afrika

  1. L

    Karakana ya Luban yasaidia vijana wa Afrika kutimiza ndoto zao

    Miaka 600 iliyopita, baharia wa China Zheng He aliongoza kikosi cha majahazi kusafiri hadi kwenye pwani ya mashariki ya Afrika mara nne, na kwamba Njia ya Hariri Baharini ilishuhudia historia ndefu ya mawasiliano kati ya China na Afrika. Miaka 600 baadaye, karakana za Luban zilipewa jina la...
  2. L

    China yaunga mkono mchakato wa maendeleo ya viwanda barani Afrika

    Tarehe 20 Novemba ni Siku ya Maendeleo ya Viwanda Barani Afrika. Ikiwa ni sehemu muhimu ya ushirikiano wa kirafiki kati yake na Afrika, China imewajibika kuzisaidia nchi za Afrika kuendeleza viwanda, na kuchukua hatua nyingi zinazolingana na hali halisi ya nchi hizo. Baada ya kuingia katika...
  3. Namna IFFHS inavyotoa takwimu za timu bora afrika na Yanga kwa ujumla

    Baada ya IFFHS kutoa list ya vilabu bora Africa baadhi ya watu wamehoji kwa nini Yanga wamekaa juu ya Mamelodi Sundowns na USM Alger bingwa wa (CAF-CC) ?! Kabla ya kubisha unatakiwa kujua ni vigezo gani vinatumika kupanga list ya vilabu bora Duniani kwa mujibu wa IFFHS.. ๐—ฉ๐—ถ๐—ด๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜ƒ๐˜†๐—ผ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ...
  4. Yericko Nyerere ashinda Tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Afrika

    Tuzo hizo zilizoandaliwa na Taasisi ya Tuzo za Zikomo Africa Award ya yenye makao makuu nchini Zambia zimefanyika usiku wa kuamkia leo Jumapili, Novemba 19, 2023 nchini humo. Mara baada ya kutangazwa mshindi kwa kuwashinda washindani wenzake nane kutoka Botswana, Uganda, Zambia na Zimbabwe...
  5. Hongera Simba sc kutinga orodha vilabu bora Afrika

    Napenda kutumia fursa hii kutoa pongezi kwa kilabu ya Simba kwa kutinga katika orodha ya vilabu bora barani Afrika kwa mujibu wa Shirika la kimataifa linalojihuisha na takwimu za soka. Hongera kwa uongozi, Wadhamini na benchi zima la ufundi. Tuendelee kuwa mfano kwa vilabu vingine hapa nchini...
  6. Yanga Yapaa Ubora wa Viwango, Yashika Namba 4 Afrika, Yawabwaga Simba, Mamelodi

    Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetoa takwimu ya viwango vya klabu kwa kipindi cha Novemba Mosi, 2022 hadi Oktoba 31, 2023 ambapo kwa Tanzania klabu ya Yanga inashika nafasi ya 4 kwa Afrika na 53 duniani kutoka 60 huku Simba ikishika nafasi ya 13 Afrika...
  7. R

    Afrika Kusini: Bunge lapitisha Muswada wa bangi kwa matumizi binafsi

    Muswada wa Bangi kwa matumizi binafsi uliokuwa unakutana na vipingamizi kadhaa toka mwaka 2018 umepitishwa na bunge nchini humo jana Jumanne 14/11/2023. Vyama vya ANC, DA, IFP, EFF, NFP na PAC viliunga mkono muswada wa bangi kwa matumizi binafsi, wakati FF+ na ACDP waliupinga wakati wa kikao...
  8. Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wa Mawaziri wa Afrika kuhusu Fedha na Jinsia

    Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa mkutano wa Mawaziri wa Afrika wanaohusika na Masuala ya Fedha na Jinsia kutoka nchi 22 wanachama wa Jukwaa la Usawa wa Kijinsia (UN Women) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF-Afritac East), utakaofanyika Jijini Dar es Salaam, kuanzia tarehe 15 hadi 17...
  9. Wapenzi wa Hamas Afrika Kusini wateka eneo la wafuasi wa Israel na kulikalia. Polisi waingilia kati kuwaokoa

    Uungwaji mkono wa Palestina umezidi kupaa kote duniani. Huko Afrika kusini jioni ya jana Jumapili kikundi cha wanaounga mkono Israel kilikuwa kimeandaa ibada ya kuiombea Israel katika vita vyake dhidi ya Hamas na kuwaombea mateka wanaoshikiliwa huko Gaza.Shughuli hiyo ilikuwa ikiendelea...
  10. L

    Madaktari wa China wapongezwa kwa kutoa huduma bora kwa wagonjwa barani Afrika

    China imekuwa na utaratibu wa kupeleka wataalamu wa afya katika nchi mbalimbali duniani, ambao huungana na wenzao katika nchi husika kutoa huduma za matibabu kwa watu wenye matatizo ya kiafya. Madaktari hao kutoka nchini China, licha ya kuwa na changamoto ya lugha na tamaduni, wameendelea...
  11. L

