afrika

  1. JamiiForums Tanzania Prof. Mohamed Janabi achaguliwa kuongoza WHO AFRO

    Hii ni taarifa ya hivi punde. Prof. Mohamed Janabi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili amechaguliwa kuongoza Shirika la Afya Duniani ukanda wa Africa. Pongezi nyingi kwake na watanzania. =============== Profesa Mohamed Janabi, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa...
  2. JamiiForums Tanzania Prof. Mohammed Janabi, mgombea kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika

    Prof. Mohammed Janabi, mgombea kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika unaofanyika leo Jumapili Mei 18, 2025 akijinadi mbele ya Mawaziri wa Afya kutoka nchi za Bara la Afrika na kuwaomba kumuunga mkono
  3. JamiiForums Tanzania Martha Karua aruhusiwe kuingia na aendelee na harakati zake, kuzuia ni doa Afrika Mashariki

    Ombi langu mamlaka zimruhusu aingie aendelee na shughuli zake, afrika ya mashariki ni moja, hasa Tanzania, Kenya na Uganda, issue ndogo ndogo za kila lissu na wanaharakati wengine zisitukwaze tukaja haribu sifa ya taifa letu, as I spoke mimi CCM damu, lakini hili liachwe liendelee, na waendelee...
  4. JamiiForums Tanzania Kikao Maalum cha Pili cha Kamati ya Kanda ya WHO kwa Afrika. Prof Janabi anamwaga sera

    https://www.youtube.com/live/vVff21KwD50?si=4cn52B2JbabvDOdb The second special session of the WHO Regional Committee for Africa will be held in a virtual format on 18 May 2025 under Special procedures for the conduct of the virtual special session of the Regional Committee for Africa. The...
  5. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Jenista Mhagama Akimfanyia Sala na Maombi Mazito Profesa Janabi Muda mfupi kabla ya kuingia katika Uchaguzi Wa Mkurugenzi Mkuu wa WHO Afrika

    Ndugu zangu Watanzania, Taifa letu siku zote limekuwa la Kumtanguliza,kumtegemea na kumtumainia Mwenyezi Mungu kwa kila kitu. Ni Taifa ambalo limekuwa likijiweka mikononi mwake Mungu kwa kila jambo. Limekuwa ni Taifa la kujinyenyekeza na kuutafuta uso wake Mungu wakati wote,limekuwa ni Taifa...
  6. JamiiForums Tanzania Asili ya jina la Afrika utokana na jina. ALKEBU-LAN

    Hatupaswi kuendelea kuita bara letu AFRICA na kuanza kuita jina lake halisi la ALKEBU-LAN, kama jinsi ma babu zetu walivyo kua wakiliita hapo awali, ALKEBU-LAN lenye maana ya "ASILI YA UHAI DUNIANI" Jina la Africa halina maana yoyote wala hali akisi jambk lolote kutoka kwenye lugha zetu za...
  7. JamiiForums Tanzania Sababu Kuu kwanini Simba SC wamefungwa na Berkane na hawatachukua Ubingwa Afrika

    Jana tumeshuhudia Simba SC wakiangukia pua pale Morroco pamoja na tambo, mbwembwe, goli la mama na kupelekwa na ndege ya Mama! Ni dhahiri Simba wasingeweza kushinda jana hata wangelifanyaje. Iko hivi. Tanzania kwa sasa inapitia kipindi kigumu sana cha Udikteta Uchwara. Watz kwa sasa wanatekwa...
  8. JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais mmoja katika Jumuiya ya Afrika Mashariki yu mahututi

    Habari zilizonifikia ni kuwa kuna Rais mmoja katika nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika ya Mashariki yu mahututi na muda wowote Taifa lake linaweza kutangaziwa habari mbaya. Tukiwa kama wana Jumuiya sio vibaya tukaelekeza maombi kwa Rais huyo ili arudi katika utimamu wake na aendelee kuwatumikia...
  9. JamiiForums Tanzania Mabingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) tangu Mwaka 2000

    Mabingwa wa Kombe la Shirikisho Tangu Mwaka 2000 2025: Simba / Berkane ? 2024: Zamalek SC (Misri) 2023: USM Alger (Algeria) 2022: Berkane (Morocco) 2021: Raja Club Athletic (Morocco) 2020: Berkane (Morocco) 2019: Zamalek SC (Misri) 2018: Raja Club Athletic (Morocco) 2017: TP...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Demokrasia imeshindwa Afrika kwa sasa mapinduzi ndiyo suluhisho

    Ukiangalia kwa undani utagundua DEMOKRASIA haijawahi kuwa na msaada kwa AFRIKA ila demokrasia yenyewe inachokifanya kwa AFRIKA ni kuchochea MIGOGORO na kuleta UMASKINI na vitu kibao kama hivyo. Viongozi wa upinzani nao wanajilimbikizia mali wamamiliki magari ma majumba ya kifahari,mahotel,afya...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Trump Waarabu wanamcheza kama wazungu wanavyowacheza viongozi wa Afrika

