afrika

  1. JamiiForums Tanzania UMOJA wa Afrika (AU) umeifungia nchi ya Niger kushiriki shughuli zote za muungano

    UMOJA wa Afrika (AU) umeifungia nchi ya Niger kushiriki katika shughuli zote zinazohusiana na muungano huo kutokana na mapinduzi ya kijeshi yaliyofanywa mwezi uliopita. Kitengo cha amani na usamala katika umoja huo kimetoa wito kwa nchi wanachama wa AU kujiepusha na masuala yoyote yanayoweza...
  2. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Wagner yuko Afrika kupigania "haki" za Waafrika

    Hili lizee ni fulu komedi..... YEVGENY PRIGOZHIN IN AFRICA. SCREENSHOT FROM THE VIDEO Yevgeny Prigozhin, the founder of the Russian Wagner Private Military Company (PMC), has recorded a video message allegedly from Africa, where he is fighting "for justice and happiness" of African peoples...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Kiruswa: Tanzania kuwa kitovu cha uchakataji madini barani Afrika

    #Dkt. Kiruswa Afungua Maonesho ya Madini na Fursa za Uwekezaji Lindi Ruangwa - Lindi Imeelezwa kuwa, Serikali inaandaa Mkakati wa kuwezesha uongezaji thamani madini kwa lengo la kuzalisha bidhaa mbalimbali zinazotokana na madini utakaopelekea Tanzania kuwa kitovu cha uchakataji madini kwa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kwa tabiri hizi, CCM tukiendelea kumchekea Rais Samia soon tutageuka kuwa wapinzani!

    Shaloom wana wema! Nianze kwa nukuu hii ya Jakaya Kikwete, "Samia najua wewe ni zao la upinzani kwa hiyo haishangazi unavyowatendea wapinzani". Jakaya anakumbushia historia ya Samia kuwa anayo damu ya upinzani. Kwa kuwa ni Mzanzibari basi kama anayo hisia za upinzani basi tujue ni muumini wa...
  5. JamiiForums Tanzania Mataifa 11 ya Afrika Magharibi yaandaa yajitolea kupokeza wanajeshi watakaokwenda kuiweka sawa Niger

    Zama za wanajeshi kukurupuka na kuchukua uongozi wa nchi zimepitwa na wakati, ndio mojawapo wa sababu Afrika huonekana kama bara la njaa na vita vita vya kijinga. Inapaswa tulumbane kwa hoja kama raia lakini malumbano yenyewe yabaki kwenye ndani ya wananchi, sio hawa wavaa magwanda ghafla...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Nigeria ni miongoni mwa mataifa 10 yanayoongoza kwa viwanda barani Afrika

    Hii ni orodha ya mataifa kumi yanayoongoza kwa viwanda barani Afrika. https://thenationonlineng.net/nigeria-among-10-most-industrialised-countries-in-africa/
  7. JamiiForums Tanzania Baada ya Kumsajili kwa Kumkopa na Kushindwa Kummalizia Pesa zake 'Dusku' Kaamua kurejea Kwao Bondeni

    Kuliko kupoteza muda na Wapuuzi na Wadhulumati wa Kigamboni Town ni bora Mimi 'Dusku' nirejee Kwetu ili nikasaidiane na Waimbaji wa Amapiano ili nijifunze Styles mpya za Kucheza Nyimbo zao. Nimezoea kuona Wachezaji wengi Wakiondoka JNIA pale Terminal III Wakiwa ni Watu wenye Furaha na...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania yapanda hadi nafasi ya 9 kwa Nchi zenye Barabara Bora Afrika. Yaipiku Algeria, Tunisia na Nigeria

    Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vinavyofuatilia ubora wa Miundombinu barani Afrika, Tanzania imepanda hadi nafasi ya 9 kutoka nafasi ya 15 kwa Nchi zenye Barabara Bora na Nzuri Afrika. Inashangaza na kufurahisha kwamba Tanzania inazizidi Nchi kama Algeria,Angola,Nigeria,Ghana,Ivory...
  9. JamiiForums Tanzania TOP 10: Tanzania ni kati ya Nchi 10 za Afrika zinazoongoza kwa kupokea Misaada kutoka Marekani

    Takwimu za World Population Review kwa kipindi cha takriban miaka 5 Nchi za Afrika pekee zinakadiriwa kupokea 32% ya misaada ya Kifedha kutoka Marekani, 31% ni Nchi za Mashariki ya Kati na 25% katika Nchi za Asia. Nchi 5 za Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania ni kati ya Nchi 10 Barani Afrika...
  10. JamiiForums Tanzania Urusi yaituhumu idara ya Ujasusi ya Uingereza MI6 kuunda kikundi cha mauaji kutoka Ukraine dhidi ya viongozi wa Afrika wanaoshirikiana na Russia

    Russia imeituhumu idara ya ujasusi wa nje ya Uingereza ya MI6 kuhusika na mpango wa kuunda kundi la wauaji au "Assassination Squad" ambalo kazi yake kuu itakuwa ni kuharibu miundombinu na kufanya mauaji ya viongozi wa nchi za Afrika ambao watakuwa wakishirikiana na Russia kiuchumi na...
  11. JamiiForums Tanzania Libya Mafuta Lita 1 Tsh. 78 tu, Ndio Nchi yenye Bei ndogo ya Mafuta Afrika, licha ya hali mbaya ya Usalama

