africa

  1. Rais Ruto anajiamini mno, ni miongoni mwa marais wenye nguvu na ushawishi zaidi Afrika Mashariki

    Anaongoza Serikali yenye viongozi wakuu waandamizi watatu tu serikali kuu, yaani Naibu wa Rais RigyG, Musalia Mudavadi Prime Cabinet Secretary ambae pia ni Waziri wa mambo ya nje na kaimu wa waziri wa wizara zote Kenya zilizovunjwa majuzi.. Ni katika harakati za kubana matumizi, lakini pia...
  2. Ukizaliwa Afrika tayari life limekuchapa 3-0, kuchomoa na kuongeza ni juu yako!

    Habari, Maisha ya bara letu ni changamoto sana. Kitendo cha kuzaliwa hai na una pumua ni mzigo tosha, inafika kipindi unajiuliza nilizaliwa kuja kubeba majukumu yote haya? Kusoma kwa kuungaunga na ukimaliza kazi hamna, na kama ukipata kazi ukoo mzima unakutegemea na bado hujaanza ku-settle...
  3. Mauaji ya ajabu ajabu Afrika Mashariki ni kiashiria cha kuingia ugonjwa wa "serial killer"?

    Serial killers ni watu wanaofanya mauaji ya zaidi ya mtu mmoja kwa minajili ya kujipatia furaha tu, mauaji yao mara nyingi huwa yanalenga kundi fulani la watu mfano wanawake, watoto, watu wa rangi fulani n.k Aina hii ya mauaji imekuwa maarufu zaidi katika nchi za magharibi ikihusishwa zaidi na...
  4. L

    Wachezaji wanaotemwa Simba wanakimbiliwa vilabu vingine tena vikubwa Africa, huu mchezo wa kuwaroga wachezaji wa Simba lazima ufike mwisho msimu huu

    Benchika kocha wa zamani wa Simba ambaye kwa sasa anafundishi timu JS Kabylie ya Algeria amemjumuisha kikosini kiungo Sadio Kanoute ambaye Simba imeachana naye, iwe kwa kumaliza kandarasi au vip, sasa hivi Benchika amekimbilia kwa Babacar Sarr ambaye Simba imetemana naye kwa kutoridhishwa na...
  5. Matajiri 17 wanaotikisa afrika

    1. Aliko Dangote Net worth: $13.9 billion Net worth in 2023: $13.5 billion Origin of wealth: Cement and Sugar Age: 66 Country: Nigeria 2. Johann Rupert and family Net worth: $10.1 billion Rank in 2023: 2 Net worth in 2023: $10.7 billion Origin of wealth: Luxury goods Age: 73 Country: South...
  6. B

    Why Tanzania is Constructing The Longest SGR Railway in Africa

    Wakenya Tazameni mzigo huo. https://youtu.be/_FanqniVtDU?si=SkAADV35PT1FZ7ma
  7. Data Analyst at East Africa Fruits July, 2024

    Data Analyst at East Africa Fruits July, 2024 About the job Collect and curate data from various sources, including but not limited to Google Sheets, databases, and APIs. Organize, clean, and maintain datasets to ensure data integrity and accessibility. Apply statistical methods to interpret...
  8. Dr Chris cyrilo, Africa amani wanufaikaji zaidi ni Watawala ili waendelee kuiba na kula, huku masikini wakiwa hoi.

    Nakubalina kabisa na mdau huyo kuhusu amani. Nyimbo za tuidumisje amani, tuitunze amani wanufaikaji ni watawala ili waendele kula kwa amami na raha mstarehe. Raia wanacho fanya huuziwa uoga wa vita ili wawe watulivu hata wasiulize yale ya msingi kwa faida yao. Wakati watawala wanahubiri amani...
  9. T

    Laiti kama Ruto angeyafanya haya kabla ya maandamano ya gen Z angeimbwa kama shujaa wa Afrika. Afrika tunakwama wapi!?

    Mtu mmoja aliwahi kuniambia usemi unaosema tujifunze kwa makosa hauko sahihi kwani kuna makosa hayatakupa muda wa kurekebisha chochote. Ni kwa sababu ya hiyo dhana namuona Ruto alikuwa na nafasi nzuri sana ya kuimbwa na historia kama Rais aliyejali wanyonge kwa kupunguza matumizi ya wakubwa...
  10. Kwanini tiger hawapatikani Afrika?

