afrika mashariki

"Wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki" or "Jumuiya Yetu" (English: "East African Community anthem") is the national anthem of the East African Community. It is a Swahili language hymn.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Morocco

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Morocco nchini Tanzania Mhe. Zakaria El Guomiri, Kikao hicho kimefanyika leo Julai 02, 2025 kwenye ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam, ambapo...
  2. JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya madawa ya kulevya yapamba moto Afrika mashariki

    Polisi katika Kaunti ya Migori mnamo Alhamisi walimkamata mshukiwa wa ulanguzi wa dawa za kulevya mwenye umri wa miaka 32 na kunasa shehena kubwa ya bangi yenye thamani ya takriban Ksh.13.7 milioni. Wakipokea taarifa, maafisa wa Kituo cha Polisi cha Oruba walinasa gari nyeusi aina ya Toyota...
  3. JamiiForums Tanzania Dr Wilbroad P. Slaa: Afichua mpango wa siri CCM kuitaka CHADEMA iandae wagombea uchaguzi mkuu 2025

    https://youtu.be/DzhhwThYJOY?si=IRsW6tOKSbFXAH_f Very unfortunately kuwa, wanasema haya wakati kwa mlango wa nyuma wanawatesa CHADEMA walio kinyume na mawazo yao maovu.... Mfano; CCM wanawezaje kuwa na hoja ya namna hii wakati Mwenyekiti wa chama kikubwa CHADEMA, mshindani mkuu wa chama...
  4. JamiiForums Tanzania Bilioni 63.2 za Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (EADB), zasainiwa ili kuwezesha Taasisi za Fedha Tanzania

    EADB YATOA BILIONI 63.2 KUZIWEZESHA TAASISI ZA FEDHA TANZANIA Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (EADB) imesaini hati ya makubaliano ya utoaji wa mtaji wa jumla ya shilingi bilioni 63.2 kwa ajili ya kuziwezesha taasisi tatu za kifedha nchini Tanzania katika shughuli za utoaji mikopo kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Afrika Mashariki Wamfuate Trump White House

    "Huu ndio wakati sahihi kwa wanaharakati wa Afrika Mashariki hususani Kenya, Uganda na Tanzania kupanda ndege (kwa ufadhili wa mashirika yasiyoeleweka), waungane na Gen Z team waende Marekani, waandamane mbele ya White House wakisema: 'Trump must go!' maana dunia haitapata haki bila wao, wala...
  6. JamiiForums Tanzania Mjue Ibrahim Abdalla Akasha: Pablo Escobar wa Afrika Mashariki

    Mtu Aliyetawala Biashara ya Dawa za Kulevya... Alilelewa huko Mombasa na wazazi wa kiPakistani, akianza kama mjasiriamali halali, akiendesha kampuni ya usafirishaji Akasha Transporters, ikiingiza mizigo ndani na nje ya Kenya kupitia bandari ya Mombasa. Je, umewahi kufikiria jinsi Bandari ya...
  7. JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 34, Mei 28, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=DHqu2q18Qzg "Kukamilika kwa mapitio ya Sera ya Mambo ya Nje, Toleo la 2024, iliyoambatana na mkakati wa utekelezaji wake, ikiwa ni pamoja na matumizi ya Kiswahili kama nyenzo ya diplomasia." "Katika Mwaka wa Fedha 2024/2025, Wizara iliidhinishiwa jumla ya...
  8. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Bajeti 2025-2026 ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

    Ni kesho 28 Mei, 2025 Hotuba ya Bajeti 2025-2026 ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Usikose kufuatilia.
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge wa Juja George Koimburi aliyetekwa apatikana kwenye shamba la kahawa akiwa amejeruhiwa vibaya

    Mbunge wa Juja, George Koimburi, amepatikana akiwa amejeruhiwa vibaya kwenye shamba la kahawa Kaunti ya Kiambu. Koimburi,ambaye ni mtetezi mkubwa wa Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua, alitekwa nyara Jumapili, Mei 25, nje ya Kanisa la Full Gospel Mugutha akiwa na mkewe, Anne Koimburi...
  10. JamiiForums Tanzania Watumwa kutoka Afrika Mashariki

    Watumwa wengi kutoka Tanganyika na Afrika Mashariki walipelekwa Uarabuni na Afrika Magharibi walipelekwa Marekani kusini na kazkazini kama mnavyoona hapa chini
  11. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM imeji dhalilisha ndani ya Jumuia ya Afrika Mashariki na dunia nzima kwa 100%

    https://youtu.be/8KZulT0i1nk?si=OmucN8PMwbOADTlj Kwa unyama huu waliotendewa Wanasheria na Wanaharakati toka nchi za jirani zetu Kenya na Uganda kimeharibu kabisa uhusiano wa kidplomasia. Tujiulize: Kulikuwa na ulazima gani wa kuwakamata, kuwatesa na kuwa dhaliilisha kingono baadhi yao? Mtu ni...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanzania itakuwa imeingia kwenye mzozo mbaya wa kidiplomasia na nchi za Afrika Mashariki

