africa

  1. Kwa Udhamini wa Mkutano wa Kimataifa wa Connect2Connect Africa, Helios Towers, Yazidi Kuing'arisha Tanzania, Kitaifa na Kimataifa, Yastahili Pongezi.

    Kampuni ya Helios Towers, inayoongoza kwa miundombinu ya mawasiliano kwa njia ya minara, imepongezwa kwa kuing’arisha Tanzania kitaifa, Afrika na kimataifa, kulikopelekea mkutano wa 8 wa Connect 2 Connect (C2C) Afrika 2024, kuja kufanyikia Tanzania, Hellios akiwa ndie mdhamini mkuu wa mkutano...
  2. Kikosi cha club ya Young Africans (Yanga) ndio kikosi bora kwa sasa Afrika

    Nimefuatilia match mbalimbali za ligi ya mabigwa ninaujasiri wa kusema kuwa kikosi hiki cha young african mwaka huu kina balaa zito.. si ajabu kabisa kikailetea tanzania na mpira wetu thamani kubwa sana. Yanga wameonyesha uwezo mkubwa sana uwanjani.
  3. President Samia warns foreign diplomats: You can’t tell me what to do, we know what to do!

    President Samia Suluhu Hassan has criticized Western interference in Tanzania's internal affairs and urged foreign diplomats to respect the country's sovereignty. Without naming specific countries, President Samia asserted that Tanzania will not accept directives from any foreign government on...
  4. Kumbe raia kumtuhumu mtu kwa mauaji ni kosa la jinai pia!

    Nilikuwa najua kumtuhumu mtu kwa mauaji au mambo mengine mfano fisadi, jambazi n.k akienda mahakamani ni kesi ya madai tu kumbe inaweza kuwa kosa la jinai pia kama anavyoshitakiwa ExMayor
  5. S

    Nini kinasababisha Utumishi kuchelewesha kutoa Majina ya Kuripoti kazini?

    Tanzania, mara nyingi, ajira zinatangazwa na waombaji hutakiwa kusubiri kwa wastani wa miezi 2 kabla ya kuitwa kwenye mahojiano. Baada ya mahojiano, waombaji wanapaswa kusubiri tena miezi kadhaa kabla ya kuripoti kazini. Hali hii imekuwa kama desturi katika utumishi wa umma. Kwa mfano, ajira...
  6. Sio Tanzania tu, hakuna nchi yoyote Afrika yenye uwezo wa kupambana na Magharibi

    Niweke ukweli ili hata wenye tuakili tudogo wajue sio tu Tanzania hapa Africa nzima hakuna nchi yenye uchumi stable wa kuweza kupambana na kutingishana na magharibi. Bila hata vita za silaha hakuna nchi Africa ya kuweza kupambana na ulimwengu wa magharibi. Ulimwengu wa magharibi ukiamua nchi...
  7. CHADEMA wote wanajua kwamba CCM is the best political party in Africa

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni chama tawala nchini Tanzania na ni moja ya vyama vya kisiasa vilivyodumu kwa muda mrefu barani Afrika. CCM ilianzishwa mwaka 1977 baada ya kuunganishwa kwa vyama viwili, Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP), ambavyo vilikuwa vikifanya...
  8. D

    Hivi ni lazima nikienda South Africa nijue lugha zao nyingine apart from English?

    Habari za muda, ndugu zangu. Nina swali napenda kuuliza: Huenda kuna Watanzania ambao walishawahi kufika Afrika Kusini, au huenda kuna wengine wanaishi huko chini ya Madiba. Napenda kuuliza: Hivi, ukienda Afrika Kusini, ni lazima ujue moja ya lugha kama Zulu, Xhosa, Sesotho, au Afrikaans, au...
  9. Mo Dewji Bilionea aliyegeuza soka la Africa kuwa Biashara

    Rais wa klabu, Mohammed Dewji ametajwa na jarida la Face2Face Africa lenye makao makuu yake jijini New York, Marekani kuwa mmoja kati ya mabilionea wawili ambao wamesaidia kukuza biashara ya mpira wa miguu barani Afrika. Kutajwa kwa Mo kumetokana uwekezaji na mafanikio ambayo Simba imeyapata...
  10. Mo Dewji Bilionea aliyegeuza soka la Africa kuwa Biashara