    Jana Trump alikuwa Qatar, ukitazama ziara yake Qatar wamecheza na akili yake. Yale mapokezi ya msafari wa ngamia na cyber trucks si mchezo. Jamaa wakafamfanya ajisiikie kama Mfalme, pia wakampa zawadi ya boeing yenye thamani ya Dola milioni 400. Imeundwa mwaka 2012 kwa ajili ya aliyekuwa waziri...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa China na Afrika kuimarika kutokana na athari ya ushuru uliowekwa na Marekani

    Ushuru uliowekwa na Marekani unaweza kuwa na athari mbaya kwa nchi zinazoibuka kiuchumi kama China nan chi za Afrika, lakini wakati huohuo, hatua hiyo ya Marekani itawezesha ushirikiano wa nguvu zaidi kati ya China na Afrika katika biashara na uwekezaji kwenye seta muhimu za uzalishaji, nishati...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Tarehe 15.5 iwe siku ya kuadhimisha MILA na DESTURI kwa nchi za Afrika!!

    Mei 15 kila mwaka nchi ya Burkina Faso inaadhimisha siku ya mila,desturi na tamaduni. Siku hii ni fursa ya kuonesha vyanzo vyenye rutuba vya maarifa ya mababu zetu ili kuhamasisha upendo wetu kwa nchi zetu. Urithi uliorithiwa kutoka kwa mababu zetu ni ngome yetu. Natumai kwamba kupitia sherehe...
  14. JamiiForums Tanzania Afrika inahitaji umoja

    Habari wakuu! Kama kichwa cha uzi kilivyojibainisha ukweli ni kuwa Afrika bado haina Umoja. Sote tunajua wanaharakati kama Kwame Nkurumah walihubiri kuhusu hili ila bado juhudi zao hazikuzaa matunda stahiki. Nasema hivi kwakuwa mataifa ya Afrika yamekuwa hayategemeani. Leo hii nchi ya Afrika...
  15. JamiiForums Tanzania Idadi kubwa/Wingi wa vijana Afrika fursa au mzigo?

    Afrika ni bara lenye vijana wengi zaidi duniani, huku zaidi ya 60% ya watu wake wakiwa chini ya miaka 25 (UN, 2023). Naija inaongoza, 56.9% ya watu wake wana umri chini ya miaka 18, ikifuatiwa na Uganda yenye 55% (UNICEF, 2024). Swali ni: Je, idadi hii ya vijana ni fursa au mzigo? Changamoto...
  16. JamiiForums Tanzania Karibu Afrika, bara utakalosengenywa endapo hutaonekana na mahusiano ya kimapenzi au mtoto haijalishi una mpango wa kufanya maamuzi kwa muda sahihi

    Karibu Afrika, bara utakalosengenywa endapo hutaonekana ukiwa na mahusiano ya kimapenzi au mtoto haijalishi una mpango wa kufanya maamuzi kwa muda wako uliojipangia Bara la Afrika ni la tofauti sana, katika jamii zetu utaanza kupitia matatizo ya masimango baada ya kubalehe endapo hutaonekana...
  17. JamiiForums Tanzania Nyerere alituingiza kwenye tatizo!! kwanini mzanzibar anaruhusiwa kuwa rais wa Tanzania bara na mtanganyika haruhusiwi kuwa rais wa Zanzibar?

    Siku moja tusikie mwigulu nchemba ni rais wa Zanzibar au tumuone mnyakyusa kutoka mbeya akiiongoza ikulu ya Zanzibar ! Kwa Nini mngoni ,mmatumbi na mndengeleko wasiwe na sifa ya kuongoza zanzibar ? Ila wazanzibar wanakuja kutawala Tanganyika? Kwanini muungano wetu upo kama msaafu Kila anaejaribu...
  18. JamiiForums Tanzania Hizi hapa sababu za kiroho kwanini Afrika itakuwa mkia tu mpaka mwisho wa Dunia

    Hello! Afrika imelaaniwa na inazidi kulaaniwa ndio maana iko nyuma ya mabara yote. Afrika ikisogea km 2 mbele mabara mengine yatakuwa yamesogea km 100 mbele. Kuna vumbuzi zimefanywa miaka 100 iliyopita na Sasa wenzetu wameachana nazo kwamba ni mambo ya kizamani yasiyo kwenda na wakati lakini...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Marekani kuipuuza Afrika kunatoa msukumo wa ushirikiano na umoja zaidi

    Wakati Marekani ikiendelea na mashambulizi dhidi ya biashara huria duniani, Afrika iko ni mmoja wa wahanga. Na sasa Rais Donald Trump wa Marekani amefungua medani ya kidiplomasia tena ambapo serikali yake inalenga balozi mbalimbali duniani kwa kile alichokiita Donald Trump kuitikisa sera ya...
  20. JamiiForums Tanzania Kundi la kwanza la makaburu wa Afrika Kusini limeanza safari ya kuelekea Marekani kama walivyoahidiwa na Donald Trump

    Vyanzo vya habari vya SA vimeonyesha kundi la kwanza la Makaburu wanaotarajia kuanza maisha yao mapya Marekani. Mtakumbuka miezi michache kumekuwepo na mvutano kati ya serikali ya Marekani na South Africa. Moja ya mivutano ni Trump kuilaumu serikali ya Afrika Kusini kuwanyanyasa Makaburu. Hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…