afrika

  1. JamiiForums Tanzania Mapambano dhidi ya Rushwa Afrika: Fedha zinazolenga kukabiliana na athari za COVID-19 zinawanufaisha Wananchi?

    Julai 11 ilipitishwa na Umoja wa Afrika (AU) kuwa Siku ya Mapambano dhidi ya Rushwa Barani humo. Kwa mwaka 2022, Maadhimisho yanafanyika Zanzibar leo Julai 12 yakiwa na Kaulimbiu "Mikakati na Mifumo ya Wazi ya Usimamizi ya Fedha za UVIKO-19" Tangu kuanza kwa janga la COVID19 kumekuwa na taarifa...
  2. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Watu wenye silaha wafyatua risasi baa, 14 wauawa

    Watu wenye silaha wameshambulia na kuua watu 14 mapema leo, ikielezwa 12 walifariki papo hapo na wawili walipoteza maisha baada ya kufikishwa Hospitalini kwa matibabu. Vilevile, watu wengine 10 wamejeruhiwa Kamishna wa Polisi Gauteng, Elias Mawela amethibitisha kutokea tukio hilo akisema...
  3. JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika wazindua Pasi ya Kielektroniki ya Chanjo ya Covid-19

    Umoja wa Africa umezindua pasi ya kielektroniki ya chanjo ya #COVID19 , itakayoonesha uthibitisho wa mhusika kupatiwa aina fulani ya Chanjo, ambayo inanuiwa kuwezesha usafiri rahisi ndani na nje ya Afrika. Inaelezwa kuwa pasi hiyo itakuwa katika muundo wa kidijitali, ambapo “QR Code” itaskaniwa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Afrika hakika inakaribisha ahadi ya G7 ya kuchangisha dola bilioni 600 katika miundombinu – iwapo itatimizwa

    Kundi la nchi saba tajiri zaidi duniani G7 hivi karibuni lilitangaza mpango wa kuchangisha dola za kimarekani bilioni 600 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu katika nchi zinazoendelea, ikiwa ni jaribio la kushindana na pendekezo la China la "Ukanda Mmoja, Njia Moja". Mpango mkubwa wa miundombinu...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Afrika waipa somo Marekani

    Inawezekana kuwa wengi wanakumbuka kuwa Oktoba mwaka jana, vyombo vya habari vya Zimbabwe vilifichua kwamba ubalozi wa Marekani nchini humo uliwalipa waandishi wa habari wa nchi hiyo kuchapisha ripoti za kuchafua sura ya China kwa bei ya dola za Marekani 1,000 kwa kila makala, jambo ambalo...
  6. JamiiForums Tanzania Ujerumani kurejesha kazi za sanaa na vito vilivoporwa Barani Afrika enzi za Ukoloni wao

    Ujerumani imesema ipo tayari kurejesha vitu vilivyoporwa kutoka katika bara la Afrika wakati wa ukoloni zikiwemo kazi za sanaa kutoka Tanzania wakati wa Vita vya Maji Maji na migogoro mingine wakati wa utawala wake wa kikoloni wa mwanzoni mwa karne ya 20. Taasisi ya Prussian Cultural Heritage...
  7. JamiiForums Tanzania Aliyenusurika kifo katika Klabu Afrika Kusini asema walikosa hewa kwa muda mrefu

    Binti mwenye umri wa miaka 17, mwanafunzi wa darasa la 12 katika shule ya Sekondari eneo hilo (jina limehifadhiwa) amesema kwamba walihudhuria sherehe katika klabu ya East London kwa sababu waliarifiwa kwamba iliandaliwa waigizaji mashuhuri Anasema kwamba watu walipozidi kuongezeka, baadhi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Misitu inazidi kupungua Afrika, kuna hatari miaka 100 ijayo wajukuu zetu wakaishi katika jangwa

    https://images.app.goo.gl/KTXFpN7sMk73dyxT8 Eneo la misitu mikubwa iliyobaki ni misitu ya Congo. Afrika tunatumia miti kwa kiwango kikubwa kuanzia kujengea, kupikia na hata dawa mitishamba. Wenzetu ambao hawatumii miti kama sisi lakini wanafahamu umuhimu wa kupanda miti. Sehemu yenye miti...
  9. JamiiForums Tanzania EU yaizuia Afrika kununua mbolea Urusi, lakini pia wamezuiwa kutengeneza mbolea

    Vita vya Urusi na Ukraine vimeleta matokeo mabaya kwa nchi za Afrika ambazo zina-import bidhaa kutoka nchi hizo. Na sasa baadhi ya nchi tayari zimeshakumbwa na njaa huku kilimo kikiwa kinachechemea. Baraza la Umoja wa Ulaya limependekeza kuzuia Afrika kununua mbolea kutoka Urusi ikiwa ni moja...
  10. JamiiForums Tanzania Kisa cha kwanza cha Monkeypox chagundulika Afrika Kusini

    Afrika Kusini imeripoti kuwa na kisa cha kwanza cha Virusi vya Monkeypox, ikiungana na nchi nyingine 40 ambazo zimeripoti kuwa na virusi hivyo. "Mgonjwa ana umri wa miaka 30, ni mwanaume kutoka Jiji la Johannesburg, hana historia ya kusafiri. Mchakato wa kumfuatilia unaendelea,” anasema Waziri...
  11. JamiiForums Tanzania Rally Bwalya atambulishwa rasmi kuwa mchezaji wa Amazulu ya Afrika Kusini