  11. FT: AFCON Qualification 2025: South Africa 2 - 2 Uganda | Orlando Stadium | 06.09.2024

    Game On... Uganda on lead 14' Foster anawapatia South Africa Goli la kuongoza. HT 1-0 ================= Kipindi cha pili. 45' Mpira umeanza kwa kasi kidogo, umiliki kwa Uganda. 51' Goooooooooooal Uganda wanazawasisha hapa kupitia D. Omedi anapiga shuti zito nje ya 18. Chuma cha kwanza kwa...
  12. K

    Pesa ya China kwa Africa $50B kwa miaka 3 ni ndogo sana

    Mradi mmoja tu wa Tanzania wa reli ni zaidi ya $10B sasa China kusema watawekeza $16.6B kwa mwaka kwa miaka 3 kwa Africa nzima ni kichekesho kwa nchi kubwa vile na haita badilisha chochote. China wanaimarisha vitu tu ambavyo vinawasaidia wenyewe kama kusafirisha shabba ya Zambia lakini hawajali...
  13. M

    China-Africa Summit 2024. Will our Leader address pros and cons of Chinese companies in Africa especially towards Africans employees

    I hope African leaders will address the unfriendly, inhumane treatment of employees in Chinese companies operating in Africa, which is not in accordance with the labor laws of African countries, rather than just sitting idly and waiting for thier paychecks
  14. FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium | 04-09-2024

    Kila la Heri Taifa Stars. WAPAPAMBANAJI WETU WA LEO.
  15. Kenya the giant of Africa is sleeping and the sleeping giant of east africa is waking up!! Viva Tanzania

    The Giant of Africa Kenya has no any significant Export among the top ten. On other side the sleeping Giant is waking up to her long sleepy era and she is taking up her place as the East Africa biggest Economy. Tanzania is exporting more than 3 Billion usd ahead of any nation in East Africa...
  16. Viongozi wa Afrika wanaenda China kujifunza lakini hawaji kufanya kama Wachina

    Wachina wanaofanyakazi, wanakusanya Kodi na kulinda Kodi kwa nguvu zao zote. Mhujumu ananyongwa. Je, Africa watu wao wanafanyakazi, kukusanya kodi na kulinda Kodi ya wananchi wao?
  17. E

    Africa Forums: Indonesia nayo inaitisha vikao na viongozi wa Afrika

    Eti Indonesia nayo inaitisha vikao na viongozi wa Afrika. Wamefanya hayo Marekani, Rusia, Japani, Uingereza, nk. Ni lini nchi moja ya Afrika itaitisha kikao na viongozi wa Ulaya au Asia? Yaani hao waje Afrika na ikibidi tuwaweke kwenye usafiri mmoja wakakutane na Rais wetu hapo Magogoni au...
  18. T

    Historia ya aliyekuwa Rais wa Uganda, Hayati Idd Amin Dada imepotoshwa sana. Uganda haitakuja kupata tena Rais mwenye misimamo kama yule

    Amani iwe nanyi Nimekuwa nikifuatilia sana historia na makala mbalimbali kuhusiana na maisha ya Mwamba wa Africa, Hayati Idd Amin Dada. Nilichokuja kugundua kuwa huyu jamaa alichukiwa sana na mabeberu kutokana na misimamo yake. Idd Amin alikuwa ni rais mwenye misimamo na uchungu na nchi yake ya...
  19. Afrika sijaona timu ya kuifunga Yanga SC

    Mimi sio shabiki wa Yanga ila nashabikia timu mbili tu. Hapa duniani ambazo Liverpool na barcelona ila nikiangalia hapa Africa hamna timu ya kuifunga Yanga SC msimu huu Yanga inaenda kuchukua Ubingwa wa Africa kama Kuna timu Ina uwezo wa kuifunga Yanga msimu huu naombeni muitaje. Hapa chini...
  20. Yanga imeacha kuwa feeder club kwa timu za Africa, Mzize bado yupo.

    Kama wachezaji wakubwa Africa kama Aziz Ki, pacome, Aucho, Yao, Diara , nzengeli, che Malone, Dube wamekuja kucheza Tanzania unataka mchezaji mdogo kama Mzize aende nchi gani Africa? Ni timu ngapi Afrika hazitaki kuwa na kocha kama Gamondi, Nabi kwenye timu zao? Mzize awaze kwenda ulaya sio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…