africa

  1. JamiiForums Tanzania Senior Manager; Credit Risk (Wholesale & Business Banking) at NMB Bank

    Senior Manager; Credit Risk (Wholesale & Business Banking) (1 Position(s)) Job Location: Head Office, Hq Job Purpose: Responsible for wholesale and Business Banking portfolio in safeguarding compliance in lending practice and assist to limit credit risk exposure within acceptable parameters...
  2. JamiiForums Tanzania Mzazi kama una kijana South Africa hasomeki, Tafadhali mama mkanye mwanao

    Kuna wimbi la vijana wa hovyo panya road typical hatimaye wametinga kwa Kaburu. Kuna wimbi la vijana panya road type sasa wamevuka mipaka wameanza kuwakaba mpaka Watanzania wenzao na wengine wakishavuta bangi zao hujiona ni Wamarekani na kujipost wakiwa na silaha za moto. Sasa azimio ni moja...
  3. JamiiForums Tanzania Safaricom yaweka rekodi Africa Mashariki kufikisha mapato ya dollar billion 1 kwa mwaka

    Wiki hii kampuni ya simu ya Safaricom ya Kenya imefikisha mapato ya dollar bilioni 1.07 kwa mwaka na kuifanya kampuni ya kwanza katika ukanda wa Africa Mashariki kufikisha na kupita kiwango cha mapato ya dollar bilioni kwa mwaka.
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania's Faustine Ndugulile secures important endorsement for the WHO Regional Director for Africa position

    Tanzania has nominated Dr. Faustine Ndugulile as its candidate for the Regional Director for Africa position at the World Health Organization (WHO). The country has received an endorsement for Ndugulile from 16 countries in the Southern African Development Community (SADC) and seven others...
  5. JamiiForums Tanzania ATAF New Initiative Targets Tobacco Taxation to Combat Public Health Crisis and Boost Revenue in Africa

    Dar es Salaam Tobacco use, the leading cause of preventable deaths worldwide, continues to pose a significant public health challenge, claiming the lives of 8 million individuals annually, according to the World Health Organization (WHO). In response to this crisis, the WHO Framework...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa hili lililotokea leo kwenye mechi kati ya Simba na Tabora basi Tanzania na Africa hatuwezi kusonga mbele kwenye mpira

    Waamuzi kama Amina na Tatu Malogo ambao wanaonesha dhahiri ushabiki wao na kununuliwa kwao na Simba basi Tz na Africa hatuwezi kufika kokote kwenye Dunia ya michezo. Jambo hili lilionekana pia kule South Africa baada ya Vyura kukataliwa bao lao la wazi kabisa. Mechi ya Leo ni wazi kuwa Tabora...
  7. JamiiForums Tanzania alx Africa naona sasa kuna fee ya kujiunga

    Coding Bootcamp hii ambayo ilikuwa maarufu kwa kuwa bure kabisa naona wameweka admin fee ya $150 - $300 kujiunga na kozi, inaelekea walianza mwaka jana. https://www.alxafrica.com/payment-cancellation-policies/ Tuliwahi kujadili alx hapa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upo uwezekano wa Arusha kutoka kuitwa Geneva of Africa na kuitwa Wadudu City, tunavurugana

    Arusha inasifika kwa utalii.....Arusha ni jiji linalokutanisha watu wa makundi mbalimbali kwa sababu ya hali yake ya hewa. Katika ukanda wa Afrika Mashariki DAR imeshindwa kushindana na Nairobi kwa sababu hali ya DSM ni joto na hivyo uvutia watu wachache kuishi ikilinganishwa na Nairobi ambayo...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Waafrika hatulimi matunda yetu ya asili?

    Katika matunda ya asili ya Afrika ni matikiti tu ndiyo yanalimwa sana. Mengine yameachwa maporini na yanazidi kupotea. Kwanini Afrika hatulimi matunda yetu ya asili? Ni matunda gani ya asili yanapatikana kwenu na ungependa kuona yanalimwa?
  10. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini wajanja sana kwenye moves za dancing

    Unajua me mtu wa vibe maisha na mziki muda wote sasa mimi Sina kipaji cha kucheza najua kwaito tu sasa wasouth kila siku wanaleta style mpya. Kuna hii ya amapiano ya tshwala bami una shake tu mabega hata kana hujui kucheza hii haikushindi. Vibe na style hii huiwezi basi we ni kilaza.
  11. JamiiForums Tanzania Chief Finance Officer at United Bank for Africa (UBA) April, 2024

