afrika

  1. K

    JamiiForums Tanzania Simba inajiita ya mafanikio Afrika mbona humu haimo?

    2025: Pyramids FC 2024: Al Ahly 2023: Al Ahly 2022: Wydad Casablanca 2021: Al Ahly 2020: Al Ahly 2019: Esperance de Tunis 2018: Esperance de Tunis 2017: Wydad Casablanca 2016: Mamelodi Sundowns 2015: TP Mazembe 2014: ES Setif 2013: Al Ahly 2012: Al Ahly 2011: Esperance de Tunis...
  2. JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa Afrika, Amerika, na Australia hakuna sehemu takatifu isipokuwa Asia na Ulaya au ni bangi na uzwazwa wa imani?

    Makka "al kahaba" iliyokuwa na vinyago kwa mamia Yerusalemu mji wa mwenda usiku Vatican pamoja na kashfa za ngono Ukitazama mabara yote, ni mabara mawili yenye kuwa na sehemu 'takatifu' isipokuwa Asia na Ulaya. Utasikia miji mitakatifu ya Makka na Madina (mji kwa kiarabu), Yerusalem, na hata...
  3. JamiiForums Tanzania Mnaosema Afrika hatupo huru upande wa kiimani/ kidini,je mfumo wa Kisiasa tumeweza kubaki kuwa huru?

    Almost we depend on everything from White Hatujaweza kubaki au kuanzisha mifumo yetu katika nyanja zote Siyo kiimani tu hata kisiasa hatupo huru. We are pure socialism lakini imebakia nadharia na tupo kwenye utumwa Siasa za magharibi, Demokrasia za mchongo,uhuru usiyo wa mipaka leo ukienda...
  4. JamiiForums Tanzania Mary Baine ateuliwa kuwa Katibu Mtendaji Mpya wa Jukwaa la Usimamizi wa Kodi Afrika (ATAF)

    03 Juni 2025, Pretoria — Jukwaa la Usimamizi wa Kodi Barani Afrika (ATAF) lina furaha kutangaza uteuzi wa Bi. Mary Baine kuwa Katibu Mtendaji wake mpya, kuanzia tarehe 1 Julai 2025. Bi. Baine anachukua nafasi ya Bw. Logan Wort, ambaye ametumikia kama Katibu Mtendaji wa ATAF tangu kuanzishwa...
  5. JamiiForums Tanzania Nani wa kulikomboa bara la Afrika?

    Afrika buana! Hivi ni ugumu wa maisha au malezi magumu tuliyokuzwa nayo ndio umetufunga akili tusitambue jema? Bara hili pekee ndilo ambapo kiongozi anayeweka mbele maendeleo ya Taifa lake na kulinda maslahi ya wananchi wake huonekana adui, hupewa majina ya dikteta, mnywaji damu, mbaguzi, asiye...
  6. JamiiForums Tanzania DOKEZO Uongozi wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika, unatuvuruga baadhi ya Wanafunzi, wanadai tumelipa fedha “hewa”

    Sisi ni wanafunzi wa mwaka wa tatu wa Shahada ya Sayansi ya Data kutoka Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika. Tunaomba msaada wa haraka kuhusu changamoto kubwa ya fedha zilizokwisha lipwa na bado tuanendelea kutozwa kila mwaka wa masomo lakini huduma zake hazikutolewa kama inavyotakiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Nitaendelea kuamini hili kua wanawake wa Kiafrika bado hawastahili High position,Wapikwe vya kutosha kwa Miaka Zaid hata 20100 huko ndio waruhusiwe.

    Kuna siku niliandika uzi...nikasema yule Rais wa ile Nchi ni kielelezo kingine kikubwa kua Wanawake wa Afrika kwenye Mwaswala ya Uongozi bado. Mods mkaula kichwa ule uzi sijui kwa sababu nilimtaja kabisa. Ila leo simtaji ila nahisi mshaelewa kama mtu ananibishia ataje kuna baadhi ya Nchi hapa...
  8. JamiiForums Tanzania Afrika haihitaji Demokrasia bali inahitaji Viongozi wenye Maono: Matajiri na Viongozi wa Nchi hii wawaze wanawarithisha Nchi ya aina gani watoto wao

    Je, tatizo la Afrika ni la kiuchumi, kiutamaduni au kisiasa? Je, ni ukosefu wa vipaji au rasilimali? Au ni bahati mbaya ya kihistoria Maswali haya yanaulizwa kila mara, lakini jibu halisi linaonekana dhahiri tunapoyaangalia mataifa ya Afrika kwa macho ya ukweli usiofungwa na siasa wala hisia...
  9. JamiiForums Tanzania Day 3: JamiiAfrica inashiriki Mkutano wa 14 wa Afrika wa Utawala wa Mtandao (AfIGF2025) JNICC Mei 29-31, 2025

    Leo ni Siku ya Mwisho ya Mkutano wa Jukwaa la Utawala wa Intaneti Afrika (AfIGF) 2025, unaofanyika katika Ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam. Kwa siku 3, wadau mbalimbali kutoka barani Afrika wamekutana kujadili mustakabali wa usimamizi wa intaneti kuanzia haki za kidijitali, usalama mtandaoni...
  10. JamiiForums Tanzania Marekani na Ulaya ,iongeze Nguvu na Jitihida kuumaliza Ujamaa na Ushawishi wa wakomonisti Afrika ! Urusi, DPRK,Uchina kua Marafiki wa CCM ni HATARI !!

