afrika mashariki

"Wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki" or "Jumuiya Yetu" (English: "East African Community anthem") is the national anthem of the East African Community. It is a Swahili language hymn.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Kida, Mkuu wa Idara ya Afrika Mashariki ya Uholanzi wakutana na kujadili shughuli za uboreshaji wa mazingira ya Uwekezaji na Biashara

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Dkt. Tausi Kida amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Idara ya Afrika Mashariki wa Uholanzi, Bi. Sanne Lowenhardt pamoja na Mshauri Maalum kuhusu Africa wa Wizara hiyo Bw. Melle Leenstra kuhusu uboreshaji wa Mazingira ya Uwekezaji na Biashara...
  2. JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa intaneti: Kebo moja ya intaneti ilikatwa mapema Jumapili katika Mji wa bandari wa Afrika wa Durban, je ni hujuma?

    Watumiaji wa intaneti nchini Tanzania, Kenya, Rwanda na Uganda wamekuwa wakilalamikia ukosefu wa intaneti huku watoa huduma kote Afrika Mashariki wakikiri kumekuwa na tatizo. Wamesema wanajitahidi kurekebisha tatizo hilo. Huduma hiyo ilikumbwa na hitilafu katika nyaya za chini ya bahari...
  3. JamiiForums Tanzania Watanzania tumeshindwa kuelewa kuwa sisi Afrika mashariki ndio wanatuona kama kioo cha jamii hususani Kenya

    Watanzania bado tujashtuka kuhusu ili li nchi letu kutokutambua kuwa sisi hapa afrika mashariki ndio role modo wa nchi zote afrika mashariki. Ukinagalia swala la sanaa kabisa unaona sanaa ya tz inapendwa niliona yule kicheche alivopokelewa congo au reyvan. Tuje kwenye maendeleo hapa tanzania...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanzania yaongoza kwa Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya habari kwa Afrika Mashariki

    Ripoti ya Utafiti iliyotolewa na Taasisi ya Reporters Without Borders (RSF) ya Mei 3, 2024 imeonesha kuwa Tanzania imeshika nafasi ya kwanza katika Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya Habari kwa upande wa Afrika Mashariki. Tanzania imepanda kutoka nafasi ya 143 kwa Mwaka 2023 hadi 97, Kenya...
  5. JamiiForums Tanzania Jose Chameleon: Msanii aliyeitikisa Afrika Mashariki

    Huyo mzungu ndiyo Dorotia mwenyewe, Kama uliwahi kusikia Ngoma ya Dorotia toka Kwa Jose Chameleon.Alikua Mpenzi wa Jose na walizaa mtoto mmoja aitwaye Ayla Mayanja Dr. Jose Chameleon aliivuruga East Africa na ngoma kali sana hit baada ya hit yani tunabandua Ugali tunabadika maharage yani...
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi Afrika Mashariki itakavojitenga na Afrika

    Historia ya mwanzo wa mabara katika dunia ni moja ya hadithi ndefu zaidi katika maendeleo ya wanadamu. Inahusisha mambo mengi kama vile mabadiliko ya tabia nchi, uhamiaji wa binadamu, na mageuzi ya kijiolojia. Katika jiolojia kinachojulikana hadi sasa kuhusu dunia kupitia. Pangaea ilikuwa jina...
  7. JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba yashika Namba Moja katika Vilabu Tajiri Zaidi Afrika Mashariki

    Hizi ndio klabu za soka zenye thamani ya juu zaidi Afrika Mashariki, kwa klabu zilizoweka wazi takwimu zao. Kutoka chanzo cha kuaminika cha TransferMarkt Klabu tatu kubwa Tanzania ndio zinaongoza katika orodha hii.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Mika Mwamba ndie Producer pekee alietengeneza biti kali za nyimbo ziliyowahi kusumbua nchi zote za Afrika Mashariki kwa mpigo

    enzi hizo Afrika Mashariki ni Tanzania, Kenya na Uganda (TAKEU) Hizi ni kazi alizoweza kufanya na wasanii wa nchi zote za Afrika Mashariki na zikawa super hits zilizoteka media za nchi zote za Afrika Mashariki. 1. Kenya - Prezzo ft Naziz (Lets Get Down) 2. Uganda - Ziggy Dee (Eno Maiki), Mad...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kuna nchi Afrika Mashariki inayomiliki ndege za kivita zisizotumia rubani?

    Katika ukanda wa Afrika Mashariki kuna inamiliki ndege zisizo na rubani kwa ajili ya vita? Kama ipo je hizo ndege ni mpya au zamani? Tunaweza kukabiliana na tishio mashambulizi kama Israeli? Kama hatuna kwanini tunakwenda kuficha majini Ukata? Tutaweza kujilinda wenyewe bila nguvu ya...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania na nchi za ukanda wa Afrika Mashariki zimejipangaje kudhibiti madhara ya ndege zisizo na rubani endapo zitapotea njia na kuja ukanda huu?

