Namnukuu waziri wa katiba na sheria hapa chini:
"Sio vizuri sisi tusiwe ndani ya Mahakama [ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu-AfCHPR] ikiwa ipo kwetu, Rais wake ni Mtanzania. Jambo la msingi tupeni muda serikali tutaonesha kwa matendo."- Waziri wa Katiba na Sheria, George Simbachawene...
Na Tom Wanjala
Ikiwa nchi ya pili kwa ukubwa wa uchumi duniani, China husaidia kutunga sera na kutoa ajenda ambazo zimechangia kutoa mwelekeo wa masuala mbalimbali. Mkutano wa Bunge la Umma la China ulioanza tarehe tano mwezi Machi na kumalizika tarehe 11 mwezi Machi mwaka huu, ulifuatiliwa kwa...
Wadau kutoka Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) kwa pamoja wametembelea Wizara ya Katiba na Sheria na kukutana na Waziri George Simbaachawene ambaye ameteuliwa kushika nafasi hiyo akichukua nafasi ya Prof. Palamagamba Kabudi.
Msafara huo wa THRDC uliongozwa na Mwenyekiti...
“Waraka mkuu Nambari 1” wa China kuhusu kuhimiza kwa kina maendeleo ya sehemu za vijijini ulitolewa hivi karibuni, na kuamsha shauku kubwa kutoka kwa watunga sera wa Afrika, haswa wadau wa sekta ya kilimo na vijiji. Mnamo Desemba 2020, China ilitangaza ushindi katika kupunguza umaskini, na watu...
Ijumaa hii ya tarehe 11, Diamond Platnumz anaachia ep yake ya kwanza tokea aanze mziki... Ep hiyo kaipa jina la FOA (First Of All) ambayo hash tag yake #FOA imejizolea umaarufu kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii
Kwa kuangalia mapokezi ya jina tu, basi naamini hii ep itaenda kuacha historia...
Tanzania imefanikiwa kupokea baadhi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika ambao baada ya miongo kadhaa ya kuishi huko wameona warejee kwenye asili yao na kuichagua Tanzania kama sehemu watayoita nyumbani.
Hii ni fursa adhimu kwa Tanzania kuendelea kuboresha huduma mbali mbali ili kuendelea kuwa...
Mada tajwa hapo juu ni juu ya hawa African leaders.
Viongozi wetu wa Afrika wanakaa kimya juu ya vita ya Urusi na Ukraine kwasababu wanaogopa watanyimwa misaada.
Wataongea nini wakati wanaopigana ndio tunaowategemea. Nchi zinazo jitegemea tu ndio zinaweza kuongelea hiyo vita na kutoa ushauri...
TIMU ya Taifa ya Pooltable Waanaume imeanza vyema mashindano Afrika kwakuwafunga majirani Kenya 13-9 katika mchezo wake wa kwanza wa mashindano hayo yaliyoanza leo Nchini Zambia.
Mashindano hayo yameanza kwa makundi A na B ambapo kundi A ni Tanzania, Kenya Uganda na Zimbabwe wakati kundi B ni...
Naona Western Bloc wanataka kubaki peke yao wanapiga propaganda vita ya Urusi na Ukraine ambapo Multichoice Afrika maarufu kwa kisimbusi chake cha DSTV imeiondoa chaneli ya Urusi ya Russia Today(RT) ambapo kwenye tamko lake wakisema hatua hiyo wamelazimika kuichukua kutokana na vikwazo...
Libya ilivamiwa na US kwa ushirika wa Ulaya na hasa Uingereza na Ufaransa. Wakaona ni haki yao kuvamia Libya na kumuondoa rais na hata akalawitiwa na wafuasi wao. Hakuna nchi ya kiafrika iliyolaani kwa nguvu au kujitokeza kupeleka kwenye baraza la usalama la UN. Ulaya pia hakuna aliyeandamana...
Na Kelly Ogome
Zaidi ya nusu ya wakazi wa Afrika wanategemea kilimo. Ripoti ya benki ya dunia ya mwaka wa 2018 inaeleza kuwa asilimia 4% ya pato jumla la dunia linatokana na kilimo, huku nchi zinazoendelea kama za Afrika zikitegemea kilimo kwa zaidi ya asilimia 25%. Aidha ukame, mvua kidogo...
Nina Kumbukumbu ya nchi kadhaa barani Afrika ( ikiwepo Kenya ) na hata za huko Kwingineko duniani zilizokuwa na 'Kiherehere' cha kuwa Vinara wa Upambanaji wa Ugaidi duniani jinsi ambapo ziligeuka kuwa 'Target' ya Mashambulizi ya Makundi ya Ugaidi yaliyopelekea Vifo na Uharibifu mwingi.
Je...
Hawa jirani zetu Tanzania na Uganda huwa wanatuaibisha sana. Kenya tuna upweke sana ukanda huu. Ukanda huu sarafu zote isipokuwa ya Kenya ni za madafu. Halafu kumbe sarafu ya Tanzania ndio mbovu kuliko zote Afrika dhidi ya dollar ya Marekani? Yaani mna sarafu nyonge sana.
Wakati Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing ikikaribia, mitaa ya Beijing imeanza kuwa na mazingira ya shamrashamra kwa michezo hiyo. Kazi mbalimbali za maandalizi ya viwanja vya michezo, utoaji wa huduma, utangazaji n.k zote zimemalizika.
Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) limeonya kuwa eneo la Pembe ya Afrika linakabiliwa na ukame mbaya zaidi tangu mwaka 1981, na takriban watu milioni 13 wanakumbwa na njaa.
Katika miaka ya hivi karibuni, China imetuma wataalamu wengi wa kilimo barani Afrika ili kulisaidia...
Katika muda wa miongo miwili iliyopita ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika umekuwa ukibadilika na kugusa mambo mengi, badala ya ushirikiano kwenye mambo ya kisiasa tu, au ushirikiano wa upande mmoja (yaani upande wa China), kuusaidia upande mwingine (yaani upande wa Afrika), kama...
Wakati ushirikiano baina ya China na Afrika ukiendelea kuwa wa karibu zaidi, mipango mbalimbali ya kutokomeza umasikini na kuleta maendeleo kati ya pande zote mbili imeingia katika hatua mpya. Ni kutokana na mtazamo huu ndio maana Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC lilianzishwa...
Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika inaendelea kwa sasa, ni msimu wa 2021/22 lakini kuna matukio kadhaa ambayo inawezekana yakawa na maana tofauti kuhusu soka la Afrika.
Wababe wa Misri, Al Ahly licha ya kuchukua nafasi ya tatu hivi karibuni katika Klabu Bingwa Dunia walipoenda kushiriki...
Kwema Wakuu!
Kwa yanayoendelea mataifa ya kiarabu na sasa habari inayovuma ni Uvamizi wa kijeshi wa taifa la Urusi Kwa Taifa la Ukraine ni dhahiri kuwa Waafrika hawana namna ya kufanya zaidi ya kuwa Vibaraka.
Sisi ambao hatujawahi kushika nafasi za juu katika nchi tunaweza kuwalaumu hawa ndugu...