afrika

  1. Hizi hapa benki kubwa/bora duniani, Afrika bado changamoto. Tatizo ni nini?

    LIST OF LARGEST BANKS The following are lists of the largest banks in the world, as measured by total assests By total assets Industrial and Commercial Bank of China China Construction Bank Agricultural Bank of China Bank of China JPMorgan Chase Mitsubishi UFJ Financial Group Bank of...
  2. Haya hapa Mashirika/makampuni 500 bora duniani, Afrika mbona kiza ?

    FORTUNE GLOBAL 500 -The Fortune Global 500, also known as Global 500, is an annual ranking of the top 500 corporations worldwide as measured by revenue. The list is compiled and published annually by fortune magazine. The following is the list of top 10 companies in 2022. Fortune Global 500...
  3. L

    SoC03 Tanzania, Kitovu cha Hifadhi ya Historia ya Afrika na Utalii

    Huezi kuizungumzia Afrika, pasipo kutaja Mlima mrefu zaidi, Mlima Kilimanjaro upatikanao nchini Tanzania. Huezi zungumzia Afrika, pasipo kuitaja Serengeti, hifadhi iliyopo nchini Tanzania na iliyoshinda tuzo ya hifadhi bora zaidi barani Afrika mara nne kwa mfululizo na huezi zungumzia Afrika...
  4. Marais wa Afrika angalieni njaa zenu zisiwatoe akili

    Ushiriki wa Marais wa nchi za Afrika uliofanyika jiijini ST. Petersburg nchini Urusi si sahihi kuupa sura kuwa Marais hao wamemsusia raisi Putin kama wapinzani wa nje wa Urusi wanavyojaribu kuteka akili za watu. Jumla ya Marais 17 wameshiriki na wawakilishi wa nchi 47 wameripoti kwenye mkutano...
  5. Wizara ya Madini yashiriki Mkutano wa Wakuu wa Serikali ya Urusi na Nchi za Afrika

    #Dkt. Biteko Atangaza Fursa uwekezaji Sekta ya Madini St. Petersburg – Urusi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amemwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania katika Mkutano wa Wakuu wa Serikali ya Urusi na nchi za Afrika...
  6. Mkuu wa Wagner akutana na viongozi wa Afrika mbele ya Putin, jamaa ameshindikana

    Licha ya huyu jamaa kufanya uasi na kusababisha maafa na pia kusababisha Putin aikimbie ikulu na kujificha, ambapo baadaye Putin alijitokeza na kuongea kwa hasira sana kumhusu huyu jamaa, na Urusi kutangaza imemfukuza hadi uhamishoni Belarus, jamaa amethibitisha ni mfupa uliomshinda fisi Putin...
  7. Mkutano wa Urusi na Afrika 2013

    Fuatilia hapa kile kinachoendelea huku Urusi na viongozi wetu
  8. Kuzingatia haki za wafanyakazi ni hatua ya msingi kwa maendeleo na ustawi wa Afrika

    Kuzingatia haki za wafanyakazi ni muhimu sana katika kuhakikisha ustawi na ufanisi katika maeneo ya kazi. Haki za wafanyakazi zinahusisha masuala kama vile haki ya kufanya kazi katika mazingira salama na yenye afya, malipo ya haki na stahiki, saa za kazi zinazoheshimu afya na maisha ya...
  9. L

    Joto kali duniani linathibitisha kuwa ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika kwenye mambo ya tabia nchi ni sahihi

    Mwezi Julai mwaka huu unatajwa na wanasayansi kwa tabia nchi kuwa ni kipindi ambacho dunia imeshuhudia viwango vikubwa sana vya joto katika historia. Hali hii imefanya baadhi ya wanasayansi waliokuwa wanasita kukiri kwa uwepo wa mabadiliko ya tabia nchi duniani warudi nyuma, na wale waliokuwa...
  10. Waafrika wasusia hafla ya Urusi ambao miaka yote huhudhuriwa na viongozi wote wa Afrika

    Urusi ilitegemea kutumia hii hafla kuonyesha uungwaji mikono na dunia, ila imetengwa....na inazidi kutengwa na pia kupokea kichapo kutoka kwa kataifa kadogo jirani hapo.... Russian President Vladimir Putin had hoped for a record turnout of African leaders at his second Russia-Africa Summit...
  11. Kwanini mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika ufadhiliwe na Benki ya dunia?