    Afrika tumejaliwa wanyama wengi sana wa asili na mazingira yao mapori na misitu mkubwa lakini kwanini Mpaka sasa tiger hawapatikani Afrika wanatokea ASIA pekee sababu ni nini na hata kama wangekuwa asili yao sio Afrika, Je kwanini hawajaletwa huku mbona sisi tunawapelekea twiga na faru huko kwao.
  11. Viongozi wa Africa msikimbilie kukopa na kuongeza kodi, mnatakiwa kupunguza matumizi yasiyo na tija kwa taifa

    Viongozi wa Africa sijui development ya brain zao zilikuwa ni tofauti za binadamu wa kawaida au. Sio Kenya wala Tanzania , angalau Kagame anawazidi by far. Kwa mfano Tanzania tuna deni kubwa la taifa, lakini expenditure za viongozi zimeongezeka ambazo hizo expenditure sio za muhimu. Kwa mfano...
  12. Chama chenye siasa safi Africa ni ccm

    Habari wana Jamvi. Nathubutu kusema Chama chenye siasa safi Africa ni Ccm. Vyama vingi vilivyopigania Uhuru vimekufa ni Ccm pekee imebakia. Hii ni kwasababu ya Sera zake Bora na Imara Umahili wa viongozi wake ndio sababu ya Ccm kudumu muda mrefu bila kuyumba. Ccm Imara ndio chanzo cha Amani Yetu
  13. Katika nchi za East Africa hakuna nchi inayopitia kipindi kigumu kama Tanzania. Yanayoendelea Kenya ni tabia tu.....

    Ugweee..nimekosa salam ya haraka kuwasabahi ndg zangu. Hawa Z Generation nchini Kenya ni muenendo na miendelezo ya tabia ya wananchi waliosomeshwa na serikali zao za nyuma...hapa namzungumzia Moi na wengine waliofanya vema. Kinachoendelea nchini Kenya ni sahihi na haki kabisa. Hapa Tanzania...
  14. Huu ndio utashi wa kisiasa kwa viongozi wa wananchi Afrika Mashariki, kuonyesha njia na kuwajibika

    Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu, Dr. William Samoe Ruto, ameskiza sauti ya Mungu. Akubali yaishe.. Ajishusha na kuonyesha njia. Ni wajibu wa waKenya kuungana na kumfuata mguu kwa mguu kiongozi wao huyu msikivu na mwenye maono ya kipekee na makubwa sana ya kutrasfom kenya into prosperity...
  15. B

    Kampala " The Busy City of Africa"

    Kampala, capital and largest city of Uganda. It occupies a series of hills at an elevation of about 3,900 feet (1,190 metres) and is situated in the southern part of the country, just north of Lake Victoria Kampala lies just north of Mengo, the capital of the kingdom of Buganda in the 19th...
  16. Open opportunity for Tanzanians: Sanctions on Russian diamonds: Good or bad for AFRICA?

    Sanctions on Russian diamonds: Good or bad for AFRICA? Diamond-rich African nations are ramping up production to fill the gap left by the G7 sanctions on Russian diamonds. But not all countries are happy about the ban. Earlier this year, the G7 , a group of wealthy nations comprising the...
  17. MWENYEKITI wa Kampuni ya Mohammed Enterprises (T) Limited (METL), Ghulam Dewji amekana kampuni yake kuwa na uhusiano wa aina yoyote na Kampuni ya ITEL

    MWENYEKITI wa Kampuni ya Mohammed Enterprises (T) Limited (METL), Ghulam Dewji amekana kampuni yake kuwa na uhusiano wa aina yoyote na Kampuni ya ITEL East Africa Limited. Amesema masuala yanayohusu Kampuni ya ITEL East Africa Limited yasihusishwe na kampuni yake huku akionyesha wasiwasi...
  18. Kwanini Waislam wa Africa hutawakuta wanapaza sauti kupinga mauaji ya waafrica wenzao wanauliwa na RSF kundi la kiarabu?

    Mi sijawai ona kiongozi yyte wa dini ya kiislam hapa tz au vijana mitandaoni wakipambana kupinga haya mauaji ambayo yanalenga kumuondoa kama si kumfuta mtu mweusi Sudan. Na hawa ni waislam wenzao
  19. The State of Press Freedom in Southern Africa 2023 (MISA Report)

    ESWATINI HUMAN RIGHTS VIOLATIONS, OUTDATED LAWS LINGER Introduction DESPITE the constitutionally guaranteed rights to freedom of expression, freedom of association and access to information, the government of Eswatini has consistently been accused of various human rights violations. The lack of...
  20. Africa Forest Carbon Catalyst (AFCC) Director at Nature Conservancy

    WHO WE ARE The Nature Conservancy’s mission is to protect the lands and waters upon which all life depends. As a science-based organization, we create innovative, on-the-ground solutions to our world’s toughest challenges so that we can create a world in which people and nature thrive. We’re...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…