    Position: Chief Finance Officer Location: Head Office JOB OBJECTIVE(S) To oversee all activities relating to financial management and financial reporting in the subsidiary. ROLE AND RESPONSIBILITIES • Implement financial policies, processes and internal control to increase organizational...
  12. JamiiForums Tanzania Ukweli lazima usemwe Yanga SC iachane na kuingia mikataba ya udhamini ya kitoto maana ishakua taasisi kubwa Afrika

    Nimeshangazwa kuona Yanga sc inaingia na mkataba na kampuni inayofahamika kinondoni ilala na temeke tu na bidhaa zake inauzia palepale Daresalaam tu tena kuna baadhi ya maeneo ya Daresalaam haifahmiki na haiuzi kiufupi hii kampunu ni janja janja tu Wanajiita SILVER INVESTMENT walingia mkataba...
  13. JamiiForums Tanzania Hizi ndiyo timu kutoka Africa zitakazo shiriki michuano ya FIFA klabu bingwa dunia

    kwa bara la Afrika zimeingia timu nne tu katika michuano ya klabu bingwa dunia, michuano hii ipo chini ya FIFA Al ahly kutoka nchini Misri Wydad kutoka nchi ya Morocco Mamelody sowndowns kutoka nchi ya south Africa Esperance de tunis kutoka nchi ya Tunisia NB: Kuna timu kutoka Tanzania...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii Afrika kuja kujitegemea ni ngumu sana

    Prof. Michael Hudson Mchumi kutoka Marekani anasema kuwa sababu zinazopelekea deni la Afrika kuwa tofauti na la Marekani ni kwasababu deni la Marekani lipo katika sarafu yake (Dola) Hivyo Marekani inaweza kujichapishia fedha zake na kulipa deni lakini Afrika deni lake halipo katika sarafu...
  15. JamiiForums Tanzania Jihadhari na jumbe hizi; usiingie link ya “UNICEF Foundation Africa”

    Halo wanna intelligent, Lengo la kuja hapa ni kukupa taahadhari Kuna jumbe feki zinatembea mitandao ya kijaamii kua unicef Africa inagawa hela za bure kwa watu huo ni utapeli na UNICEF wamesema hawafanyi huduma hio watu wanaingiliwa acc Kisha inaandika umepokea mill 2700000 from UNICEF hao ni...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Afrika ndiyo kinara wa kufanya kazi ngumu lakini kisukari ni tishio je kazi ngumu sio mbadala wa mazoezi?

    Afrika watu wanafanya kazi ngumu sana lakini bado kisukari ni tishio, nilikuwa Dodoma kukawa na upimaji wa Bure Cha kushangaza vijana below 40 wengi tu wana sukari. Nikazama gugo kudadisi statistics zinatisha watu jamii ya black race wapo kwenye risky ya kupata kisukari ukilinganisha na...
  17. JamiiForums Tanzania Leaders of the Ahmadiyya from Sub-Saharan Africa participated in the Seminar to discuss the challenges of ethics

    Leaders of the Ahmadiyya Community from Sub-Saharan Africa have gathered in Tanzania for a two-day seminar (20th April and 21st 2024). The seminar, held in Dar es Salaam, focuses on discussing ethical issues in the participating countries. The participants include leaders aged 40 and above...
  18. JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba yashika Namba Moja katika Vilabu Tajiri Zaidi Afrika Mashariki

    Hizi ndio klabu za soka zenye thamani ya juu zaidi Afrika Mashariki, kwa klabu zilizoweka wazi takwimu zao. Kutoka chanzo cha kuaminika cha TransferMarkt Klabu tatu kubwa Tanzania ndio zinaongoza katika orodha hii.
  19. JamiiForums Tanzania Watanzania ndiyo raia waungawana zaidi Africa Mashariki?

    Huwa kuna kauli zinasemwa au zinaandikwa kwamba "...arudi kwao Rwanda au Burundi", "huyo atakuwa Mtusi", "Watanzania hatuko hivyo" n.k Kwa nini inadhaniwa watu wa Rwanda na Burundi kuwa wana roho mbaya sana kuliko Watanzania? Nini kinatufanya au kinaashira tuamini kwamba sisi ni watu...
  20. JamiiForums Tanzania Filamu Zilizotabiri ‘Future of Humanity’ kwa Usahihi

    "Hakuna mwenye uwezo wa kutabiri mambo yatakayotokea wakati ujao kwa usahihi isipokuwa Mungu pekee". Hivyo ndivyo wanasema, maana yeye pekee anatambua mwanzo na mwisho wetu. Wataalamu wengi wamejaribu kufanya hivyo, wengi wameaibika na wengine kuapa kabisa kamwe hawawezi kuja kutabiri, baada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…