    Utekaji, Mauaji yanayoendelea nchini ni Kwa sababu ya Hakikisho la Uungaji mkono linaloendelea kutoka UCHINA, URUSI, NA DPRRK na Nchi wenye mlengo wa Ujamaa !!. Maana yake nini ? CCM inaenda kua Chama chenye kiburi kikubwa sana kupitia hayo Mataifa, in turn Uranium itaenda Urusi kwa mikataba ya...
  11. JamiiForums Tanzania Marefarii wanaotambulika na FIFA kutoka Afrika ya Mashariki

    Kutoka Kenya Kutoka Uganda Kutoka Rwanda Kutoka Burundi Kutoka DRC =Zero Kutoka South Sudan Kutoka Somalia Kutoka Tanzania
  12. D

    JamiiForums Tanzania AIBU KUBWA SANA: Hawa ndio Wakurugenzi wakubwa wa Makampuni ya mitandao ya simu Afrika Ya Mashariki. Hakuna Mtanzania hata mmoja

    Wakurugenzi Wakuu (CEOs) wa Makampuni ya Mitandao ya Simu Tanzania, Kenya na Uganda. Tanzania. 1. Vodacom - Philip Besiimire - Uganda 2. Airtel Tanzania - Charles Kamoto - Malawi 3. Yas - Pierre Canton-Bacara - France 4. Halotel - Nguyen Tien Dung - Vietnam Kenya 1. Safaricom - Peter Ndegwa...
  13. JamiiForums Tanzania Day 1: JamiiAfrica inashiriki Mkutano wa 14 wa Afrika wa Utawala wa Mtandao (AfIGF2025) JNICC Mei 29-31, 2025

    Kuanzia leo Mei 29 hadi 31, 2025, JamiiAfrica inashiriki katika Mkutano wa 14 wa Afrika wa Utawala wa Mtandao (AfIGF2025) unaofanyika Dar es Salaam katika Ukumbi wa JNICC. Mkutano huu unawakutanisha wadau mbalimbali kutoka Serikalini, Sekta binafsi, Asasi za Kiraia na Vijana ili kujadili kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 34, Mei 28, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=DHqu2q18Qzg "Kukamilika kwa mapitio ya Sera ya Mambo ya Nje, Toleo la 2024, iliyoambatana na mkakati wa utekelezaji wake, ikiwa ni pamoja na matumizi ya Kiswahili kama nyenzo ya diplomasia." "Katika Mwaka wa Fedha 2024/2025, Wizara iliidhinishiwa jumla ya...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zasema hapana kwa Marekani moja baada ya nyingine

    Hivi majuzi, nchi mbili muhimu za Afrika zimesema hapana kwa Marekani. Moja ni Kenya. Tarehe 19, Bunge la taifa la Kenya lilipinga shutuma za baraza la seneti nchini Marekani kwamba nchi hiyo "iliiacha Washington na kutafuta manufaa kwa Beijing", na ikaeleza wazi haki yake ya kuimarisha...
  16. JamiiForums Tanzania Mashabiki Wa Simba huenda wakawa ni Mashabiki wa ovyo kabisa hapa Afrika

    Kitendo hiki hakikubaliki popote.. Hawa wale rungu tu.. hakuna namna... UPDATE.. TAMKO LA CLUB YA YANGA..
  17. JamiiForums Tanzania China yafanya mapinduzi katika nguvu za nyuklia kwa kutumia utafiti ulioachwa na marekani — funzo kwa taifa letu

    UTANGULIZI: UTAWALA WA MAARIFA KATIKA KARNE YA 21 Katika karne hii ya 21, nguvu siyo tu silaha, siyo tu fedha – bali maarifa. Taifa linalomiliki maarifa ya kisasa na kuyaendeleza lina nafasi kubwa ya kutawala mustakabali wa dunia. Hivi karibuni, China imeandika sura mpya ya mafanikio ya...
  18. JamiiForums Tanzania MOI yaendelea kung'ara katika matibabu ya mifupa barani Afrika

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeemdelea kung’ara katika matibabu ya kibingwa na kibobezi za mifupa barani Afrika baada ya kuendelea kuandaa mafunzo ya 10 kuhusu mbinu mpya na za kisasa za matibabu ya majeraha na mifupa kwa wataalam barani Afrika kwa kushirikiana na Taasisi...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge wa Juja George Koimburi aliyetekwa apatikana kwenye shamba la kahawa akiwa amejeruhiwa vibaya

    Mbunge wa Juja, George Koimburi, amepatikana akiwa amejeruhiwa vibaya kwenye shamba la kahawa Kaunti ya Kiambu. Koimburi,ambaye ni mtetezi mkubwa wa Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua, alitekwa nyara Jumapili, Mei 25, nje ya Kanisa la Full Gospel Mugutha akiwa na mkewe, Anne Koimburi...
  20. JamiiForums Tanzania Huyu kasema kweli Sarafu Afrika

    Africa needs a single currency, it will c.rush the dollar - Nigerian journalist Kemi Olunloyo Nigerian journalist and chemist, Dr. Kemi Olunloyo, has stirred fresh debate on African economic integration with a bold call for a single continental currency. In a Facebook post sighted by Ghbase...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…