    Wakati Watanzania wakipambana na Bei kubwa za Mafuta yenye Wastani wa Bei kati ya 3,000 hadi 3,500 kwa Lita moja, Nchi ya Libya licha ya kuwa na changamoto za Kiusalama bado ndio Nchi yenye bei ndogo ya Mafuta Afrika na ya 3 Duniani. Kwa upande wa Afrika Mashariki, Nchi ya Jamhuri ya...
  12. JamiiForums Tanzania Mbunge Lindi Mjini aungana na wadau kuishauri Afrika kuwekeza katika utafiti mbegu asili

    NCHI za Afrika zimeshauriwa kuwekeza katika utafiti wa mbegu asili kwa kuwa zina lishe bora, uhakika wa chakula na salama kwa afya ya mtumiaji. Ushauri huo umetolewa na wadau mbegu asili kutoka nchi 25 za Bara la Afrika, Marekani na Ulaya ambao wanakutana jijini Dar es Salaam kwa siku tatu...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Bara la Afrika linaongoza kwa mapinduzi ya kijeshi duniani

    Bara la Afrika lilishuhudia ongezeko kubwa la mapinduzi katika mwaka mmoja na nusu uliopita, huku takwimu za kijeshi zikichukua nchi za Burkina Faso, Sudan, Guinea, Chad na Mali. Baada ya mapinduzi ya Sudan mwezi Oktoba 2021, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres alizungumzia "janga"...
  14. JamiiForums Tanzania Mtanzania kutoka Ukraine anaweza kurejeshwa barani Afrika, mahakama inasema

    Majaji wa mahakama ya chini wameamua kwamba baraza la mawaziri linaweza kuamuru mwanamume kutoka Tanzania, aliyefika Uholanzi akiwa na wakimbizi kutoka Ukraini, arejeshwe katika nchi yake. Serikali imewaambia raia wote wa nchi ya tatu waliokuwa wakiishi Ukraine lazima waondoke nchini humo...
  15. P

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Unaweza kupunguza Makali ya UKIMWI kwa kubadilisha damu

    Wakuu mko vyede? Kuna kipindi fulani hili suala lilizuka sana kuwa wanaoishi na HIV hasa matajiri walikuwa wanaenda South Afrika kubadilisha damu ili kupunguza makali ya ugonjwa huo. Hii ilikuwa kweli? Maana mpaka leo naamini walikuwa wanafanya hivyo, ila swali likaja wanabadilishaje...
  16. JamiiForums Tanzania Afrika katika uasi: Je, ukombozi wa pili dhidi ya ukoloni uko kwenye upeo wa macho?

    Baada ya msururu wa mapinduzi, nchi moja baada ya nyingine zinasonga mbele kufukuza mabaki ya madola ya zamani Africa ni chimbuko la ustaarabu wa binadamu na bara tajiri zaidi katika sayari zote upande wa suala la maliasili. Lakini kulingana na Kapteni Ibrahim Traore, rais wa Burkina Faso...
  17. JamiiForums Tanzania Pamoja na hatua nzuri, Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara inahitaji kuziba kabisa Pengo la Kijinsia

    Kufikia usawa wa kijinsia ni lengo muhimu katika maeneo yote duniani kutokana na athari zake chanya kwa jamii, uchumi, na maendeleo kwa ujumla. Usawa wa kijinsia unahusu kutoa fursa sawa na haki kwa watu wa jinsia zote, bila kujali jinsia yao, ili waweze kushiriki kikamilifu katika shughuli za...
  18. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni awajibu Benki ya Dunia: Tutaendelea hata bila Mikopo yenu"

    Rais Yoweri Museveni ametoa kauli hiyo baada ya WB kutangaza kusitisha Ufadhili na Mikopo yote mipya iliyoombwa na Serikali kutokana na Nchi hiyo kupitisha Sheria inayozuia Mapenzi ya Jinsia moja. Museveni amesema "Inasikitisha kuona Benki ya Dunia na wahusika wengine wanathubutu kutulazimisha...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Mchango uliotolewa na pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia mmoja” kwa Afrika waendana na wakati

    Katika siku za karibuni Kituo cha mambo ya fedha na maendeleo kwenye sekta zisizosababisha uchafuzi (Green Finance & Development Center) katika chuo Kikuu cha Fudan mjini Shanghai, kilitangaza kuwa thamani ya uwekezaji wa China kwenye miradi ya kupitia pendekezo la “Ukanda mmoja, Njia Moja”...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Afrika ni Bara lililobarikiwa utajiri wa raslimali za kila aina, likalaaniwa viongozi wake

    Afrika ni bara tajiri sana duniani. Lina rasilimali za kila aina kuanzia ardhi nzuri inayofaa kulima mazao ya kila aina, maji, hali nzuri ya hewa, uoto wa asili ikiwemo misitu, madini, mafuta, gesi n.k. Viwanda vingi duniani vinaendeshwa na raw-materials toka Afrika. Cha kustaajabisha, nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…