    “Kujiunga na Amazulu kwangu ni mafanikio makubwa kwani nimekuwa nikiitazama na kuifuatilia kwa muda mrefu. AmaZulu Football inajulikana sana kwetu Zambia kwa sababu watu wengi wanatazama PSL," kauli ya Rally Bwalya wakati akitambulishwa kuwa mchezaji wa Amazulu ya Afrika Kusini. Timu hiyo...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Magharibi zinachochea dai la “mtego wa madeni” huku kihalisia fedha zikifika nchi hizo kutoka Afrika

    “Madeni mengi yanayozikabili nchi za Afrika yanasababishwa na mashirika binafsi ya nchi za Magharibi, na hawa wakopeshaji kutoka New York, London, Frankfurt n.k wanataka madeni hayo yalipwe ili mali za nchi za Afrika ziendelee kumiminika Amerika Kaskazini na Ulaya, na wala sio China.” Hivi...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa BRICS waleta fursa mpya kwa Afrika

    Mkutano wa 14 wa viongozi wa nchi za BRICS utafanyika hapa Beijing kwa njia ya mtandao. Kaulimbiu ya mwaka huu ya BRICS ni “Kujenga uhusiano wa kiwenzi wa hali ya juu, kuanzisha kwa pamoja zama mpya ya maendeleo ya kimataifa”. Likiwa jukwaa la ushirikiano kati ya nchi zinazoendelea, BRICS...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mulamula asisitiza umoja na mshikamano kwa nchi za Afrika na Nordic

    15 Jun 2022 Helsinki, Finland Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Nordic baada ya kumalizika kwa mkutano wa 19 wa Mawaziri hao jijini Helsinki, Finland. Waziri wa...
  15. JamiiForums Tanzania Zelensky: Vita ya Urusi imefanya Afrika kuwa "Mateka"

    Akihutubia Umoja wa Afrika (AU), Rais Volodymyr Zelensky amesema Afrika ni "mateka" katika Vita ya Urusi dhidi ya Taifa lake, kwani kuzuiwa kwa usafirishaji wa Nafaka Ukraine kumepelekea uhaba ambao unaweka Mamilioni ya watu katika hatari ya njaa. Amesema inawezekana Vita inaendelea mbali na...
  16. L

    JamiiForums Tanzania China yajitokeza kuhimiza amani na usalama katika pembe ya Afrika

    Fadhili Mpunji Tarehe 20 na 21 Juni Ethiopia ilikuwa mwenyeji wa mkutano wa amani wa Pembe ya Afrika uliofadhiliwa na China. Huu ni mkutano wa kwanza wa namna hii kuzikutanisha Ethiopia, Eritrea, Djibouti, Kenya, Somalia, Sudan na Sudan Kusini, kufanyika kwenye makao makuu ya Umoja wa Afrika...
  17. JamiiForums Tanzania Mataifa ya Afrika ambayo yatakuwa na uwakilishi wa vilabu vinne kwa msimu wa 2022/23 michuano ya CAF

    Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetangaza nchi 12 ambazo zitatoa timu nne kuwakilisha katika mashindano ya Klabu Bingwa na Shirikisho. • Algeria 🇩🇿 • Angola 🇦🇴 • Congo DR 🇨🇩 • Egypt 🇪🇬 • Guinea 🇬🇳 • Libya 🇱🇾 • Morocco 🇲🇦 • Nigeria 🇳🇬 • South Africa 🇿🇦 • Sudan 🇸🇩 • Tanzania 🇹🇿 • Tunisia 🇹🇳
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki kutoa hukumu kupinga kuondolewa Wamasai Loliondo Juni 22, 2022

    Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki, Juni 22/06/2022inatarajia kutoa hukumu dhidi Mwanasheria Mkuu wa serikali ya Tanzania katika kesi ya mwaka 2017 iliyofunguliwa na vijiji vya Loliondo wakipinga kuondolewa katika maeneo yao. Hukumu hiyo itatolewa na jopo la majaji watatu wakiongozwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Afrika Mashariki kukutana leo kujadili mzozo wa DRC, Rwanda

    Viongozi 7 wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wanatarajiwa kukutana leo Juni 20, 2022 Jijini Nairobi, Kenya mada kuu ikiwa ni mgogoro unaoendelea kati ya DRC na Rwanda. Kumekuwa na mapigano makali yanayofufua uhasama wa miongo kadhaa kati ya mataifa hayo mawili, ambapo DRC inailaumu Rwanda...
  20. JamiiForums Tanzania Watu zaidi ya 1500 waambukizwa Monkey pox Afrika, 66 wafariki

    Afrika imeripotiwa kuwa na Maambukizi 1,597 ya Virusi vya MonkeyPox tangu kuanza kwa mwaka 2022, ikielezwa Watu 66 wamefariki dunia Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa (CDC) Afrika, Ahmed Ogwell Ouma amesema Ugonjwa huo bado haujadhibitiwa Afrika. Amefafanua, "Msimamo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…