afrika

  1. J

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Korea Kusini wapata maambukizi ya #COVID19 wakiwa Pwani ya Afrika Mashariki

    Waziri Mkuu, Kim Boo-kyum ameomba radhi mbele ya Umma kwa Serikali ya Korea Kusini kushindwa kuzingatia #Afya za Askari wake wa Kikosi cha Maji Wanajeshi hao wa Korea Kusini wako kwenye doria maalum ya kukabiliana na Uharamia katika Pwani ya Afrika Mashariki Wizara ya Ulinzi imethibisha kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Je, wajua anayeiangamiza Afrika ni nani?

    Watanzania tuwe macho na hawa watu mana tunawezakuangamia kama si kuharibu kizazi chetu kijacho. Watu hawa wana ushawishi mkubwa kwenye jamii, na kwa muonekano wao ukiwaangalia kwa haraka ni watu wenye huruma sana kwetu na maneno yao ukiyasikiliza kwa haraka unaweza ukahisi ni watu wametumwa...
  3. JamiiForums Tanzania WHO: Vifo vya Covid19 vimeongezeka kwa 43% kutokana na uhaba wa vifaa tiba Afrika

    Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani(WHO) kanda ya Afrika, Matshidiso Moeti amesema wagonjwa wa #COVID19 wamekuwa wengi, nchi 10 zina uhaba mkubwa wa vitanda na oksijeni Kutokana na uhaba wa vifaa tiba ndani ya wiki moja vifo vimeongezeka kwa 43%. Huku 83% ya vifo vikirekodiwa zambia, Uganda...
  4. JamiiForums Tanzania Japan: Wachezaji wawili wa Afrika Kusini wapatikana na maambukizi ndani ya Kijiji cha Olimpiki

    Wachezaji wawili wa Afrika Kusini ambao wapo nchini Japan kushiriki mashindano ya Olimpiki wamethibitishwa kuwa na maambukizi ya virusi vya corona siku ya Jumamosi, wakitajwa kuwa washiriki wa kwanza wa mashindano hayo kupata maambukizi ya virusi vya corona wakiwa ndani ya Kijiji cha Olimpiki...
  5. L

    JamiiForums Tanzania China yakaribisha nchi nyingine kujiunga nayo kushirikiana na Afrika katika mapambano dhidi ya COVID-19

    Katika mkutano wa wakuu wa China, Ufaransa na Ujerumani uliofanyika hivi karibuni kwa njia ya video, rais Xi Jinping wa China alitoa wito kwa Ulaya kutoa chanjo dhidi ya COVID-19 kwa Afrika, na pia kuisaidia kukabiliana na shinikizo la madeni linalotokana na janga hilo. Juu ya hilo, kuna vyombo...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kimataifa ya Nelson Mandela: China na Afrika ziko pamoja kithabiti katika vita dhidi ya ubaguzi wa rangi

    "Kengele inalia, ikimwita arudi nyumbani, kama ni kusikitika na maisha yake. Kitu ngozi nyeusi inachomletea ni pambano la kujitolea kwa watu wa rangi zote.” Miaka 31 iliyopita, aliyeguswa na hadithi ya Nelson Mandela, Wong Ka Kui, mwimbaji mkuu wa bendi ya BEYOND kutoka Hong Kong, China...
  7. JamiiForums Tanzania Ghasia Afrika Kusini: Mtanzania apata hasara ya mil 300

    Vurugu zilizoibuka wiki iliyopita nchini Afrika Kusini zimemrudisha nyuma kimaisha Mtanzania Omari Juma, anayeishi na kufanya shughuli zake nchini humo. Juma, aliyekuwa akimiliki studio na kiwanda cha kuchakata chupa za plastiki kwa kushirikiana na raia wa Cameroon, Alino Alino, amejikuta...
  8. JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zaiomba Benki ya Dunia msaada wa Tsh. Trilioni 231.9 kukabiliana na Corona

    Wakuu wa nchi 13 za Afrika wamekutana Abidjan nchini Ivory Coast na kufanya mazungumzo ya jinsi ya kuhuisha uchumi kutokana na athari za virusi vya corona, kuongeza uwekezaji na upatikanaji wa ajira. Mkutano huo umefunguliwa na Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast aliyetoa wito kwa Benki ya...
  9. JamiiForums Tanzania Kaipo cha ndoa Afrika inabidi turuhusiwe kusema NITAJARIBU kuliko kusema NDIO

  10. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vita ya pili ya Chimurega: Mapambano ya Afrika yanaendelea

    Ni mwaka mmoja sasa tangu Ndugu yetu Benjamin William Mkapa alivyotangulia mbele za haki tarehe 24 Mwezi wa Julai mwaka 2020. Nitumie fursa hii kushiriki nanyi kurejea hekima zake ili zituongoze kuleta maendeleo endelevu nchini kwetu. Nianze kwa kukiri kuazima kichwa cha habari kutoka kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz mali anazotambia akizigeuza fursa atakuwa bilionea wa kwanza kijana Afrika