    Iran ameingia vitani na Israel kwa kurusha ndege zisizo na rubani zaidi ya 50. Pamoja na kuwa tupo mbali upo wakati vyombo na silaha za kivita ukosea target au ulazimishwa kuelekea uelekeo usio sahihi. Natambua hapo katikati kutoka Iran hadi Afrika Mashariki kuna Mataifa Mengi lakini mengi yao...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kwani kuna wa kupinga? Tanzania na Afrika Mashariki hakika Ghb Don ndiye Mfalme wa michezo ya pikipiki

    MUHIMU: MICHEZO HII NI HATARI SANA, BILA UMAKINI NA MAFUNZO WENGI WAMEPOTEZA MAISHA Ni mwamba GHB DON ni fundi na mtalam wa kuchezea pikipi, Tanzania na Afrika Mashariki hakuna mwenye uwezo wa kuchezea pikipiki namna anavyofanya, Tumezoea kuona wengi wakiweza kutambia style ya kuinua tairi tu...
  12. JamiiForums Tanzania Nimetumiwa mzigo kutoka Uingereza kuja Afrika Mashariki

    Habari za wakati huu wapendwa, Wana Jukwaa, naomba ufafanuzi. Kuna mtu amekutumia zawadi ya iPhone, laptop, na pesa taslimu $1500. Naomba msaada kwa wale wazoefu, maana mzigo ulitumwa jana usiku na umefika Kenya katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, Nairobi. Naomba msaada...
  13. JamiiForums Tanzania Enzi ya Dhahabu ya Muziki wa Afrika Mashariki (2000-2006): Kipindi cha Mapinduzi ya Ubunifu na Ushirikiano

    Bila shaka miaka ya mapema ya 2000 kuanzia 2000 mpaka 2006 ilikuwa ni kipindi cha mapinduzi makubwa katika muziki wa Afrika Mashariki. Ilikuwa ni zama za ubunifu wa hali juu, ushirikiano wa kikanda, na umaarufu wa kimataifa, mara nyingi ikirejelewa kama "enzi ya dhahabu" ya muziki wa Afrika...
  14. JamiiForums Tanzania Ukiacha Uzoba wa kutojua lugha ya Kiingereza Watanzania pia ni wa mwisho kwenye uwezo wa akili za maisha na darasani hapa Afrika Mashariki

    Saa nyingine hata ukweli mchungu usemwe bila hiana, ukiona January makamba na Cheo chake anasema CCM na serikali na vyombo vyake, ukaona utopolo utakao kwenye vichwa na midomo ya wabunge, ukiona utopolo inatokea huko kwenye mahakama, ukiona uholela unaojitokeza kwenye residential nyeti kama...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto adai Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakubaliana kumuunga mkono Odinga kuwa Mwenyekiti wa AU

    KENYA: Rais William Ruto amependekeza Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kumuunga mkono Waziri Mkuu wa zamani na Kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga anayewania nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC). Akihutubia kikao cha EALA, Rais Ruto amesema Viongozi Wakuu wa...
  16. JamiiForums Tanzania Somalia imekuwa mwanachama Rasmi wa Jumuaiya ya Afrika Mashariki

    DIPLOMASIA: Nchi ya Somalia imekuwa Mwanachama kamili wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) baada ya kukamilisha hatua zote zilizohitajika ili kuweza kupata ridhaa ya kujiunga na jumuiya hiyo Sekretarieti ya EAC imechapisha taarifa inayoonesha Ujumbe wa Somalia ukikabidhiwa Hati yake ya...
  17. JamiiForums Tanzania SI KWELI Afrika Mashariki yazindua noti yake iitwayo SHEAFRA

    Habari wakuu, Nimeona taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki imetambulisha noti yake itakayotumika katika nchi wanachama, iliyopewa jina la SHEAFRA (SHF). Wengi wameinukuu akaunti kutoka mtandao wa X (zamani Twitter) inayojulikana Government of East Africa Moja ya...
  18. JamiiForums Tanzania Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) pamoja na Balozi wa Ujerumani nchini waitembelea JamiiForums

    Leo, Februari 28, 2024, JamiiForums imetembelewa na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Christine Grau, pamoja na Thomas Terstegen, ambaye ni Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Ujumbe wa Mabalozi hao umepata nafasi ya kukutana na Watendaji wa JF na...
  19. JamiiForums Tanzania Tanga: UWASA yazindua Hatifungani ya kwanza Afrika Mashariki ya Miundombinu ya Maji yenye thamani ya bilioni 53.12

    Tanga: Hatifungani ya kijani ya miundombinu ya maji yenye thamani ya Shilingi bilioni 53.12 imezinduliwa na Mamlaka ya Maji Tanga, taasisi ya serikali inayojitegemea. Hatifungani hii ya kwanza katika historia ya masoko ya mitaji nchini na ukanda wa Afrika Mashariki, inalenga kugharamia mradi wa...
  20. JamiiForums Tanzania Marekani yaanza mazoezi yake makubwa zaidi ya kijeshi Afrika Mashariki

    Mazoezi ya kijeshi yanayoongozwa na Marekani kwa jina "Justified Accord" yanaanza nchini Kenya Jumatatu, huku zaidi ya mataifa 20 yakishiriki katika tukio ambalo limetajwa kuwa kubwa zaidi la aina yake katika Afrika Mashariki. Zoezi hilo la siku 11, ambalo litakamilika Alhamisi ijayo, linalenga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…