---
Kujiamini na matarajio vinaendelea kuongezeka kuelekea Kombe la Mataifa ya Afrika 2027 (AFCON), huku Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) likijaribu kuzima tetesi zinazoongezeka kuhusu utayari wa mashindano hayo.
Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Rais wa CAF, Patrice...
Lela Said Idi became the first woman in Kenya and East Africa to earn International Boxing Association Star 3 Refereree Certification, the highest certification in amateur boxing refereeing course.
Africa is rapidly positioning itself as a global leader in solar energy growth, with installed solar capacity expanding at a pace unmatched in many other regions. While solar adoption has slowed in parts of Europe and North America, African countries are accelerating investment in renewable...
Southern Africa continues to make its mark globally, according to the latest Times Higher Education World University Rankings 2026, which assessed 2,191 universities in 115 countries.
Here are the Top 10 universities in Southern Africa:
University of Cape Town (SA) – #164 globally...
Amrisho la dini la wanawake wote duniani kuvaa hijabu, niqab au burqa kwa minajili ya stara lina walakini mkubwa sana kwa sababu halizingatii muktadha wa maumbile na tamaduni za jamii tofauti za binadamu.
Kwa Waafrika weusi kiasilia wanawake wengi wana miili mikubwa sana(mawowo) na wanaume...
"When Samia Suluhu became Tanzania’s first female president in 2021, after the sudden death in office of her predecessor, there were hopes that her presidency would mark a break from authoritarian rule. She lifted a ban on opposition rallies, allowed the media to operate more freely, and called...
Abdul Malik xxxxx tupo naye ubalozini akiwa ni Mwambata wa Balozi wa Egypt hapa nchi X. Tulikuwa na meeting na katika maongezi tukizungumzis mambo kadhaa wa kadhaa akaanzisha mazungumzo about siasa za Tz na last election.
Bahati mbaya nilimwambia mimi ni mfanyabiashara from Tz sikumwambia hasa...
Waliona namna watu walivyokuwa confused toka utotoni na mambo ya kufikirika na pia wakaangalia ni namna gani mtu mwenye msongo na confusion anapenda maneno ya faraja
Waka combine hivo vyote lakini ili kuongeza kuaminiwa zaidi inabidi wajipatie title, sasa ndo maana kila mmoja wao either ajiite...
T.
It's the same old theme since 1916,
They are still fighting, with their #Tanks, #Guns and #Bombs 🐾
The #zombies in your Head!
@Mg 💕🫂 #CHEM 🌎
📍MORE blessings to family, friends & X
🙏🏿
Let's complete the game 💰📶🛣️
Ugandan President Yoweri Museveni has called on African nations to unite militarily and strategically to safeguard the continent’s security, arguing that while major powers such as the United States possess overwhelming superiority in air and naval forces, Africa could hold a significant...
NAPENDA KUMSHUKURU MAMA WA AFRICA AU DR SAMIA SULUHU HASSAN KWA KULIVUSHA TAIFA LETU LA TANZANIA SALAMA.
Yakiwa yamebaki masaa machache kuufunga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka 2026, haitokuwa busara na hekima kukaa kimya bila kutoa pongezi zetu za dhati kwa Mama wa AFRICA kama anavyotambulika...
Kwanini watu wengi huikimbia Africa wanapopata fursa hata ndogo tu.
Anthony Joshua ni bondia maarufu duniani na Tajiri wa mamilioni ya dollar na hivi karibuni ameingiza karibu dollar millioni 100/-
Ila alipopata ajali hapo Logos Nigeria hakukua na huduma ya haraka, hakukua na Ambulance 🚑...
Leo kuna kijana anataka kwenda south Africa kutafuta maisha alinipigia na yupo mkoa fulani siwezi kutaja.
Kwa tafiti zangu za kuzurura na kutembea sana ila kule sasa sio pakutafuta maisha kwa mtu ambaye shule huna, unakwenda kwa kutumia viza za miezi,huna kibari cha kazi.
Waliofaidi ni wale...
Misukule wanauliza pengine mlio timamu muwasaidie kufikisha maswali yao kwa watawala wake
1).Lengo nia au dhamira ya mtawala/watawala ni ipi?
2).Wanasema mnataka wao wawaeleweje?
Think wisely and take action.