    Unapoitaja World Bank, IMF na WTO ni sawa na kuitaja Marekani na Ulaya Magharibi. Kama mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika uliofanyika Tanzania umedhaminiwa na Benki ya dunia maana yake umedhaminiwa na nchi ya Marekani. Kwanini AU na waafrika wenyewe wameshiñdwa kuudhamini mktano wao? Are we...
  12. Rais samia: Afrika imejaa fursa tele

    RAIS Samia Suluhu Hassan amesema ni lazima vijana wabadilishwe mitizamo yao juu ya fursa mbalimbali zinazopatikana Afrika na kuondoa ile mitizamo ya kwenda nje ya bara hilo kutafuta maisha. Rais Samia ameyasema hayo leo Julai 26, 2023 katika mkutano wa Wakuu wa nchi za Afrika kuhusu rasilimali...
  13. Serikali ya Afrika Kusini yaomba rasmi hati ya kukamatwa kwa Putin

    Getty ImagesCopyright: Getty Images Serikali ya Afrika Kusini imetuma maombi rasmi kwa mahakama kutoa hati ya kukamatwa kwa Rais wa Urusi Vladimir Putin iwapo atawasili nchini humo. Chama kikuu cha upinzani nchini Afrika Kusini, Democratic Alliance, kinasema kuwa haya ni makubaliano ya matakwa...
  14. Angalia jinsi Afrika inavyoitegemea Ukraine na Urusi kwenye mahitaji ya ngano.

    Hii ni picha ya kueleza utegemezi wa nchi za kiafrika kwa Ukraine na Urusi kwenye mahitaji ya Ngano. Ukraine nchi yenye watu milioni 30 inalisha Afrika nzima bara lwnye watu Bilioni 1 na ushee.
  15. HAKI JINAI: Inachohitaji Afrika ni viongozi waaminifu na sheria zisizopendelea

    Hakuna demokrasia inayoweza kuletwa kwa magunia kutoka sehemu nyingine kwenda sehemu nyingine. Hakuna demokrasia inayopatikana kwa mazungumzo bali kwa uhalisia wa mambo. Mfano, China wako karibia watu bilioni 2 chini ya matawala mmoja, serikali moja na nchi moja, ni demokrasia gani inafaa kwenye...
  16. L

    Mfumo wa kimataifa wa mambo ya kifedha wakosolewa na nchi za Afrika

    Mkutano wa kilele wa katikati ya mwaka wa Umoja wa Afrika ulifanyika hivi karibuni mjini Nairobi, mji mkuu wa Kenya. Viongozi wa nchi za Afrika walioshiriki kwenye mkutano huo kwa mara nyingine tena walitoa wito wa mageuzi ya mfumo wa kimataifa wa mambo ya kifedha. Rais William Ruto wa Kenya...
  17. Prigozhin asema hataki tena kupigana Ukraine, anakuja Afrika

    Baada ya utata wa muda mrefu wa mahali alipo kiongozi wa kikundi cha askari wa kukodiwa cha Wagner leo ameonekana hadharani nchini Belarus alikohamishia shughuli zake baada ya jaribio la kutaka kuipindua serikali ya Urusi kuzimwa. Katika video iliyomuonesha akisalimiana na askari wake...
  18. Kampuni ya ICTE kutoka Ufilipino imeshinda tenda kuendesha bandari ya Darbun, SA kwa miaka 25

    Kampuni ya uendeshaji wa shughuli za bandari ya International Container Terminal Services kutoka Ufilipino imeshinda kandarasi ya kuendesha bandari ya Durban nchini Afrika Kusini kwa kandarasi ya miaka 25. Swali, kwa nini sisi DP World hatuambiwi watafanya kazi kwa muda gani? =======...
  19. Skudu Makudubela angekuwa mzuri hivyo angekuwa hapati nafasi katika Vilabu Vikubwa Afrika Kusini?

    Tembeleeni mitandao ya Michezo ya Afrika Kusini muone jinsi nyie mlivyompamba kwa mwezi mzima hadi jana mlivyompokea lakini mnavyochekwa na kudharauliwa na South Africa Football Pundits kwa kukurupuka kwenu kumsajili. Yaani Mchezaji awe mzuri Afrika Kusini halafu giants kama Mamelodi Sundowns...
  20. Ripoti: Tanzania yashika nafasi ya 17 kwa nchi zenye amani Afrika

    Ripoti mpya ya Taasisi ya Uchumi na Amani (IEP) ya mwaka 2023 toleo la 17 imetoa takwimu ya nchi zenye amani zaidi barani Afrika ambapo utafiti huo unaonesha kuwa Tanzania imeshika nafasi ya 17 kwa amani na kushika nafasi ya 91 kidunia. IEP imesema Tanzania imeshika nafasi hiyo kwa kupata alama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…