afrika

  1. Mnaosifia Simba kuwa ni team kubwa Afrika hamjui Mpira. Mnaijua Atletico Madrid ya Spain?

    Nyuzi Nyingi sana zinaandikwa kuisifia Simba eti ni kubwa Afrika na jana imeonyesha kua ni giant😂😂. Machizi kweli nyie na kama unasoma huu uzi una hilo wazo huo ni uchizi pia. Hivi Team gani ulaya haiogopi Atletico hii ni Moja ya Team ngumu sana ulaya na Match zake hua zakuvutia sana kuanzia...
  2. Diamond Platnumz hashikiki kwa kutazamwa zaidi YouTube Afrika

    Nyota wa Bongo Flava kutoka Tanzania, #DiamondPlatnumz ameendelea kushikilia rekodi ya kuwa msanii wa Afrika ambaye kazi zake zinatiririshwa (Streamed) zaidi kupitia YouTube akiwa na 'Streams' zaidi ya Bilioni 2.14. Pia, 'Simba' anashikilia rekodi ya kuwa msanii mwenye wafuasi wengi zaidi...
  3. Uongozi Simba SC waapa kuandika rekodi Afrika

    Uongozi wa Simba SC umeweka wazi kuwa, mpango kubwa ni kuandika rekodi nyingine ya kumvua ubingwa bingwa wa taji la Ligi ya Mabingwa Afrika, Wydad AC ya Morocco. Simba SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira maarufu Robertinho, leo Ijumaa (Aprili 28) ina kibarua cha kuhakikisha inatinga...
  4. Ila kuna wazazi wana akili finyu, Vyuo vyote Afrika na unampeleka mtoto Sudan akasome?

    Jambo Jambo? Katika ujio wa hao Watanzania nchini Sudan, kuna wengine ni wanafunzi wa vyuo nchini sudan. Wapo wafanyabiashara, Wenye ndugu kule, diplomatic officials Kilichonishangaza zaidi ni idadi ya wanafunzi wanaosoma hapo sudan, Sasa mimi najiuliza kwa maana chokochoko za Vita hizi...
  5. Dawa bandia ni tishio barani Afrika. Fahamu namna 3 za kuzibaini

    Mwishoni mwa siku ndefu, unagundua kuwa unaanza kuhisi maumivu ya kichwa. Unachokifanya ni kunununua dawa za kutuliza maumivu kutoka kwa muuzaji wa mtaani, na unakunywa mbili. Lakini unajuaje tembe hizo ni sahihi ama sio feki? Muuzaji sio duka halisi la dawa lililothibitishwa. Hakuna kifungashio...
  6. L

    Ethiopia ni mfano wa kuigwa kwa nchi zenye migogoro katika Afrika Mashariki

    Serikali ya Ethiopia hivi karibuni imefanya hafla ya kushukuru watu, makundi na serikali zilizochangia mchakato wa amani nchini humo. Tangu serikali ya Ethiopia na Jeshi la Ukombozi wa Watu wa Tigray (TPLF) kufikia makubaliano ya amani mwishoni mwa mwaka jana, mchakato wa maafikiano nchini humo...
  7. L

    Afrika inapaswa kujifunza mbinu za China za kutokomeza ugonjwa wa malaria

    Kila ifikapo Aprili 25 dunia inaadhimisha siku ya malaria. Tangu kutuingine kwenye karne ya 21, Shirika la Afya duniani (WHO) limekuwa likitangaza makadirio ya idadi ya watu wanaofariki kwa ugonjwa huu. Wakati huohuo WHO na jamii ya kimataifa zimefanya kazi ya kuunga mkono juhudi za serikali za...
  8. L

    Afrika inanufaika na ongezeko la watu wenye ujuzi nchini China

    Hivi karibuni, Umoja wa Mataifa ulikadiria kuwa kufikia katikati ya mwaka huu, India itaipita China na kuwa nchi yenye watu wengi zaidi duniani. Juu ya hali hii ya kawaida ya mabadiliko ya idadi ya watu, kwenye ripoti za baadhi ya vyombo vya habari vya Magharibi, inaonekana kuwa ni shida kubwa...
  9. M

    Tuliwasaidia watu wa Afrika kusini ili wapate uhuru. Ukweli ni kuwa hawako huru huku sisi tukibakia kuwa masikini bila msaada wowote

    Nenda Afrika ya kusini waafrika wanataabika na kuteseka maana hawapo huru kiuchumi bali wapo huru kisiasa tu. Wana uhuru wa kuzurula na kuropoka tu. Uhuru wa kiuchumi hawana. Wengi ni masikini na wanataabika. Sisi watanzania tulipoteza mali zetu badala ya kujikita kujiinua kiuchumi.
  10. Lengo la Simba isiwe kusajili kwa Sasa. Ina wachezaji Bora Sana Afrika. Kocha aendelee kuwaamini. Labda itoe Ulaya

    Sema bongo wachambuzi Ni washabiki tu. Ukiwafata na ushabiki Ni hakuna kabisa vitu kichwani. Muda wote kuiponda Simba oh Haina timu. Simba imemchukua baleke. Hata combination haijakomaa. Kafunga magoli mengi kuliko mfungaji yoyote ligi ya Tanzania tokea aje Sawadong ametokea Chan, timu ya...
  11. Afrika Kusini: Watu 10 wa Familia Moja Wauawa kwa Risasi