    Malengo ya uwekezaji wa China barani Afrika yanaendana na Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa

    Baada ya China kupata maendeleo makubwa ya kiuchumi, nafasi yake ikiwa kama nchi mkopeshaji imeongezeka na kuwa mbele duniani. Malengo ya sera ya uwekezaji wa China kwa nchi za Afrika yanaendana na Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa ya mwaka 2030, na China inaonekana kuwa...
  12. L

    Mpango wa Marekani kuiondoa China kwenye sekta ya madini barani Afrika ni hatari kwa maendeleo ya Afrika

    Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia duniani, hasa kuongezeka kwa mahitaji ya bidhaa za madini adimu zinazotumika kwenye sekta za utengenezaji wa magari yanayotumia umeme na vifaa mbalimbali vya kuvuna nishati ya jua. Afrika, bara lenye utajiri mkubwa wa madini hayo limerudi tena...
  13. MAP, utatu hatari unaosumbua Soka la Tanzania na utakaotawala Soka la Afrika

    MAP - Max, Aziz Ki na Pacome Huu ni utatu /Ramani ya hatari sana na kwa wale wenye macho ya ndani tunaona kabisa kwamba utatu huu utaendelea kufanya mambo makubwa mno pengine kuwahi kutokea Tanzania, Afrika Mashariki hata Afrika kiujumla. Uzi huu ubaki kama kumbukumbu.
  14. Ujumbe wa mashabiki wa Afrika Al Ahly kwa Palestina

    Kwa roho na Damu Tunakufidia Palestina (Mashabiki wa Timu ya Al Ahly ya Misri) Watu wenye huruma na utu, ningefurahi sana kuona pia timu zetu zikifanya kama ilivyo kwa al ahly, Allah awajaze kheri hao ndugu zetu waislamu. Nilitamani sana muibuke na ushindi dhidi ya mamelodi, lakini kwa bahati...
  15. L

    CIIE yasaidia bidhaa za kilimo za Afrika kuingia katika soko kubwa la China

    Alfajiri na mapema kwa saa za Kenya, wakulima wa maua nchini humo walichuma waridi katika mashamba yao yaliyoko Naivaisha. Kutokana na ndege za moja kwa moja kati ya Kenya na China na njia maalumu ya forodha nchini China kwa bidhaa za Afrika, maua hayo yanaweza kufika mikononi mwa wateja wa...
  16. Rais Samia ashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi unaojadili kuharakisha Mageuzi ya Kiuchumi Afrika, Jijini Marrakech-Morocco, leo Novemba 8, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi unaojadili kuharakisha Mageuzi ya Kiuchumi ya Afrika, Marrakech-Morocco, leo Novemba 8, 2023. https://www.youtube.com/watch?v=SJN3jOLB9G8 === Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia...
  17. L

    CIIE ni jukwaa bora kwa nchi za Afrika zilizojiunga na BRI kuingia kwenye soko la China

    Kutoka mpunga chotara hadi nyasi za juncao, kutoka maeneo ya kielelezo ya kilimo hadi vijiji vya kielelezo vya kuondokana na umaskini... katika miaka ya hivi karibuni, China na Afrika zimeendelea kuimarisha ushirikiano wa kilimo kutokana na msukumo wa mifumo mbalimbali kama vile Pendekezo la...
  18. Afrika Kusini kuwaondoa Wanadiplomasia kutoka Israel

    Afrika Kusini inasema utawarejesha nyumbani Wanadiplomasia wake wote kutoka Tel Aviv kufuatia mashambulizi makali yanayofanywa na Israel kuelekea Gaza. Shambulio la bomi lililotokea Novemba 5, 2023 lilikuwa moja ya shambulizi zito zaidi kwa Israel tangu vita baina ya pande hizo ianze mwezi...
  19. Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya MTV Msanii Bora Afrika, amgaragaza Burnaboy

    Msanii Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya Msanii Bora kutoka Afrika kwa mara ya 3 katika mashindano ya MTV Europe Music Award 2023 ( MTVEMA2023 ) diamond amewashinda Asake, BurnaBoyโ€ฏโ€ฏโ€ฏ(Nigeria) Libianca (Cameroon) na TylerICU (Dj wa Afrika Kusini). Hongera sana sisi wanaJF tunathamini...
  20. Afrika akili za washika madaraka remoti ipo Ulaya

    Viongozi wa afrika kuwa wajinga sijui sababu ni akili ndogo,uvivu wa kufikiri au ubinafsi inafika wakati unashangaa umetawalia miongo kadhaa alafu anayekutawala bado anakuchongea ya kupita stil they are obeying order. Hatuna hata uthubutu wala utajiri hata kwenye lugha yetu licha kupata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