. Shomari Masenga ambaye ni Daktari wa Magonjwa ya Afya ya Akili, anatupitisha kwenye dondoo muhimu za kufahamu kuhusu namna Unywaji wa Pombe kupitiliza unavyoweza kuathiri Afya ya Akili kwa kutueleza; 🎤Nini Fasili ya ya Unywaji Pombe kupitiliza 🎤Pombe imegawanyika katika makundi yapi 🎤Ipi...
  16. Dkt Godwin Mollel: NHIF imeanza kugharamia gharama za Huduma ya Afya ya Akili

    Serikali imesema huduma za afya ya akili zimeshajumuishwa kwenye vifurushi vya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), na hivyo wananchi wanaonufaika na bima wanaweza kupata matibabu hayo kwa mujibu wa mwongozo wa matibabu uliopo. Akijibu swali la Mbunge wa Iringa Mjini, Mhe. Jesca...
  17. Baadhi ya Watanzania waishio nchi za Ulaya na Amerika Wana matatizo ya Afya ya Akili

    Wakati ninapokuwa Sina kazi ya kufanya nikiwa nimepumzika,mara nyingi huwa napita pita mitandaoni kutazama hiki na kile ilimradi tu kuipumzisha akili yangu! Nimekuwa nikiona akaunti kadhaa za wabongo waishio nchi za Norway,Finland & Sweden na wachache Canada wamekuwa wakitoa maneno ya dhihaka...
  18. K

    Mbeya: Daud Mwenye changamoto ya Afya ya Akili auawa

    Wakazi Wa Mtaaa Lumbila Kata ya lwambi jijini wamesherekea vibaya Sikukuu ya Pasaka baada ya Kumka Asubuhi na kukuta kijana Daud Adamson Mwaitebele(23) aliyekuwa na tatizo la afya ya akili na changamoto ya kusikia ameuawa na watu wasiojulikana na mwili wake kukutwa shamba la mahindi mita chache...
  19. Huu ndio ukweli usio semwa kuhusu uvutaji wa bangi na tatizo la afya ya akili

    Bangi haimfanyi mtu kuwa na tatizo la afya ya akili isipokuwa bangi Ina mreveal mtu ambae alikuwa na tatizo la akili lakini jamii haijui kama analo. Meaning what? Kama una vuta bangi na haupatwi na tatizo la akili tafsiri yake ni kwamba wewe ni mzima kichwani kwa viwango vya juu. Una afya ya...
  20. F

    OR-Utumishi itatuuguza afya ya akili wasubiri matokeo ya ajira

    OR- UTUMISHI, kuna uwezekano mkubwa sana wa vijana wengi kuugua afya ya akili hasa wale wanaosubiri matokeo ya ajira na hii inasababishwa na ukimya wa muda mrefu unaofanywa na OR- UTUMISHI kwa kukaa kimya bila kutoa mrejesho kwa wasailiwa hasa kada ya ualimu mfano mzuri. AJIRA ZILIKUA 14,000+...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…