    Tukio limetokea Mji wa Pietermaritzburg katika Jimbo la KwaZulu-Natal, kati ya waliouawa Wanawake ni saba na Wanaume watatu. Ripoti ya awali ya Polisi imeeleza watu wenye silaha wasiojulikana walivamia na kufanya mashambulizi katika familia hiyo ambapo mshukiwa mmoja ameuawa eneo la tukio ...
  12. L

    Mapigano ya Sudan yaonyesha tena kuwa nchi za Afrika hazitakiwi kuwa wahanga wa umwamba wa Magharibi

    Mapigano nchini Sudan yamedumu kwa siku kadhaa, na kusababisha maelfu ya watu kupoteza maisha na kujeruhiwa. Licha ya wito wa kusimamisha vita wa Umoja wa Mataifa, Umoja wa Afrika na mashirika mengine ya kimataifa na ya kikanda, hadi sasa, pande zinazopigana za jeshi na kikosi cha usaidizi wa...
  13. Tanzania haimo kwenye nchi kumi zenye miundombinu bora Afrika!

    Miaka 60 baada ya uhuru, bado hatuna miundombinu iliyo bora kuifanya nchi angalau kutajwa tu kati ya nchi kadhaa zinazofanya vizuri kwenye barabara. Pamoja na kuwa na taasisi kama Tanroad na sasa Tarura bado hatujengi barabara zinazoweza kutolewa mifano. Kwenye maliasili ghafi kama dhahabu...
  14. Kabudi: Tanzania imeweka historia, ndio nchi ya kwanza Afrika kusaini mkataba wa hisa isiyofifishwa

    Leo hii Jumatatu April 17 2023 Serikali imesaini mikataba na kampuni tatu za madini za Australi zinazohusisha uendeshaji wa uchimbaji wa Madini ya Kinywe (GRAPHITE) na madini adimu (RARE EARTH ELEMENTS) katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma na kushuhudiwa na Rais Samia Suluhu Hassan...
  15. Sababu kuu za Mmarekani kuhamasisha kwa nguvu sana ushoga Afrika na siyo mabara mengine

    Ni muda sasa suala la ushoga na habari zake zimeendelea kuchoma na kuumiza masikio na macho ya waafrika na wengi wetu kukerwa na wengine kuhuzunishwa. "kwanini Afrika kwa sana"?. "Kwanini Mmarekani ndiye anaongoza kwa kuhamasisha na je una manufaa gani kwake kama siyo udhalimu tu dhidi ya...
  16. Afrika ianze kugomea kupokea fedha toka Marekani ili ijitegemee

    Afrika walipe tu madeni wanayodaiwa sasa na Marekani kisha nchi zote ziache kupokea fedha na misaada toka Marekani. Afrika ianze kufanya biashara kati ya nchi na nchi ndani ya Afrika na nchi nyingine zile za BRICS na nyinginezo. Afrika ili iendelee ihakikishe teknolojia yoyote toka Marekani...
  17. Wababe wa dunia wanaiparamia Afrika, Waafrika wenyewe wanashangilia!!

    Ukiangalia kwa undani utaona kuwa mataifa yaliyoendelea kiuchumi na yale yenye uchumi wa Kati, yote kwa pamoja yanapigana vikumbo kuigombania Afrika. Siyo kama mshirika wa kimaendeleo bali kama soko na chanzo cha malighafi katika kuendeleza chumi zao. Wakati wababe hao wa Dunia wakipigana...
  18. Eric Djemba Djemba: Mashine kutoka Afrika Magharibi na Siri ya Alex Ferguson kuhusu wachezaji wa Afrika

    Unakumbuka nini ukisikia jina Djemba Djemba. M Cameroon aliye lamba deal la kusajiliwa Manchester united na Alex Ferguson at his age of 21 Alisajiliwa akitokea Nandes ya ufaransa. Alipo sign deal na Manchester united akaenda kununua magari matano Kwa mkupuo. Inasemekana Sir Alex Ferguson...
  19. Je, ni kweli Nabii hakubaliki kwao? Raia wa Afrika Kusini wataka Jeshi la Polisi Tanzania kwenda kuzuia uhalifu nchini kwao

    Moja ya changamoto kubwa sana tuliyokuwa nayo Tanzania, ni kuona kila kitu tulichokuwa nacho hakifai. Wakati nchini Tanzania hadi tume ya kupitia mfumo wa Haki Jinai ikiwa imeundwa na tayari ipo kazini, raia wa Afrika Kusini wameonyeshwa kuvutiwa sana na utendaji kazi wa Jeshi la Polisi la...
  20. L

    Marekani yapaka matope China katika suala la madeni barani Afrika

    Hivi karibuni, tatizo la madeni barani Afrika limefuatiliwa sana na jumuiya ya kimataifa. Marekani imetumia fursa hii kuikashifu China kuwa kikwazo cha utatuzi wa madeni ya nchi za Afrika. Lakini ukweli ni kwamba, China imetoa mchangao zaidi katika suala la madeni ya nchi za Afrika, jambo ambalo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…