Familia moja huko Tongaren Constituency, Bungoma County iko kwa maombolezo baada ya kijana wa miaka 24 kudaiwa kuuawa na ndugu yake wa miaka 21 following a dispute over gumboots.
The deceased, Joshua Wafula Furaha, alichomwa kisu mara kadhaa kichwani, shingoni na kifuani, akapoteza damu nyingi...
Mwaka 1973, utafiti mkubwa ulionyesha kuwa madaktari wa magonjwa ya akili hawakuweza kutofautisha kwa uhakika kati ya mwenye akili timamu na mwenye tatizo la afya ya akili, jambo ambalo lililosababisha mageuzi makubwa katika huduma za afya ya akili.
Mwaka 1973, mwanasaikolojia David Rosenhan...
Ni kipi kilichowahi kuridhisha nafsi ya mwanadamu?
Ni kipi kilichowahi ponya moyo wa mwanadamu for good?
HAKUNA,
Ila ni kipi kinakupa faraja ya kuendelea ku-survive, ni pesa.
Manung'uniko na msongo ni sehemu ya maisha ila kwa mwenye pesa inakuja bila mwendelezo katika episodes tofauti...
Huwa simuelewi mwigulu. Nikimuelewa huwa sijui kama anajielewa au kuelewa asemacho.
Sijui kama wenzangu huwa mnamuelewa.
Anaongea kana kwamba mdomo na ubongo havina mawasiliano.
Wakati mwingine inakuwa vigumu kumtofautisha na hamnazoo aongeapo.
Anaongea sana kuliko bosi wake.
Anaongea kama...
Kama Kiongozi ni Mgonjwa wa Afya ya Akili, Nini kinapaswa kufanyika? Madaktari wa Afya ya akili na wataalam wa saikolojia mtusaidie! Nini kinapaswa kufanyika ili kuepusha madhara zaidi? Kama kiongozi ni psychopath, sadist, nini kinapaswa kufanyika? Mtu akishakuwa Psychopath/sadist anapenda...
“ Kuna watu wanajiona bila wao baadhi ya Mambo ndani ya Simba hayawezi kwenda nadhani wanatatizo la afya ya akili . Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba Sc Crescentius Mgori, akizungumza kupitia Crown Fm Novemba 27,2025.
Inasikitisha sana kuona watu waliosoma elimu ya juu ni kama wamechanganyikiwa na kuwa na msongo wa mawazo hali inayowafanya kuwa na hasira muda wote. Kuna tatizo gani huko Marekani?
Kuna ndugu yetu alienda kama mwanamichezo mwaka 1990 ila kila akijaga bongo likizo mwonekano wake ni kama kibaka...
Afya ya Akili inahusu hali ya mtu kiakili na kihisia, ikiwa ni pamoja na uwezo wake wa kufikiri, kujieleza, kudhibiti hisia, na kujihusisha na watu wengine katika njia za afya. Ni hali ambapo mtu ana uwezo wa kukabiliana na changamoto za kila siku, kutatua matatizo, na kufanya maamuzi ya busara...
Mfano mdogo ni hawa watu humu ambao kila kukicha wanaunga mkono serikali hii yenye makandokando, Serikali hii waiungayo mkono imeifungia JF, Lakini wao wanatumia VPN kuendelea kubangaiza humu....
Sasa unajiuliza huyu mtu gani ambae anashindwa kuitii hata serikali anayoiunga mkono!!? Mtandao...
Ikiwa leo ni Siku ya Afya ya Akili Duniani, Msaikolojia Tiba wa Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe, Arafa Ali Arajiga, amesema ugumu wa maisha ni miongoni mwa sababu kuu zinazochangia ongezeko la changamoto za afya ya akili, hususan kwa watu wenye umri wa kati ya miaka 20 hadi 50...
ANDREW NYERERE NI MGONJWA WA AFYA YA AKILI , ASAIDIWE MAOMBI.
Familia ya mwalimu Nyerere ilipata bahati mbaya sana na haikuwa bahati kwa huyu mtoto wake Andrew Nyerere ambaye ni mtoto mkubwa wa Baba wa Taifa ana matatizo ya akili na wendawazimu ambao kwa kweli anatakiwa apewe matibabu na...
Jeshi la Polisi mkoani Iringa limemfutia kesi ya kujiteka na kutoa taarifa ya uwongo mtandaoni iliyokuwa ikimkabili Padre Jodan Kibiki wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyololo, Jimbo la Mafinga baada ya uchunguzi wa kitabibu kugundua Padre huyo ana changamoto ya afya ya akili.
Akitoa taarifa hiyo...
Katika saikolojia, kauli ya “kila mtu ana kichaa chake”
wewe Fanya observation utaona
Kila mtu ana tabia, fikra, au hisia zisizo za kawaida au tofauti na wengine, hata kama si ugonjwa wa akili.
Inaweza kumaanisha pia kuwa hakuna mtu mkamilifu kiakili
kila mtu ana mapambano yake ya ndani...
afyayaakiliakili
binadamu
ccm
chadema
characters
elimu
facts
jamii forums
jitambue
marco seth
mental
mijadala
mind
new posts
no reform no election
psychology
samiah
tabia
tanzania
trending
ufahamu
ukichaa
Huenda wengi wenye mawazo au mtazamo wa kutoshiriki uchaguzi au kutokupiga kura uchaguzi mkuu wa october2025, wanapitia changamoto hiyo mtambuka ya afya ya akili kwasasa, na kujikuta wakiwa na msukumo au shinikizo hasi lisilo na faida kwao wenyewe, familia zao na taifa kwa ujumla.
Ugumu wa...
Wizara ya Afya Zanzibar kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO) imefanya utafiti wa Afya ya Akili kwa Wanawake Wajawazito uliofanywa na kubaini kuwa asilimia 30 ya Wajawazito wana tatizo la Afya ya Akili, huku asilimia 26 ya waliokwisha jifungua pia wakikutwa na changamoto hiyo...
Asilimia kubwa wanaokudhihaki ni wakina dada ambao kimsingi wanakutamani sana kwa mafanikio yako.
Kitendo cha Mke wako kujitokeza katika kukuunga mkono kinaibua hasira na chuki yao dhidi ya mke wako na wanamuona kama vile hakustahiki kuwa nawe.
Trust me Trend hii ya kukunanga imemlenga mama...
Some random menu items. Especially important. For individuals. Aspiring a balance. Healthy longevity. Keeping the sanity
Intentional cold shower in the morning
A glass of hot water before sunrise
Eating only once per day
A mindful 1 hour walk every evening
1 day per week without technology...
Je, jamii yetu inajua vya kutosha kuhusu afya ya akili?
Katika kipindi hiki ambapo msongo wa mawazo umeongezeka, ni muhimu sana kupata maarifa sahihi.
🎓 Kozi hii kutoka ChuoSmart inaeleza kwa lugha rahisi:
Dalili za matatizo ya afya ya akili
Namna ya kujisaidia au kusaidia wengine
Njia za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.