Ninachojua ni kwamba Tanzania ingempata Rais Paul Kagame kwa mikakati yake na uwezo wake mkubwa wa akili basi naamini tungekuwa tunashindana na akina Qatar, Uae,Malaysia,South Africa huku tukianza kuwafukuzia akina Uingereza, Marekani, Ufaransa, Urusi, Ujerumani na Sweden ila imekuwa ni Kinyume...