    Na Andrew Chale(MNGONI ORG) Msanii wa muziki wa kizazi kipya Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz ambaye kwa sasa amekuwa akizidi idadi kubwa ya mashabiki amekuwa ndo msanii anayezungumziwa kila kukicha kufuatia kupost vitu vya kifahari. Msanii Diamond amekuwa akipost magari na majumba pamoja na...
  12. JamiiForums Tanzania Uhuni unaoendelea nchini Afrika Kusini hauvumiliki

    Habari Wana JF natumaini mpo njema, Husika na kichwa hapo juu, Wote tunaona yanayoendelea Huko bondeni Kwa madiba, Hivi wale ndugu zetu kwa zile akili zao sijui hata nisemaje maana imekua too much aisee. Yaani katiba ya nchi inamuwajibisha Rais mstaafu Kwa Yale mambo aliyoyatenda akiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Picha ya siku: Kinachoendelea Afrika Kusini

    Kinachoendelea Afrika kusini ni baada ya kuwepo kwa: 1. Uongozi mbovu katika nchi,yaani kuwa na Taifa ambalo uongozi umefeli kudeliver leadership. 2. Tofauti ya kipato na maisha kati ya Tajiri na masikini kuwa kubwa sana. 3. Ukosefu wa ajiri uliopitiliza. 4. Watu kuwa na chuki pamoja na...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM ina kitu cha kujifunza kinachotokea kuhusu Rais Mstaafu Zuma nchini Afrika Afrika

    Nafkiri Serikali ya CCM na Watanzania kwa ujumla wetu kuna kitu cha kujifunza kupitia VURUGU zinazoendelea kuhusu kifungo cha ZUMA. Kiuhalisia asilimia kubwa ya hao wanaondamana na kuleta fujo ni wale ambao wameona wamepata FURSA ya kuonyesha na kupunguza STRESS na HASIRA zao kwa mambo mengi...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ameongeza wiki mbili nyingine za “lockdown”

    Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ameongeza wiki mbili nyingine za “lockdown” kama njia mojawapo ya kupunguza maambukizi ya Covid- 19 nchini humo. Hatua hiyo imekuja kutokana na kuongezeka kwa idadi ya watu waliopata maambukizi ya ugonjwa wa Corona nchini Afrika ya Kusini. Ramaphosa alisema...
  16. JamiiForums Tanzania Maandamano yaendelea kushika kazi Afrika Kusini kufuatia kukamatwa kwa Jacob Zuma

    Mamia ya watu wamekamatwa nchini Afrika Kusini huku ghasia zikienea kufuatia kufungwa jela kwa rais wa zamani Jacob Zuma. Waandamanaji wanaomuunga mkono Zuma kwanza waliingia mitaani baada ya kiongozi huyo wa zamani (79) kujisalimisha kwa mamlaka Jumatano ili kuanza kifungo cha miezi 15...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau, mna maoni gani kuhusu vurugu inayofanyika Afrika Kusini?

    Wadau, wiki iliyopita nimekuwa nikitazama hii kesi ya Jacob Zuma. Zuma alifungwa kifungo cha miezi 15. Alikamatwa usiku wa kuamkia Alhamisi. Wafuasi wake wakaanza kuandamana. Usiku wa kuamkia juma mosi walichoma trucks (Ukipenda trela yaani yale malorry makubwa) zaidi ya 30. Baada ya kuchoma...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Afrika tusichimbe mfereji hadi Israel na Uarabuni kuwauzia maji?

    Nilikua naangalia nchi kama Jordan walivyo na changamoto ya maji yaani maji ni shida aisee Nikaangalia na Israel si haba wanajitahidi japo changamoto, nchi nyingi za kiarabu wana shida ya maji kinoma nachomaanisha hawana vyanzo vya uhakika vya maji. Africa mito mingi huishia baharini tu yaani...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Hongera wanawake wa Afrika Mashariki, lakini kuna ya kujifunza kutoka kwa wanawake wa China

    Katika nusu ya kwanza ya mwaka huu eneo la Afrika Mashariki limeng’ara tena kwenye ramani ya dunia, kwa wanawake wake kuwa kwenye nyadhifa za juu za utawala. Kwanza ni nchini Tanzania ambako rais Samia Suluhu aliapishwa kuwa Rais, na nchi Kenya ambako Bibi Martha Koome alichaguliwa kuwa jaji...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa Afrika wanapenda kuvaa nguo za label ya gharama tofauti na Matajiri Wazungu

    Mzee Bozi Boziana amevaa track suit ya Christian Dior lakini Bill Gate, Mark Zuckerbergs hata Jeff wa Amazon huvaa nguo za kawaida sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…