    Mimi ni mmoja ambao sijafurahishwa na namna raia wa Kenya na Uganda walivyobagazwa na kutwezwa utu wao na mamlaka za Tanzania. Kitendo cha viongozi wakubwa wa Kenya na Uganda kuwa kimya muda huu, ni mlio wa sauti kubwa sana kwenye mustakabali mzima wa mahusiano ya kidiplomasia. Tanzania...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Seneta Cherargei: Kwa roho ya Afrika Mashariki, Tusaidieni kuadhibu wanaharakati wasiotii

    "Kwa Roho ya Afrika Mashariki, Tusaidieni Kuadhibu Wanaharakati Wasiotii," Seneta Cherargei Aisifu Tanzania kwa Kushughulikia Wanaharakati wa Kenya ====================== In the spirit of East Africa, assist us discipline the ill-behaved activists,” Senator Cherargei praises Tanzania's handling...
  14. JamiiForums Tanzania Mwaka 2020-2023 kulikuwa vuguvugu la Mapinduzi Afrika Magharibi. Mwaka 2025-2029 ni Vuguvugu la Mabadiliko Afrika Mashariki

    Kwanza ilianza Arab Spring mwaka 2009/10 - 2012 ambapo nchi za Uarabuni zilishuhudia vuguvugu la Mabadiliko ya Tawala zake. Nchi za Tunisia, Libya, Misri zilipata Viongozi wapya. Miaka ya 2020-2023 likaja vuguvugu la mabadiliko ya Utawala Afrika Magharibi. Nchi za Guinea, Mali, Niger, Gabon...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakenya (Martha Karua na wenzake) waliokuja Tanzania kushuhudia kesi ya Lissu warudishwa wakiwa uwanja wa ndege Dar

    Waziri wa zamani wa Sheria nchini Kenya, Martha Karua, ameeleza masikitiko yake baada ya kuzuiwa kuingia nchini Tanzania akiwa na watetezi wengine wa haki za binadamu na mawakili wenzake, Lynn Ngugi na Gloria Kimani. Kupitia ujumbe alioweka kwenye mitandao ya kijamii siku ya Jumapili asubuhi...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais mmoja katika Jumuiya ya Afrika Mashariki yu mahututi

    Habari zilizonifikia ni kuwa kuna Rais mmoja katika nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika ya Mashariki yu mahututi na muda wowote Taifa lake linaweza kutangaziwa habari mbaya. Tukiwa kama wana Jumuiya sio vibaya tukaelekeza maombi kwa Rais huyo ili arudi katika utimamu wake na aendelee kuwatumikia...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania ni Ujerumani ya Afrika Mashariki” – Sio Kauli ya Kushtua, Ni Ukweli Unaokua

    Wengi wetu tunaposema “Tanzania ni Ujerumani ya Afrika Mashariki”, wengine hucheka, wengine hushangaa, na wachache huelewa maana halisi ya kauli hii. Lakini kwa anayechambua historia, jiografia, diplomasia, uchumi, na nafasi ya kistratejia – Tanzania inaendelea kuwa kama Ujerumani katika Ulaya...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Nimeangalia Ramani ya Afrika mashariki, Burundi na Rwanda ni ndugu zetu kabisa

    Nilikuwa naangalia Ramani ya Africa mashariki. Nikaangalia kwa makini Ramani ya Tanzania, unyoofu wake na kulinganisha unyoofu huo na Nchi zote zinazotunguka.Ni wazi Rwanda na Burundi ni Ndugu Zetu Kabisa. Sijui ilikuwaje Mwalimu akawafata Wanzanzibari na kuwaacha hawa ndugu zetu. Hawa...
  19. JamiiForums Tanzania Leo niliingia Dark Web kumbe kuna hitman wapo Afrika Mashariki kuwalipa kushugulikia yoyote

    Kwa msiofahamu mambo ya tovuti kuna upande mwengine unaitwa Dark web huko kuna kila aina ya uchafu ambao ushindwe wewe. Kwa matukio ambayo yanatokea nchini na wahusika wakijulikana wakiwa vitengo na salama na familia zao kwa nini tusitumie dark web kununua hitman na wengine mpaka wanaweka CV...
  20. JamiiForums Tanzania Balozi Mbundi aongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Makatibu Wakuu wa Afrika Mashariki

    Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Balozi Stephen P. Mbundi leo tarehe 8 Mei, 2025 ameongoza ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kikao cha Makatibu Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…